Dr. Mwakyembe arejea Bungeni

Kyela wamekwisha kwelikweli. Kumbe kelele zote hizi za kumsulubu Mwakyembe, mtu aliyewanyua juu kwenye chati ni fedha za Lowassa na Rostam! Duh ama kweli EPA na RICHMOND ni kiboko! Hata hivyo huyu mgombea wa Kyela kutoka London, asiwaumbue BANYAMBALA wa Kyela kwa kumfuatafuata Lowassa mpaka nyumbani kwake. Hajasikia yaliyomkuta yule Mbunge wa Kigoma, nanihii.... nanihii ......?

Fataki..lowassa ni mojawapo ya kampeni za dr. lakini ninawasiwasi kama inaweza kusaidia kule kijijini..Kijijini uko watu wamemchoka ile mbaya sijuhi kwanini.Siku moja nilichukua taxi..Jamaaa akawa anamponda tumemfanyia kampeni anaenda kumpa kazi shemeji yake mchagga inamaana hatuamini wadogo wake kumwendesha? Ila na mimi nikajiuliza hii ni siasa na yeye imekuwaje ameshindwa kutafuta kijana uko uko kwao?Kweli siasa ngumu
 
Tumehabarishwa yuko Arusha kukutana na Mh Edward Lowasa!

Masa,

Heshima mbele kwa mbele. Jana ulipoona kuwa George Mwakalinga kaanzisha kampeni ulikuja na hii makala:

Mwakalinga ameisha shindwa kabla hata ya uchaguzi! Hana sera zaidi ya kuwa na kajihoteli huko, kuweni makini wana Kyela hawa mamluki watakuja na njia nyingi, usiache kusoma ulw mwongozo ulotolewa na Kanisa!

Baadaye ukaongeza na makala hii hapa chini:

.....Engineer wa majungu upo wapi teh teh teh teh teh.....

SteveD akakujibu:
Bana eeee.... kwanini watu mnakuwa waongo namna hii?!!! Dayyym! George wala hajafika huko Kyela. Bado yuko safarini, na kwa taarifa yako tu, George yuko Ngorongoro leo hii, alikuwa Dar, akazuka Manyara na baadae kujionea maendeleo anayofanya Dr. Slaa kule Karatu, maana ndiko aliko lala.

Juu ya shule ya Mwakalinga, ni kweli alimaliza shule huko Europe na hata hakurudi Tanzania. Alianza kazi kama Mhandisi na hata alivyojenga KAJIHOTELI ni kuwa hela zote hizo HAKUFISADI hata senti moja ya Mtanzania. Na kama aliiba basi aliwaibia wa Wamarekani. Kama aliaminiwa na hao watu na kumpa kazi UK kwa miaka yote hiyo, wewe wamwita Mhandisi wa majungu, huoni kuwa watu hapa JF wana akili ya kuchambua Pumba na mchele.

Sasa tungelitegemea huo MPANGO wenu umekwama basi MJIPANGE upya lakini somo halijaingia. Mlipoona katoka Dar mkajua kuwa kaenda Kyela kumbe kaenda kwa Dr. Slaa. Loo, what a chenga ya WILAYA. Hii itabidi wachezaji kama Ronaldo waje wapate shule ya chenga. Wanaume mmeenda chali PWAAAA!!! Aibu aibu watu wazima.
Kama hiyo haitoshi, pamoja na kuandikwa alikuwa kwa Dr. Slaa, sasa tayari imeshakuwa alikuwa kwa Edward Lowassa. Kama angelikuwa na shida ya kumuona Lowassa, si angelichukua KIPIPA hapo UK na kujimwaga German kumuona Lowassa siku moja ya weekend? Bei ni nafuu, ni karibu, hahitaji VIZA, hata kwa matrain (via France) ni karibu tu. Amesubiri hadi aje Tanzania ndiyo aende Arusha ili MAPAPARAZI mumuone. Kama ni kuchukua pesa basi angelimtuma hata nduguye. Kwani ni lazima uonekane la Lowassa wakati akiwa Tanzania? Lowassa pia wanaweza hata kuonana Dar.

