Man 4 M4C
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 743
- 114
- Ilikuwa ni baina ya Daktari na kijana wa kitaa
- Baina ya msomi wa shahada na asiyekuwa msomi masikini wa watu
- Baina ya mgawaji wa hongo na msemaji wa ukweli
- Baina ya mnunuaji wa shahada za kupigia kura na mzuiaji watu kuuza shahada
- Baina ya vijana wa kijiji kimoja na naibu wao waziri wa michezo
- Baina ya wanabwembwe na wasiokuwa na mbwembwe
- Baina ya wasombeaji watu kwa magali na wasiosombelea bali watu wanawafuata
- Baina ya mbwembwe na hoja dhaifu zidi ya umakini na hoja zenye mashiko
- Baina ya muongeaji dakika 3 jukwaani na kanyaga twende
- Baina ya anayerembwa na asiyerembwa
- Baina ya Musa Kingu na Lucas Edward Mwakambaya
Hitimisho:
- Diwani wa ccm Musa Kingu Kura 1372 na Diwani wa Cdm Mwakambaya Kura 3096 na mgombea wa Cuf Khalidi Kura 60.
- Maarimu Seif za mbwembwe zote za kwenda kufunga kampeni na wanamuziki kama shishiem mwisho wa siku kura 60. Huyu naona hatarudi tena kule mamtibwa. Bamutu bakule chezea wewe..............Alafu nasikia Musa wa watu akazirai;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;jamani peoplessssssssssssssss,,,,,,,,,,,,,,,,Aly Bananga Peoplesssssssssssssssss, Cecilia Paleso Peoplesssssssssssss, Mbowe Peoplessssss, Kigaila Benson Peoplesssssssssss...............
Kwa taarifa:
Hii ndiyo kata iliyoongoza kwa mgombea kushinda kwa kura nyingi kuliko kata yoyote ile kwatika kata 29.:israel::israel::israel:kwaheri shishiem:bange::bange:Musa kapumzike baba hawa jamaa hawakamatiki siku hizi, watakutia aibu ndio maana kaka yako Amozi akajikataa mapema akakuachia zigo.