Dkt. Mathayo na Ana Kilango: Same "Wachina" wa Tanzania mpaka "VILAZA" wa Kilimanjaro

Wananchi wengi wa Same wanakabiliwa na magonjwa ya saratani

30 Aug 2007
By ITV Habari

Wananchi wengi wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wanakabiliwa na tatizo la magonjwa ya saratani ya matumbo na kichocho kutokana na ukosefu wa maji salama.

hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na mbunge wa Same Mashariki mhe. Anne Kilango Malecela wakati akipokea msaada wa mashine tatu za kusukuma maji kutoka kampuni ya simu za mkononi ya tigo.

Mhe. Anne Malecela amesema katika kukabiliana na tatizo hilo anaendesha kampeni yenye lengo la kuhakikisha kuwa asilimia 65 ya wananchi katika wilaya hiyo wanapata maji salama ifikapo mwaka 2010.

Kwa upande wake meneja masoko wa kampuni ya Tigo bw. Kelvin Twissa amesema kampuni yake itaendelea kutoa mchango wake katika huduma mbali mbali za jamii.
 
FMES,
hivi kwa mtizamo wako wananchi wa same tuna haki ya kupata maji lakini elimu hatuna haki nayo? credibility yangu itaondoka pale itakapothibitika kwamba yangu ni ya uongo. mpaka sasa hivi nimetoa ushahidi tuka vyombo vya habari na baraza la mitihani.

S0872 NDUNGU SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 12 FLD = 15 ABS = 6

S0901 KISIWANI SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 25 FLD = 12 ABS = 0

S0615 KIRANGARE SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 6 DIV-IV = 50 FLD = 8 ABS = 0

P0875 GONJA SECONDARY SCHOOL CENTRE

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 3 FLD = 14 ABS = 0
 
- Mkuu sasa hivi nipo kwenye line jela, nikimaliza shughuli za hapa nitarudi kukusaidia zaidi na facts, na nitamtafuta mbunge mwenyewe anipe facts wewe si unajua kua zipo, ila ni time tu kwa hiyo usiwe na wasi, naomba nipe nafasi nimalize ya hapa jela halafu later au kesho tuendelee na huu mjadala wako usio na kichwa wala miguu. Maana la elimu limetushinda taifa zima, sasa wewe kulilia mbunge wa Same East sina uhakika na agenda yako lakini tutayaweka yote hapa wazi, kama tulivyofanya hayo mengine ndio kilazaa atajulikana ni nani hasa kama so far hajafahamika.

Later!
 
Hivi kweli tumejiwekea kiwango cha maendeleo chini kiasi hiki? Visima 30 na baiskeli 20 ndivyo vya kujivunia? Mimi nadhani badala ya kumbeza Bangusule, Mheshimiwa angepelekewa malalamiko ili ayafanyie kazi. Kama kweli ni mbunge mwenye uchungu na eneo lake atayachukuwa kama changa moto kwake badala ya mbinu za kumwangusha.

Bangusule anastahili sifa na shukrani kwa kulileta hapa. Sasa kazi kwa waheshimiwa wabunge!

Amandla........
 
Mkuu Bangusile, kama wasemavyo hata ROMA HAIKUJENGWA KWA SIKU MOJA!
tuwapongeze walau hao waliojitahidi kupeleka hata huduma ya maji kwenye majimbo yao huko same, na tuwape ushirikiano hata kunako kuinua elimu watafika. Usikute ukosefu wa maji amao hulazimu vijana kutumia muda mwingi kutafuta maji badala ya kujisomea umekuwa ukichnagia sana udorola kwa elimu!

Ila kwa taarifa yako afadhali hata hao ambao walau wanawakumbuka wapiga kura wao, wengine hata hatuwaoni kabisa majimboni tunasubilia pilau tu na tisheti za njano na kijani panapo 2010!
 
Fundi Mchundo,

Hili ndilo tatizo la Tanzania pamoja na viongozi wetu, wanapenda sifa tu na mapambizo kibao; wakilaumiwa inageuka kuwa ugomvi.

Mimi ningelikuwa mama Kilango, ningekuwa wa kwanza kumtafuta Bangusule ili kujadiliana maendeleo ya jimbo na namna ya kuboresha. Pia ningetumia nafasi hiyo kumfahamisha Bangusule juhudi zingine ambazo ninafanya zikiwemo kutatua tatizo la maji na kusaidia vilema. Baada ya hapo huenda unakuwa umeigeuza kura ya Bangusule ije kwako 2010.