Hao Moravian wetu hao jimbo la Mbeya/Kyela nao wameanza kujiingiza kwenye VITA ya UDINI ya kumpendelea Mwakyembe. Waambie habari zao tunazo. Siku ikifika na wao madhambi yao yanaweza kupatikana na kuanikwa hadharani na wao ndiyo watakuwa na kulia na kusaga meno maana tofauti na Mwakalinga/Mwakyembe, wenzao ni kama paka - wana miguu minne. Hao viongozi wa Moravian wakiumbuliwa, wataenda kuwa wakulima, na pesa ya sadaka waisahau. Sidhani kama Mwakyembe atawapa hela nzito kiasi kwamba waumini wakiwafukuza, basi wataenda KUPUMZIKA kama Mkapa. Hivyo fikisha habari kwa hao WALA VYA BURE kuwa habari zao zimefika hapa JF na watachambuliwa muda ukifika.

Vinginevyo, wapambe kuweni na SUBIRA. Haya mambo ya kuhaha kuandika barua na kupeleka watu hadi nje ya nchi na mchoke bin mlegee kwa jina la JF, AMINI!!
 
Sikonge

Mbona wajichanganya na unadisclose Id ya Mwakalinga ndiye Engineer ambaye mimi namwona ni mdaku zaidi, hili huhutaji kuwa mnajimu fatilia post zake, najua wewe ni Pro Mwakalinga aka....sina maslahi na yeyote. Sipendi kuchukuliwa na upepo kama unavyotaka nilazimisha hapa! Wananchi wa Kyela watachagua anayewafaa kwa utashi wao .....
 
Kyela wamekwisha kwelikweli. Kumbe kelele zote hizi za kumsulubu Mwakyembe, mtu aliyewanyua juu kwenye chati ni fedha za Lowassa na Rostam! Duh ama kweli EPA na RICHMOND ni kiboko! Hata hivyo huyu mgombea wa Kyela kutoka London, asiwaumbue BANYAMBALA wa Kyela kwa kumfuatafuata Lowassa mpaka nyumbani kwake. Hajasikia yaliyomkuta yule Mbunge wa Kigoma, nanihii.... nanihii ......?

Si mlifuata Kyela? Mkaamua kumtungia uongo. Mmeshapeleka habari hadi uongozi wa juu wa CCM kuwa jamaa kaanza kampeni. Mlipeleka mtu hadi UK kumshawishi jamaa asigombee. Hivi akitangaza kugombea tayari si mtapata KIFAFA? Hivi kitu gani jamaa kafanya huko hadi muwe mnamuogopa namna hiyo? Ama kweli kijana wa London analeta UKAKASI kwenye MILO ya mtu na Wapambe wake.

Jipangeni vizuri ili mumkabili maana kwa mwendo huu, hao CCM huko juu watawaona HAMNAZO. Nyie mnaenda wasumbua kwa kuwapa habari MBOFU MBOFU namna hii? Ona mwenzenu wa jana na ule ujumbe wake, Mtu mzima Ovyoooooooo!!!!!!!!!
 
Masa,

Heshima mbele kwa mbele. Jana ulipoona kuwa George Mwakalinga kaanzisha kampeni ulikuja na hii makala:

Baadaye ukaongeza na makala hii hapa chini:

SteveD akakujibu:

Juu ya shule ya Mwakalinga, ni kweli alimaliza shule huko Europe na hata hakurudi Tanzania. Alianza kazi kama Mhandisi na hata alivyojenga KAJIHOTELI ni kuwa hela zote hizo HAKUFISADI hata senti moja ya Mtanzania. Na kama aliiba basi aliwaibia wa Wamarekani. Kama aliaminiwa na hao watu na kumpa kazi UK kwa miaka yote hiyo, wewe wamwita Mhandisi wa majungu, huoni kuwa watu hapa JF wana akili ya kuchambua Pumba na mchele.

