Mkuu Meningitis ;
Hebu na wewe sema! Maana imebadilika kuwa kejeli! Personally najua zaidi ya Dr F Maro Watatu!! Alafu soma ujumbe wa mtoa taarifa ya msiba!! Kwa aliye na taarifa za zaidi hili haliwezi kuwa tatizo hata kidogo. Lakini maswali bado yanakuwa mengi kwa mtu asiye na taarifa za zaidi kama zilivyotolewa hapa!! Pasingekuwa na adhari zozote kama tairafa ingetoa maeelzo na mwanaga wa kumtabulisha muhusika ilikuondoa utata kama ambavyo unaweza kuonekana!! Ni ushauri tu ..unaowezwa kuchukuliwa au kuachwa ...! Kwa sasa tunaweza kabisa kuachana na hayo na ikawa ni hakima na busara zaidi!!!
... Tena Poleni kwa wafiwa!!
hebu acha utoto kwenye swali la msingi.mimi nawafahamu kina dr maro zaidi ya watatu.sasa angalia hiyo taarifa ilivyo halafu useme ni maro yupi.kuna dr maro wa clauds,kuna dr maro wa muhimbili,kuna dr maro kcmc na wote hao sifahamu majina yao ya kwanza.
Hajawahi kuwa Dr wa MkapaNi Kaka wa mama Mkapa, alikuwa Dr wa Mzee Mkapa kipindi cha urais na pia ni dr muhimbili na ana dispensary yake Kkoo.
polen sana. aisee vifupisho hivi vimekuwa common jamvini, msaada wenu tafadhali, nisaidieni nijue maana yake.
Eg. RIP,
Lol! Daktari wa miaka mingi pale k'koo... Nimepata kutibiwa pale nikiwa kijana,miaka ya 80 mwanzoni.. Naipa pole nyingi familia yake!