mkuu usiende kulala. huyu Suleiman Rashid ni mkurugenzi pale IFM kijana mkali sana..Itazame hiyo thesis Title imeandikwaje?
"Quality of Information and Behaviour of Risk Around Information Events"
Suleiman Rashid Mohamed PhD (Finance)
That means his thesis is in Finance focusing in Quality of information and the investor behavior towards risk during information events. (Ukitype katika google lazima itakupeleka katika area husika na jamaa kama alipublish papers humo kama hajapublish ndio basi).
Njoo kwa Mathayo PhD (Either Agriculture or Animal Science)
Title- Unknown.
Chuo - Not Clear Free State University or University of Free State? (The first thing in a PhD is to learn about reputation sie tuliosoma masters tunalijua hili nashangaa aliesoma PhD halijui)
Jamani mie naenda zangu kulala usiku mwema nilikuwapo!!!!
Mtoto wa nje ya ndoa wa Msuya huyu Mathayo David akiona moto huu atazidi kukonda.
watanzania tumeamka sio wajinga tena. inawezekana amekata kitu kidogo huko TCU kama ilivyo kwa TBS unaweza kuwa na bidhaaa mbovu ukawapa kitu kidogo wakapitisha bidhaa zako.kama alivyokuwa akifanya bwana Mengi NA MAJI YAKE YA KWENYE CHUPA. au dawa zake za miswaki.