Sasa tungelitegemea huo MPANGO wenu umekwama basi MJIPANGE upya lakini somo halijaingia. Mlipoona katoka Dar mkajua kuwa kaenda Kyela kumbe kaenda kwa Dr. Slaa. Loo, what a chenga ya WILAYA. Hii itabidi wachezaji kama Ronaldo waje wapate shule ya chenga. Wanaume mmeenda chali PWAAAA!!! Aibu aibu watu wazima.
Kama hiyo haitoshi, pamoja na kuandikwa alikuwa kwa Dr. Slaa, sasa tayari imeshakuwa alikuwa kwa Edward Lowassa. Kama angelikuwa na shida ya kumuona Lowassa, si angelichukua KIPIPA hapo UK na kujimwaga German kumuona Lowassa siku moja ya weekend? Bei ni nafuu, ni karibu, hahitaji VIZA, hata kwa matrain (via France) ni karibu tu. Amesubiri hadi aje Tanzania ndiyo aende Arusha ili MAPAPARAZI mumuone. Kama ni kuchukua pesa basi angelimtuma hata nduguye. Kwani ni lazima uonekane la Lowassa wakati akiwa Tanzania? Lowassa pia wanaweza hata kuonana Dar.

Hao Moravian wetu hao jimbo la Mbeya/Kyela nao wameanza kujiingiza kwenye VITA ya UDINI ya kumpendelea Mwakyembe. Waambie habari zao tunazo. Siku ikifika na wao madhambi yao yanaweza kupatikana na kuanikwa hadharani na wao ndiyo watakuwa na kulia na kusaga meno maana tofauti na Mwakalinga/Mwakyembe, wenzao ni kama paka - wana miguu minne. Hao viongozi wa Moravian wakiumbuliwa, wataenda kuwa wakulima, na pesa ya sadaka waisahau. Sidhani kama Mwakyembe atawapa hela nzito kiasi kwamba waumini wakiwafukuza, basi wataenda KUPUMZIKA kama Mkapa. Hivyo fikisha habari kwa hao WALA VYA BURE kuwa habari zao zimefika hapa JF na watachambuliwa muda ukifika.

Vinginevyo, wapambe kuweni na SUBIRA. Haya mambo ya kuhaha kuandika barua na kupeleka watu hadi nje ya nchi na mchoke bin mlegee kwa jina la JF, AMINI!!

-umesikika baba!hata hivyo naomba umsamehe MASA BURE!unajua hili jukwaa la siasa hana uzoefu nalo.yeye ni mutu ya kule-kwingine kwa wale jamaa wa ule mlengo mwingine!wamejipa jina la mtandao wa simu za mkononi!alipitiwa tu,msamehe
 
Sikonge

Mbona wajichanganya na unadisclose Id ya Mwakalinga ndiye Engineer ambaye mimi namwona ni mdaku zaidi, hili huhutaji kuwa mnajimu fatilia post zake, najua wewe ni Pro Mwakalinga aka....sina maslahi na yeyote. Sipendi kuchukuliwa na upepo kama unavyotaka nilazimisha hapa! Wananchi wa Kyela watachagua anayewafaa kwa utashi wao .....

Masa,

Kama ungeliandika hivi kama mawazo yako, nisingepinga. Ila kusema alikuwa Arusha (ni kweli yupo) kwa Lowassa (je umemuona?). Kama uliisoma hapa basi pia ningelikuelewa. Ila hizo zote zimeshasemwa kuwa ni UONGO. Na aliyeandika tayari anafahamika.

Kuna mambo mengi tumeandika kumsifia Mwakyembe na kuandika pia mapungufu yake. Kama na wewe ungeliandika Mabaya na mazuri ya Mwakalinga, tungelijua uko neutral. Ila kuanza kupaka sijui KAJIHOTELI wakati kama umefika Kyela unafahamu kuwa jamaa kafanya mengi zaidi ya KIJIHOTELI, je uko kweli katikati?
Uandishi wako umekaa katika KUMCHUKIA MWAKALINGA waziwazi. Anyway, sijui mligombania wapi au umetokea tu kumchukia. Jitahidi kuficha walau kidogo hisia zako. Mtu akifuatilia hizo makala nimeandika, unaona wazi kabisa kuwa UNA DONGE kooni (nisahihisheni kama nimekosea muono wangu).
Vinginevyo nakubaliana na wewe kabisa na kukumbusha maneno ya Bibi yake Obama wa Kenya aliyesema (Let the people chose, and the best win). Hapa ilikuwa kivumbi cha Obama Vs Clinton. Akishinda Mwakyembe, hewala, Watu wa Kyela wameamua. Akishida Kikwete , sawa tu, Chenge, Rostam Aziz, Lowassa nk sawa tu, wananchi wa sehemu hiyo wanamuona anafaa. Sasa haya ya Engineer wa Majungu, Kajihoteli nk yanatoka wapi? Mtu apimwe kwa matendo yake, kuwa hadi leo kawafanyia nini Wanakyela?
 