Katika maisha wengine tumejifunza kwamba unajifunza zaidi kutokana na challenges za mbaya wako au mtu asiye rafiki yako kuliko marafiki ambao wanakuimbia nyimbo tu hata pale unapokosea.
 
Mko hapo kwa kuaminia dhana hiyo ya Roma etc. etc. Muigeni Bangusule. Waleteni humu mwasute. Waulizeni kulikoni badala ya kungojea hizo pilau na Green Vest za njano!

Tunapenda mno kupongeza hata kile kiduchu tunachofanyiwa. With the bar set so low, tunategemea nini? Kama pilau ndiyo kipimo chetu basi pilau ndiyo tukayopata. Kama baiskeli ndiyo kipimo basi tutaishia hapo hapo kwenye baiskeli!

Amandla......
 
FMES,
mpelekee mbunge malalamiko yetu, na mwambie ushirikiano uleule aliotoa ktk kujenga visima autumie kuinua elimu katika wilaya yetu. pia hizi changamoto asizichukulie kama ni vita dhidi yake. Mama Kilango akiyatatua matatizo haya, wananchi wake watamkumbuka na kumuenzi.

tunachotaka toka kwake, ni maelekezo kuhusu mkakati endelevu wa kushughulikia tatizo hili. wananchi/wazazi wana mwamko mkubwa wa elimu na ndiyo maana wanaendelea kupeleka watoto wao shule ingawa matokeo yanawaangusha.

rasilimali ya wilaya ya Same ni watu wake. watoto ndiyo hazina yetu. hatukubarikiwa dhahabu, almasi,au mafuta, kama maeneo mengine ya Tanzania. kwa msingi huo yeye kama Mbunge, huku akishirikisha wananchi anapaswa kuwa makini sana, tena sana, katika kuinua kiwango chetu cha elimu.

Rwabugiri,
matokeo yaliyotoka yanatisha na kuumiza roho jamani. matokeo haya yanatia aibu kwa wilaya yetu, ukizingatia kwamba tuko katika mkoa unaosifika kwa matokeo mazuri katika mitihani.
 
Fundi Mchundo,

Hili ndilo tatizo la Tanzania pamoja na viongozi wetu, wanapenda sifa tu na mapambizo kibao; wakilaumiwa inageuka kuwa ugomvi.

Mimi ningelikuwa mama Kilango, ningekuwa wa kwanza kumtafuta Bangusule ili kujadiliana maendeleo ya jimbo na namna ya kuboresha. Pia ningetumia nafasi hiyo kumfahamisha Bangusule juhudi zingine ambazo ninafanya zikiwemo kutatua tatizo la maji na kusaidia vilema. Baada ya hapo huenda unakuwa umeigeuza kura ya Bangusule ije kwako 2010.

Katika maisha wengine tumejifunza kwamba unajifunza zaidi kutokana na challenges za mbaya wako au mtu asiye rafiki yako kuliko marafiki ambao wanakuimbia nyimbo tu hata pale unapokosea.

Mtanzania.

Mbaya zaidi ni hao wapambe ambao akikosolewa mtu basi wao wanakimbilia kudai kuwa kuna ki-ajenda. Bila kuwepo watu wa kutukosoa hatufiki mbali! Tunaridhika mno kwa vidogo ambavyo vingi ni haki yetu! Tumefika mahali ambapo kuna wabunge watajisifia kuwa bila juhudi zao Mheshimiwa Raisi asingetembelea majimbo yao. Na wananchi wakaridhika kwa hayo maendeleo waliyowaletea ( kutembelewa na mh. Rais) na kuwarudisha bungeni kwa kishindo cha Tsunami!

Amandla.....
 
- Mkuu sasa hivi nipo kwenye line jela, nikimaliza shughuli za hapa nitarudi kukusaidia zaidi na facts, na nitamtafuta mbunge mwenyewe anipe facts wewe si unajua kua zipo, ila ni time tu kwa hiyo usiwe na wasi, naomba nipe nafasi nimalize ya hapa jela halafu later au kesho tuendelee na huu mjadala wako usio na kichwa wala miguu. Maana la elimu limetushinda taifa zima, sasa wewe kulilia mbunge wa Same East sina uhakika na agenda yako lakini tutayaweka yote hapa wazi, kama tulivyofanya hayo mengine ndio kilazaa atajulikana ni nani hasa kama so far hajafahamika.

Later!

..mkuu unaonekana uko karibu na hao wabunge,ni kweli matokeo ya shule ni mabaya sana huko same inabidi kitu kifanyike,tafadhari wape hii habari hao waheshimiwa maana kuna kitu wanaweza kufanya kama kuhamasisha wananchi wao na kutumia uwezo wao kuomba walimu wengi zaidi na vifaa vya kufundishia...nina uhakika wakiona haya malalamiko na hizo number watafanya kitu!
 
