Dr. Mushemba "YOU ARE WRONG!"

Yesu alifundisha.
Matthew 7:1 "Do not judge so that you will not be judged."

Huyo Yesu unayemnukuu hakuruhusu pia matumizi ya matusi makubwa ya nguoni dhidi ya wazazi wasio na hatia wa mtu usiyemjua unayepingana naye tu kihoja. Aloo fahamu wewe ni mnafiki mkubwa sana tena hatari kabisa Kwa kujifanya mlokole na mpenda haki.
 
Unaangalia upande mmoja ehe.. nani kakuambia mimi mlokole au na wewe unataka yako? Ukinitukana mimi unatukana wazazi wangu pia.
 
eti princejafari... inamaanisha mama yako alitembea na mfalme siyo au ndiyo unajisikia tu kama prince kwa kuwa unasoma vitabu vya ma cardinals? Eti ulipokuwa shule.. give me a break!
 
Huyo Yesu unayemnukuu hakuruhusu pia matumizi ya matusi makubwa ya nguoni dhidi ya wazazi wasio na hatia wa mtu usiyemjua unayepingana naye tu kihoja. Aloo fahamu wewe ni mnafiki mkubwa sana tena hatari kabisa Kwa kujifanya mlokole na mpenda haki.

Kuna watu wanawaita baba na mama za watu malaya mbona hujasema kitu kwenye hiyo topic?
 
Unaangalia upande mmoja ehe.. nani kakuambia mimi mlokole au na wewe unataka yako? Ukinitukana mimi unatukana wazazi wangu pia.

Hiyo "red herring" yako mtolee intellectually and morally challenged dude of your ilk. Usifikiri sifahamu maandishi na matamko yako uliyotoa kuanzia bcstimes, maoni.org, youngafrican na fora nyingine.
 
ndiyo nilipokuwa shule nasoma Phd ya Theologia somo ambalo nafundisha sasa. nashindwa kukuelewa unapotumia matusi, mpaka kutukaniwa mzazi kitu ambacho kimeweka wazi upeo wako finyu wa kufikiri na kujenga hoja. i think it is pointless to discuss serious issues with a low life like you.
 
Back
Top Bottom