Wakuu wote hapa heshima mbele,

- Tafadhalini sana tunahitaji kuwa wastaarabu na waangalifu kwa sababu kwa mwendo ninauona hapa, kuna hatari ya kuwaharibu viongozi imara sana hapa yaani DK na George, ninasema wote ni watu makini sasa tuache tabia zilizokataliwa na Obama juzi kule Accra, za ku-invest kwenye majina badala ya institutions na sound policies, Obama amesema wazi kwamba Africa hatuhitaji majina makubwa au dictators na that is exactly kuna mnaokifanya na hizi kampeni chafu.

- Hakuna mahali popote ambapo George ametangaza kwamba anagombea ubunge wowote ule, sasa hata wale mnaomuongelea hamumsaidii hata kidogo, na wale mnaomuongelea DK ndio kabisa mnanishangaza sana, shujaa wa taifa kama yeye kweli anahitaji hizi cheap kampeni namna hii? Ukweli ni kwamba mnamshusha hadhi na hizi nyepesi nyepesi.

- Tufike mahali tuwajali wananchi wa Kyela kwanza, badala ya ubinafsi wetu wao ndio waamuzi kwamba nani anawafaa, na besides hivi sio vita wala ugomvi kwa sababu DK alimngóa Mwakipesile na hakukuwa na tatizo, kwamba amemuonea jimbo lake sasa kwa nini mnataka kuligeuza hili jimbo kuwa ni la DK badala ya wananchi wa Kyela? Ninamheshimu sana DK na kazi yake kwa taifa, lakini sijui sana huko jimboni, na pia ninamheshimu sana George na idea zake iwapo ataamua kugombea kama inavyotabiriwa hakuna ubaya wowote, na yes niko in contact naye kila siku ya Mungu,

- Anaendelea na likizo yake, najua leo yuko Arusha sasa tuache majungu na wewe unayechochea sana kwamba ametumwa ni vyema ukaacha hayo majungu mkuu, kwa sababu huna ushahidi wala dataz ya hizo sumu unazozitema sana, Rostam aliamua kuacha ubunge lakini mafisadi wenziwe wamemwambia kwenye kikao cha siri kuwa akiacha tu ajue anatinga Segerea kwa hiyo anagombea na ameshaanza kampeni za chini chini, Lowassa anajua sana kwamba akitoka tu jimboni mwake anaondoka na maji, Nchimbi naye anajua maji ni ya shingo kwa hiyo hakuna wa kuacha jimbo lake kwenda la mwingine au kumsaidia mwingine,

- George akiamua kugombea ni sawa kabisa kwa sababu itakuwa vichwa viwili vinapiganishwa na matokeo tutapata ukweli mtupu na itakuwa kampeni of the Century, watakaofaidika ni wananchi wa Kyela na vita hivyo kama vitatokea, na Mungu awajalie wote yaani DK na George, ili waweze kuwaletea maendeleo wananchi Kyela, maana hata bila ubunge George atawasaidia sana wananchi wa huko Kyela pamoja na umasikini wake kwa sababu ni mkweli na ni committed kwa maendeleo ya Kyela.

Otherwise, ninamtakia heri DK kwa kupona na arudi haraka bungeni na kuendeleza libeneke, na pia ninamtakia George likizo njema na hasa safari nyingi alizonazo, sijui hata kama atapumzika kabla ya kurudi nyumbani.

Respect na Likizoni, tuache uzushi tuwajali wananchi wa Kyela.

FMES! Ni Wazee wa sauti ya umeme!
 