Fundi Mchundo said:
Mko hapo kwa kuaminia dhana hiyo ya Roma etc. etc. Muigeni Bangusule. Waleteni humu mwasute. Waulizeni kulikoni badala ya kungojea hizo pilau na Green Vest za njano!

Tunapenda mno kupongeza hata kile kiduchu tunachofanyiwa. With the bar set so low, tunategemea nini? Kama pilau ndiyo kipimo chetu basi pilau ndiyo tukayopata. Kama baiskeli ndiyo kipimo basi tutaishia hapo hapo kwenye baiskeli!

Amandla......

Fundi Mchundo,
asante sana kwa mchango wako. nashangaa watu wamekongwa roho na hizo baiskeli 20 wakati matokeo ya mitihani yanaonyesha DIVISION ZERO karibia 60.
 
YourNameismine said:
Hivi Same secondary ipo ktk wilaya gani? kama ni wilaya ya Same, tuweke basi tuone na wao wamefanyaje au hai-fit ktk kampeni yako hii? Naona umechagua zile mbaya mbaya na kutuchomekea P moja ili kuipa uzito kesi yako...LOL!

YourNameismine,

Same Sec iko wilaya ya Same na matokeo yake nimekuwekea. hebu linganisha Same Sec ambayo ni shule kongwe na Chaangaja Msuya Sec iko wilaya ya Mwanga. msifikiri nimekurupuka ninaposema wilaya ya Same haina uongozi. wenzetu walao wana Div 1 na Div 2.

pia umeonyesha hisia kwamba labda suala hili linahusu kampeni ya 2010. jibu ni kwamba Mbunge asiposhughulikia masuala kama haya ndipo yanapogeuka kuwa ajenda za kampeni dhidi yake.

kama angeshughulikia tatizo la elimu na mambo yetu yakawa mazuri kama wenzetu wa wilaya nyingine za Kilimanjaro basi angeweza kutumia kigezo hicho kijizolea kura.

P0150 SAME SECONDARY SCHOOL CENTRE

DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 0 DIV-IV = 33 FLD = 45 ABS = 4

S1070 CHAANGAJA CLEOPA MSUYA SEC SCHOOL

DIV-I = 2 DIV-II = 2 DIV-III = 12 DIV-IV = 73 FLD = 6 ABS = 0
 
Jamani tusiwalaumu wabunge, walimu walikuwa busy kufatilia mafao yao, huku kwetu kamachumu watoto wakifeli ni mboko! tena kuanzia mwakani watoto wakifeli Mwalimu Mtoto na Mzazi mboko tu.
 
Nashukuru kwa kukubali kuwa hizi ni kampeni za 2010, asante sana! Pili kuna tofauti kati ya P01000 na S1000.....matokeo uliyoweka si ya Same secondary!! Hiyo Chaangaja uliicha kwasababu ina div one na two, passing yake ingawa ni ya chini, lakini ndio trend kwa takribani nchi nzima! Hili si tatizo la Same, ni tatizo la nchi nzima na linaanzia kwenye familia!

S0150 SAME SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 5 DIV-II = 13 DIV-III = 35 DIV-IV = 53 FLD = 16 ABS = 2

Yournameis mine,

Kwenye hizo shule kuna tatizo, it doesn't matter whether lengo la thread hii ni kampeni ya 2010 au la lakini ukweli unabaki pale pale kuna tatizo kwenye hizo shule.

Pia tatizo kuwepo hata sehemu zingine hakulifanyi lisiwe tatizo.

Mtamsaidia huyu mama Kilango kwa kumfikishia haya malalamiko ya wananchi hata kama yanatoka kwa watu wachache bado ni malalamiko na inatakiwa ayashughulikie.

Katika mkoa shule tisa mbovu kuwa kwenye wilaya moja sio jambo la kupuuza hata siku moja. Hao ni watoto wetu ambao hawatapata hiyo nafasi mara mbili, wakichemsha leo ndio imetoka. Hiawezekani hizo shule zote zisiwe na watoto wenye uwezo, tatizo hapo ni resources kidogo kwenye hizo shule.

Hata Same ambayo ni shule ya siku nyingi bado watoto waliopata Division IV na Zero ni wengi kuliko waliopata I mpaka III. Hiyo hali sio nzuri kabisa.
 
