Dr. Musa Kingu Chezea Chadema weweee Sasa umeona kura 1372

Hii ndo tathmini niliyokuwa naisubiri kwa muda mrefu!Hapo kweli CDM imeongeza influence vijijini kwa kasi MNO!Na kama alivyosema nape kuwa uchaguzi huu unawakilisha nchi nzima,nami nakubaliana nae kuwa hiyo ndio hali halisi!Hali ni mbaya sana kwa CCM!Wanahitaji big overhaul kukinusuru chama chao!
 
Wafa maji hawaishi kutapatapa. Haya majedwali ni kujifariji. Mmekiona cha moto na bado. Kushindwa ni kushindwa hata kama ni kwa asilimia moja. Ukweli unabaki pale pale katika kata 29 chadema wameambulia 5 tu. Mkajipange upya. Siasa za kudandia hoja mufilisi za kijamii ndo zimewaponza. Hapa hakuna kitu bali kutafuta pa kuficha uso wenu. M4d
 
Chadema wanamoyo kweli. Kama ningekuwa na mimi kwenye hiki chama ningekaa kimya kama shibuda na halima mdee. Chama kinarusha rusha miguu kimekwisa geukia kuema ukawasalimie tlp na nccr mageuzi. Sehemu nyeti. Tangulia chadema. Ukawasalimie tlp na nccr
 
Kwa kweli zile sana watu tulijua chadema ikiweka tu uchaguzi sehemu yeyote basi tazoa kura zote. Slaa ameongea master sugu amenongea na helikopta zilifanya kasi kweli kabla na maandamano
 
naomba mwenye takwimu ya kura za jumla katika uchaguzi uliopita kwa kata hizihizi ili tulinganishe na za mwaka huu kwa sababu wapiga kura ni walewale ili tupate tathmini ya ccm na chadema kwa miaka iliyobaki.
 
Ccm ni chama cha wakulima na wafanyakazi na hili litaitesa sana CDM kupata ushindi kura za wAna facebook na twitter hazitatosha kamweee ccm tuna mizizi kuing'oa ni ngumu ipo mioyoni mwa watz wengi hata hao CDM
 
aisee huko vijijini ccm bado wanashikika ni kwamba hao wanavijiji ni nini wanachoona kwa ccm wakati maisha yao huko yanazidi kua magumu au ni hizo khanga/baiskeli na shs 2000 ndo zinawazingua?

mkuu vijijuini wanatishiwa kuwafunga watu watakao ichagua CDM .Ccm vijijin inachaguliwa kwa lazima sio kwa mapenz mkuu.na wanao fanya hivyo ni makatibu tarafa,afisa mtendaji wa kata .i mapandikiz ya CCM HAYO.
 
59%- CCM
41%- CDM
wanakuja hao!

........[/QUOTE]

kwa uwiano huo kata ya kilema kusini CDM haikuwahi kumsimamisha mgombea. Hii ndo ilikuwa kwa mara ya kwanza. Now you can see the improvement.
 
Hapo ni Mlangali si Malangali jamani, kwani Malangali ipo Mufindi/ Iringa wakati Mlangali ipo Ludewa. baada ya kusahisha hapo napenda kusema
 
Hapa kuna haja ya kupiga kelele nyingi kweli?
No.KATACCMCDMJumlaTofautiTofauti Asili mia
1Magomeni (Pwani)1,478.004791,957.0099951.047522
2Bangata1,117.008811,998.0023611.811812
3Daraja mbili1,324.002,193.003,517.00-869-24.70856
4Mahenge7104441,154.0026623.05026
5Mtibwa1,372.003,096.004,468.00-1,724.00-38.5855
6Mtele9952971,292.0069854.024768
7Mpapai1,443.002801,723.001,163.0067.498549
8Luwumbu5652559054091.525424
9Malangali1,247.001,418.002,665.00-171-6.41651
10Lwezera1,317.009252,242.0039217.484389
11
Makata8083884677091.016548
12Mlelomiembeni81813895668071.129707
13Minyenze37816754521138.715596
14Karitu8543541,208.0050041.390728
15Kiloleni64816681448259.213759
16Ipole365568933-203-21.75777
17Bugarama
18Mwananza7945751,369.0021915.997078
19Lubili1,108.006201,728.0048828.240741
20Kitagiri1,416.001571,573.001,259.0080.038144
21Kikokona1,149.003671,516.0078251.583113
22Nanjaraneha1,128.002,370.003,498.00-1,242.00-35.506
23Kilema Kusini7847341,518.00503.2938076
24Vugiri1,460.003371,797.001,123.0062.493044
25Tamota1,060.007721,832.0028815.720524
26Msalato8694501,319.0041931.76649
27Mpwapwa1,722.001,189.002,911.0053318.309859
28Myovizi1,726.001,498.003,224.002287.0719603
29Mpapa9033101,213.0059348.887057
JUMLA29,558.0020,848.0050,406.008,710.0017.279689
 
chadema imara vs ccm dhaifu .......uchambuzi huo hauna maana yoyote, ccm inayojipanga sasa hivi italeta maafa makubwa chadema.
 
Back
Top Bottom