Masa,

Kama ungeliandika hivi kama mawazo yako, nisingepinga. Ila kusema alikuwa Arusha (ni kweli yupo) kwa Lowassa (je umemuona?). Kama uliisoma hapa basi pia ningelikuelewa. Ila hizo zote zimeshasemwa kuwa ni UONGO. Na aliyeandika tayari anafahamika.

- Huyo aliyeandika hayo majungu ni yule yule jamaa anayehangaika sana sasa hivi yuko njiani kupeleka wazungu huko Kyela jamaa ni wa kuonea huruma masikini wa Mungu, George alienda Arusha kusamilia familia ya mkewe, na kesho anaruka kuondoka huko kuendelea na likizo yake, kama nilivyosema mnaompigia ngoma DK mnaharibu sana kuonyesha kutishika na kijana mdogo ambaye wala hajasema nia yake, inasikitisha sana na sitaki kuamini kwamba DK anahusika na hizi kampeni za hovyo hovyo na ni very low!

Respect.

Kamanda FMEs!
 
Wakuu wote hapa heshima mbele,

- Tafadhalini sana tunahitaji kuwa wastaarabu na waangalifu kwa sababu kwa mwendo ninauona hapa, kuna hatari ya kuwaharibu viongozi imara sana hapa yaani DK na George, ninasema wote ni watu makini sasa tuache tabia zilizokataliwa na Obama juzi kule Accra, za ku-invest kwenye majina badala ya institutions na sound policies, Obama amesema wazi kwamba Africa hatuhitaji majina makubwa au dictators na that is exactly kuna mnaokifanya na hizi kampeni chafu.

- Hakuna mahali popote ambapo George ametangaza kwamba anagombea ubunge wowote ule, sasa hata wale mnaomuongelea hamumsaidii hata kidogo, na wale mnaomuongelea DK ndio kabisa mnanishangaza sana, shujaa wa taifa kama yeye kweli anahitaji hizi cheap kampeni namna hii? Ukweli ni kwamba mnamshusha hadhi na hizi nyepesi nyepesi.

- Tufike mahali tuwajali wananchi wa Kyela kwanza, badala ya ubinafsi wetu wao ndio waamuzi kwamba nani anawafaa, na besides hivi sio vita wala ugomvi kwa sababu DK alimngóa Mwakipesile na hakukuwa na tatizo, kwamba amemuonea jimbo lake sasa kwa nini mnataka kuligeuza hili jimbo kuwa ni la DK badala ya wananchi wa Kyela? Ninamheshimu sana DK na kazi yake kwa taifa, lakini sijui sana huko jimboni, na pia ninamheshimu sana George na idea zake iwapo ataamua kugombea kama inavyotabiriwa hakuna ubaya wowote, na yes niko in contact naye kila siku ya Mungu,

- Anaendelea na likizo yake, najua leo yuko Arusha sasa tuache majungu na wewe unayechochea sana kwamba ametumwa ni vyema ukaacha hayo majungu mkuu, kwa sababu huna ushahidi wala dataz ya hizo sumu unazozitema sana, Rostam aliamua kuacha ubunge lakini mafisadi wenziwe wamemwambia kwenye kikao cha siri kuwa akiacha tu ajue anatinga Segerea kwa hiyo anagombea na ameshaanza kampeni za chini chini, Lowassa anajua sana kwamba akitoka tu jimboni mwake anaondoka na maji, Nchimbi naye anajua maji ni ya shingo kwa hiyo hakuna wa kuacha jimbo lake kwenda la mwingine au kumsaidia mwingine,

- George akiamua kugombea ni sawa kabisa kwa sababu itakuwa vichwa viwili vinapiganishwa na matokeo tutapata ukweli mtupu na itakuwa kampeni of the Century, watakaofaidika ni wananchi wa Kyela na vita hivyo kama vitatokea, na Mungu awajalie wote yaani DK na George, ili waweze kuwaletea maendeleo wananchi Kyela, maana hata bila ubunge George atawasaidia sana wananchi wa huko Kyela pamoja na umasikini wake kwa sababu ni mkweli na ni committed kwa maendeleo ya Kyela.