YourNameismine,
kama una matokeo tofauti ya Same Sec yaweke hapa yatatusaidia. hizi data nimezitoa kwenye website ya baraza la mitihani ya Taifa.

Chaangaja Msuya Sec iko katika wilaya ya Mwanga. nimeiweka hapa kwa minajili ya kujilinganisha na majirani zetu. kumbuka kwamba zamani Mwanga na Same zilikuwa wilaya moja. walau wenzetu wana div 1 na 2.

kama unadai failure rate yetu ni sawa na yao, kwanini basi passing rate yetu isiwe sawa au hata sisi tuwazidi?

suala hili lina umuhimu zaidi ya mambo ya kampeni. tunazungumzia future ya watoto wetu. kama Mama Kilango angelishughulikia tatizo hilo na kupata mafanikio kama maeneo mengine ya Kilimanjaro angeweza kulitumia kujizolea kura 2010.
 
Yournameismine,

matokeo ya shule zote zenye jina SAME nimeyaweka hapa. sidhani kama yanaelekeza kitu chochote zaidi ya kile ninachokipigia kelele. tuna matatizo katika wilaya ya Same.

S0150 SAME SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 5 DIV-II = 13 DIV-III = 35 DIV-IV = 53 FLD = 16 ABS = 2

P0150 SAME SECONDARY SCHOOL CENTRE

DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 0 DIV-IV = 33 FLD = 45 ABS = 4

P2514 CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI SAME

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 6 FLD = 16 ABS = 1
 
Kaka,
Mie sio CCM na wala simjui huyo "Super K".....tatizo langu na jamaa ni kuwa yupo kwenye kampeni na anatumia matokeo haya mabovu kwa nia zake binafsi na si uchungu kwa hao watoto waliofeli! Pili, jamaa anapindisha ukweli kwa makusudi ili ku-make a point kitu ambacho kwa kawaida mie ua ni tatizo kubwa sana kwangu....iweje ana-force matokeo ya P150 bla blah Same Secondary School Center kuwa ndio matokeo ya S1000 Same Secondary?? Sisemi kuwa matokeo ya Same Secondary ni mazuri, lakini ndio utakayo yakuta Pugu, Minaki, Nsumba, Bwiru, Sengerema Secondary n.k..kitu ambacho kinathibitisha kuwa hili ni tatizo la kitaifa na si wilaya moja ya mkoa wa Kilimanjaro! Pia ukiangalia idadi ya wanafunzi ktk hivyo viji-shule basi utagundua kitu kingine ambacho si tatizo la mbunge......

Jibu la matatizo ya elimu ktk Tanzania litaanzia ktk ngazi ya familia na si vinginevyo.....

Siasa ndo ilivyo kaka/dada kama unapata sehemu ya kuchomekea udhaifu wa mwenzako na ukaeleweka basi hiyo ndivyo ilivyo haihitaji mtu kuwa CCm au upinzani mchezo ndo huo. Na mimi natafuta point zangu niende kumtoa mama Kilango kaazi kweli kweli....Hakuna huruma.
 
Yournameismine said:
Kaka,
Mie sio CCM na wala simjui huyo "Super K".....tatizo langu na jamaa ni kuwa yupo kwenye kampeni na anatumia matokeo haya mabovu kwa nia zake binafsi na si uchungu kwa hao watoto waliofeli! Pili, jamaa anapindisha ukweli kwa makusudi ili ku-make a point kitu ambacho kwa kawaida mie ua ni tatizo kubwa sana kwangu....iweje ana-force matokeo ya P150 bla blah Same Secondary School Center kuwa ndio matokeo ya S1000 Same Secondary?? Sisemi kuwa matokeo ya Same Secondary ni mazuri, lakini ndio utakayo yakuta Pugu, Minaki, Nsumba, Bwiru, Sengerema Secondary n.k..kitu ambacho kinathibitisha kuwa hili ni tatizo la kitaifa na si wilaya moja ya mkoa wa Kilimanjaro! Pia ukiangalia idadi ya wanafunzi ktk hivyo viji-shule basi utagundua kitu kingine ambacho si tatizo la mbunge......

Jibu la matatizo ya elimu ktk Tanzania litaanzia ktk ngazi ya familia na si vinginevyo

Yournameismine,

ninavyoelewa mimi mtihani ni mmoja na haijalishi kwamba shule ni P1000 au ni S1000.
 
Wajameni mbona tumeshupalia sana suala la elimu wakati solution ishapatikana? labda hii wilaya yetu inahitaji kale kadawa ka kule Bukoba! sidhani kama mabadiliko ya Ubunge yatanyanyua kiwango cha elimu ghafla.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom