Dr. Makongoro Mahanga Sukari imepanda

Mm aliniacha Hoi alipokimbia na masanduku ya kura tu! Magamba kwa kutimua mbio anapoona ulaji unaondoka!!!
Angalieni Msikimbie na masanduku ya kura huku Arumeru . Tutawafi.........nya!!!
 
Furaha ni kuumwa kwake au ni ushindi wa haki mahakamani?

Ni kama umefurahia kuumwa kwake badala ya kesi kumwendea vibaya.

Ushindi wa mahakama hauna uhusiano na kuumwa kwake wao wanaangalia ushahidi na vielelezo visivyo acha mashaka.

Kama ni kushindwa kesi ama akiwa wa afya njema au afya mgogoro bado atashindwa.

We unazungumzia Ugonjwa, kuna watu wanataka hata afie mbali uko
 
Furaha ni kuumwa kwake au ni ushindi wa haki mahakamani?

Ni kama umefurahia kuumwa kwake badala ya kesi kumwendea vibaya.

Ushindi wa mahakama hauna uhusiano na kuumwa kwake wao wanaangalia ushahidi na vielelezo visivyo acha mashaka.

Kama ni kushindwa kesi ama akiwa wa afya njema au afya mgogoro bado atashindwa.

mkuu nilitaka kuuliza hivyo hivyo maana naona anashangilia kuumwa kisukari wakati kwao baba na mama wanahangaika na dk nyoka pale tandale kwa ajili ya kisukari swala shangilia kushindwa kwakwe usikae ukamwombea mabaya mwenzi mpwa yanageukaga
 
Mm aliniacha Hoi alipokimbia na masanduku ya kura tu! Magamba kwa kutimua mbio anapoona ulaji unaondoka!!!
Angalieni Msikimbie na masanduku ya kura huku Arumeru . Tutawafi.........nya!!!
unawajua wameru wewe?! Hebu jaribu kuuliza kwa mtu anaewajua atakupa stori ya wale watu....ni noma kuliko maelezo,ni watu wasiotaka masihara hata kidogo na wenye msimamo.
 
atakaposhinda kesi ndo mtajua sukari imempanda au imemshika,chezea makongoro wewe
Akishinda Makongoro Mahanga kesi hii sidhani kama nitakuja kuiamini Mahakama yoyote tena nchi hii, nitakuwa namaliza kesi zangu kwa waganga wa kienyeji,...ukinidhurumu haki yangu jiandae kupambana na jini Mariamu.
 
mkuu sijacheka leo siku nzima we ninoma nimecheka sana hapa.
 
makongoro aliposhinda chaguz yake 2005 aliskika mtaani akitamba kua wananchi wa tabata ni kama kuku tuh,,hana shida nao,,akiwaitaji anawarushia punje za mahindi tuh then wakati wanahangaika kuzidonoa yeye anawakamata kiulainiii,,
uchaguz huu kweny campen alipokuja kujinadi tena wananchi wakamuambia wewe si ulikua unatuita sisi kuku na kwamba ukituhitaji unaturushia punje?haya sasa tumeitikia wito kukuskiliza turushia basi hizo punje utukamate...!!
Kwa asilimia mia uchaguz huu uliopita kaiba kura,,ndio maana alikimbia na yale masanduku...
 
Nitashangaa sana nikisikia Makongoro ameshindwa maana maana wakuu wote wa mahakama wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM, na kuna kila dalili kwamba uchaguzi ukirudiwa Segerea Makongoro atapata kula za familia yake tu

Kuna uwezekano mkubwa hata familia yake wasimpe kura,maana ni aibu kuwa na
mume au baba wa aina hii,anayekimbia na masnduku ya kura.
 
Back
Top Bottom