Otherwise, ninamtakia heri DK kwa kupona na arudi haraka bungeni na kuendeleza libeneke, na pia ninamtakia George likizo njema na hasa safari nyingi alizonazo, sijui hata kama atapumzika kabla ya kurudi nyumbani.

Respect na Likizoni, tuache uzushi tuwajali wananchi wa Kyela.

FMES! Ni Wazee wa sauti ya umeme!

Mkuu FMES,

Shukurani sana! Umeiweka sawa sana hii, na hasa ile kwamba kama George ataamua kuogembea watakaofaidi ni wananchi wa Kyela .... na CCM. Vipi na wewe uko likizo TZ au?
 
-umesikika baba!hata hivyo naomba umsamehe MASA BURE!unajua hili jukwaa la siasa hana uzoefu nalo.yeye ni mutu ya kule-kwingine kwa wale jamaa wa ule mlengo mwingine!wamejipa jina la mtandao wa simu za mkononi!alipitiwa tu,msamehe

HAhahahaha Mkuu umeniacha hoi sana....hahahaha...Duuu Ninachopinga ni hili la wana JF kuwaamlia wananchi mtu wa kumpigia kura, ndo haya haya Nyerere alitucost kwa Mr Clean Ben Che Nkapa ama wale viongozi wa kwenye madhabahu walipodiriki kutuambia Mzee wa Kaya ni changuo la Mungu, badala ya Ukweli ni chaguo la yule muovu shetaniii......simjui huyo Engineer zaidi ya kumsoma hapa JF na mikakati yake ya kumtoa Mwakyembe huko Kyela. Wapiga kura wataamua kwa faida yao bana...George kama ataleta mabadiliko ruksa itaniuma sana akichaguliwa atuletee ufisadi na kutooona mchango wake Bungeni ama kwenye taifa. Mwakyembe na mapungufu yake walau tumeona alivyootuondolea Kero Lowassa. Tubishane na kuelimishana kwa hoja tusiparuane wakuu

Alamsiki

Mzee Masa
 
Fataki..lowassa ni mojawapo ya kampeni za dr. lakini ninawasiwasi kama inaweza kusaidia kule kijijini..Kijijini uko watu wamemchoka ile mbaya sijuhi kwanini.Siku moja nilichukua taxi..Jamaaa akawa anamponda tumemfanyia kampeni anaenda kumpa kazi shemeji yake mchagga inamaana hatuamini wadogo wake kumwendesha? Ila na mimi nikajiuliza hii ni siasa na yeye imekuwaje ameshindwa kutafuta kijana uko uko kwao?Kweli siasa ngumu

Makubwa haya! Hivi Msuya ni Mchagga?
 
Dr kesharejea tangu jana. Lakini UFISADI una mbinu nyingi, sasa unawatumia wanasiasa waandamizi wa serikali hii!Wakihofu the FORTHCOMING general election! Hii haki kweli? Dr piga kite!
 
[I][Habari nilizozinasa hapa ni kwamba kuna mpango unasukwa kwa kushirikiana na spika Sitta. Mbunge Mwakyembe ataenda bungeni mara moja na kupokewa na wabunge na kisha ataaga na kwenda Kyela kupokewa na wananchi kwa maandamano; muda wote ataongozana na waandishi habari wa Mengi. Hapa wanasema maandamano yatakuwa ya kumpongeza kwa kuwazidi kete mafisadi waliotaka kumwua kwa ajali ya lori.

Ila kuna tatizo moja maana sasa wananchi wa Kyela wameshaanza kuelewa usanii wa mbunge wao. Kuna watu wana wasiwasi hilo zoezi linaweza kuishia kwenye kuzomewa kwake.

Kila siku kuna vikao jioni kujadili namna ya kufanikisha maandamano hayo. Wacha watuletee pesa na sisi tutaenda na mabango yetu![
QUOTE]

Wewe Engineer una lako jambo, inaelekea wewe ni sauti ya mafisadi wanaotumwa kumwandama huyu Mh. Mwakyembe mtumishi w2a watu. Huna point hata moja katika mchango wako.[/B][/B][/B]
 
Makubwa haya! Hivi Msuya ni Mchagga?

Ijabu huo ndo uelewa wa watu wengi tanzania..ukitoka mbeya basi wewe ni mnyakyusa,msoma wewe ni mkurya,kilimanjaro wewe mchagga.Mi mwenyewe mke wangu mjita, kule kwetu wananiambia nimeoa mkurya.

Tukija kwenye point nafikiri dr. katika hilo kachemsha,kumbuka hii ni siasa..WHY MSUYA NOT MWAKATUNDU? mathematical.Mwakatundu mzaliwa na mkazi wa kyela angeweza kulisha watu kumi uko kyela kama driver wa dr.na kwahilo dr kama mbunge angekuwa amewapa maisha bora watu kumi na moja jimboni kwake, Hizo ni hesabu za kujumlisha na kutoa na wala sio hesabu kubwa sana.Nyie mmekalia tu nitajenga shule ,sijuhi nini, wakati kuna mambo madogo kwa kuyaona lakini yanaleta faida kubwa kwa jamii.
 
[I][Habari nilizozinasa hapa ni kwamba kuna mpango unasukwa kwa kushirikiana na spika Sitta. Mbunge Mwakyembe ataenda bungeni mara moja na kupokewa na wabunge na kisha ataaga na kwenda Kyela kupokewa na wananchi kwa maandamano; muda wote ataongozana na waandishi habari wa Mengi. Hapa wanasema maandamano yatakuwa ya kumpongeza kwa kuwazidi kete mafisadi waliotaka kumwua kwa ajali ya lori.

Ila kuna tatizo moja maana sasa wananchi wa Kyela wameshaanza kuelewa usanii wa mbunge wao. Kuna watu wana wasiwasi hilo zoezi linaweza kuishia kwenye kuzomewa kwake.

Kila siku kuna vikao jioni kujadili namna ya kufanikisha maandamano hayo. Wacha watuletee pesa na sisi tutaenda na mabango yetu![QUOTE]

Wewe Engineer una lako jambo, inaelekea wewe ni sauti ya mafisadi wanaotumwa kumwandama huyu Mh. Mwakyembe mtumishi w2a watu. Huna point hata moja katika mchango wako.[/B][/B][/B]

Mkuu, nimefuatilia sana hoja za huyo "Engineer", hazina mantiki, ni udaku tupu wa mtu ambaye hajaenda shule sawasawa. Huyu Dk. Mwakyembe alishajijengea jina na historia hata wanaomchukia wakiamua kumchafua usiku na mchana. Wiki iliyopita nilishuhudia Dk. Mwakyembe akipita Kariakoo kwa mguu: karibu kila mtu alitaka amshike mkono, amsalimie na wengine wasikie sauti yake tu. Sasa mwambie "Engineer" amlete huyo Rostam au Lowassa (paymasters wake) nao wapite Kariakoo kwa mguu, utajua wananchi wanavyojua kupambanua kati ya kiongozi na fisadi. Watazomewa na hata kupigwa mawe!

Huko Kyela kumetokea mauaji ambayo, ukisoma sana taarifa za magazeti yamesababishwa na Mkuu wa Mkoa ambaye kikwete alimweka pale kummaliza Mwakyembe na Mwandosya kisiasa. Kashindwa! Mwakyembe akienda Igunga kugombea ubunge, nakwapia atamshinda huyo mtu wa Iran anayetuchanganya Watz kama watoto! Mimi nimemtambua Mwakyembe kuwa kiongozi na jabali lenye akili, alipowatingisha wazungu NBC kupigania maslahi yetu wafanyakazi mpaka akajiuzulu. Hawa akina "Engineer" are just nincompoops. Akiandika upuuzi JF anakimbia kwa mawakala wa Rostam na Lowassa (ambao wako wengi Kyela) kwenda kulipwa!
 
Ijabu huo ndo uelewa wa watu wengi tanzania..ukitoka mbeya basi wewe ni mnyakyusa,msoma wewe ni mkurya,kilimanjaro wewe mchagga.Mi mwenyewe mke wangu mjita, kule kwetu wananiambia nimeoa mkurya.

Tukija kwenye point nafikiri dr. katika hilo kachemsha,kumbuka hii ni siasa..WHY MSUYA NOT MWAKATUNDU? mathematical.Mwakatundu mzaliwa na mkazi wa kyela angeweza kulisha watu kumi uko kyela kama driver wa dr.na kwahilo dr kama mbunge angekuwa amewapa maisha bora watu kumi na moja jimboni kwake, Hizo ni hesabu za kujumlisha na kutoa na wala sio hesabu kubwa sana.Nyie mmekalia tu nitajenga shule ,sijuhi nini, wakati kuna mambo madogo kwa kuyaona lakini yanaleta faida kubwa kwa jamii.

Ndugu yangu Msauzi, pamoja na nia yako nzuri, mawazo yako ni ya kikabila ambayo mtu msomi na mwenye utaifa kama Dk. Mwakyembe hawezi kuwa nayo. Ndiyo maana hata dereva wa Prof. Mwandosya ambaye yuko naye miaka mingi, ni Msukuma na siyo Mnyakyusa. Mwacheni Mwakyembe na visheni yake kubwa.

JF sasa inaanza kuharibika, si uwanja wa kubadilishana hoja za msingi tena! Nimemsoma jamaa mmoja humu anajiita Engineer anasema Mwakyembe ni mwizi kwa kuwa kwenye kampuni aliyoianzisha na wenzake ana mabilioni ya pesa! Mimi najiuliza, huyu kaenda shule kweli? Yaani kuna wanaJF wanaoamini kuwa mtu akijaza fomu za BRELA na kutamka kusubscribe kwa mfano for 100 shares za bilioni mbili, basi mtu huyo ana bilioni mbili? Mwanzoni niliamini kuwa hayo ni makosa ya uelewa wa baadhi ya waandishi wa habari, Kumbe hata JF kuna watu wanaamini hivyo? Kama ni hivyo, wote sisi ni mabilionea maana tuna fomu zinazotaja mamilioni na mabilioni ya fedha huko BRELA. Akina Engineer wa JF tafadhali uliza uelezwe kabla hujajianika hadharani kuwa hujui, unaropoka tu!
 
Ndugu yangu Msauzi, pamoja na nia yako nzuri, mawazo yako ni ya kikabila ambayo mtu msomi na mwenye utaifa kama Dk. Mwakyembe hawezi kuwa nayo. Ndiyo maana hata dereva wa Prof. Mwandosya ambaye yuko naye miaka mingi, ni Msukuma na siyo Mnyakyusa. Mwacheni Mwakyembe na visheni yake kubwa.

JF sasa inaanza kuharibika, si uwanja wa kubadilishana hoja za msingi tena! Nimemsoma jamaa mmoja humu anajiita Engineer anasema Mwakyembe ni mwizi kwa kuwa kwenye kampuni aliyoianzisha na wenzake ana mabilioni ya pesa! Mimi najiuliza, huyu kaenda shule kweli?
Yaani kuna wanaJF wanaoamini kuwa mtu akijaza fomu za BRELA na kutamka kusubscribe kwa mfano for 100 shares za bilioni mbili, basi mtu huyo ana bilioni mbili? Mwanzoni niliamini kuwa hayo ni makosa ya uelewa wa baadhi ya waandishi wa habari, Kumbe hata JF kuna watu wanaamini hivyo? Kama ni hivyo, wote sisi ni mabilionea maana tuna fomu zinazotaja mamilioni na mabilioni ya fedha huko BRELA. Akina Engineer wa JF tafadhali uliza uelezwe kabla hujajianika hadharani kuwa hujui, unaropoka tu!

Huyu jamaa ni mweupe mno kichwani jana nilimwita Engineer wa Udaku, Kuna ndugu yangu anajiita Sikonge na baadhi ya wafuasi wake hapa nusura wanitoe roho. Wanampamba eti Engineer anaishi London na ana kajihotel/Mgahawa huko Kyela...nashukuru na wewe umeliona hilo! Kama ana nia ya Ubunge wa Kyela ameisha shindwa heri atafute kwanza Udiwani Ubunge ni post kubwa sana kwake na mitazamo yake ya zama za mawe...
 
Back
Top Bottom