Dr Magufuli hana vinasaba vya CCM

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,018
1,147
Ukweli usio pingika ni kwamba members wengi wa CCM wanakuwa branded kama wababaishaji, wezi na longo longo nyingi. Kinacho-bore zaidi ni pale yanapokuwa kama manyumbu yanakubali kila linalosemwa na babu yao. Uwezo wa kusimama kama individuals na kusimamia hoja binafsi ndani ya CCM haupo. Kinachonishangaza ni kwamba Magufuli peke yake ameweza ku-demonstrate hilo. Ameingia Wizara ya Ujenzi na kusababisha mtikisiko mkubwa, ikiwa ni pamoja na kumtimua Mrema wa TANROAD ambaye amaelisababishia taifa loss ya mabil ya pesa under the watch of the president.
Ni dhahili kwamba Dr Magufuli uko the wrong side wanakutumia pale wanapokuhitaji. Sijui huja realize political power na support ulio nayo masikini! Yanini kuendelea kuogelea kwenye tope la CCM na kuendelea kutumiwa pale wanapokuhitaji wakati unakubalika kuliko chama chenyewe? Kama unalitakia mema kweli taifa haipo haja ya kuendelea na kukaaa na wababaishaji hawa wanao-mask uwezo wako. Okoa taifa lako Mchukue Sitta na Harrison pia.
 
Kesha gawa Ilani ya CCM kwenye wizara yake....Ni CCM member and it will remain that way......sio kila member wa CCM ni mbaya ila wengi wao ni wabaya......Dr. magufuli ni mmoja kati wazuri wachache.....
 
Nimeona mtu kaandika fb kwmba magufuli anajenga barabara mpya tokea mwenge mpk posta!kashaanza kungoa miti pale salendar cjui ni kweli wadau?!
 
You people are very naive. Didn't Magufuli sell goverment houses selfishly? He is the same.
 
kuuza nyumba za serikali ulikuwa uamuzi wa cabinet (serikali) yote, si magufuli. Uliza who are the members of the cabinet kisha uwalaumu wote. Maguful alipewa jukumu la kusimamia tu, kwa kuwa alikuwa waziri anayesimamia nyumba hizo. Hata kama alimpendelea mtu yeyote, hiyo ni weakness tu lakini uamuzi ulikuwa wa serikali nzima.

Stop being naive.
 
Si kweli, kwani mtu huwezi kusimamia kitu ambacho hukiafiki hata kidogo. Kama magufuli asingeliafiki kuuza nyumba za serikali asingeweza kusimamia uuzwaji ule na kuutetea hadi leo.

Kama ukisema ni maamuzi ya baraza la mawaziri hata kumfukuza Mrema ni maamuzi ya serikali na mawaziri kwa mantiki hiyo.

Issue kubwa hapa ni kwamba hakuna mtu msafi ndani ya CCM hata kidogo kila mtu ana ufisadi wake. Kikubwa ni kuiondoa CCM na kukiweka chama mbadala.
 
Mkuu you are right that is my point. Kwa nini tumwandame magufuli peke yake ktk issue ya nyumba za serikali kana kwamba yeye ndiye alikuwa mkuu wa serikali na nchi?

Kumfukuza mrema (wa Tanroads?) inawezekana kuwa ni uamuzi wa serikali au magufuli alikuwa empowered na serikali kufanya hivyo. Kwani CEO wa tanrods ni ajira inayoombwa na kuteuliwa na waziri baada ya uchakachuaji au ni presidential appointment?

Hapo kwenye blue, As I always insist na ninalisimamia hilo, ndani ya ccm hakuna msafi hata mmoja. kuniambia kuwa ndani ya ccm kuna mtu msafi ni sawa na kusema unaweza kutumbukia baharini na usilowe maji au ukatumbukia ktk choo cha shimo na usipakae mavi.
 
Si kweli kwamba ndani ya CCM hakuna anayelitakia mema taifa hili. Wapo wana CCM ambao wameonyesha utumishi unaokubalika, Lakini kwa sababu wako kwenye matope hawawezi kutoka bila kuchafuka. Ndio maana katika hitimisho langu nika sema. Kama kweli Dr anayo nia madhubuti ya kuwafikisha watz mahali fulani hakuna haja ya kuendelea nao, Manake wanamtumia kama chombo kujenga credibility zao pale ambapo hawa mhitaji wanam-sideline.
 
Magufuli naye ni weak kama wana CCM wenzie. Ni mbinafsi na mroho sana yule bahati mbaya watu hawamjui vizuri tu! Subiri kabla ya miaka mitano atakuwa kesha onekana true colors zake.
Mnakumbuka kilio cha wabunge walipouliza resouces za serikali katika budget zinapangwa kwa vipaumbele vipi? Ilianzia hapo ambapo huyu bwana kila kitu kilikuwa kinatengenezwa Chato. Ukiuliza kwa nini huwezi kupewa jibu.
 
Watanzania Bwana! True colour za Magufuli zipi unazo ongelea? msilete chuki binafsi zisizo kuwa na substance.
 
Ukweli usio pingika ni kwamba members wengi wa CCM wanakuwa branded kama wababaishaji, wezi na longo longo nyingi. Kinacho-bore zaidi ni pale yanapokuwa kama manyumbu yanakubali kila linalosemwa na babu yao. Uwezo wa kusimama kama individuals na kusimamia hoja binafsi ndani ya CCM haupo. Kinachonishangaza ni kwamba Magufuli peke yake ameweza ku-demonstrate hilo. Ameingia Wizara ya Ujenzi na kusababisha mtikisiko mkubwa, ikiwa ni pamoja na kumtimua Mrema wa TANROAD ambaye amaelisababishia taifa loss ya mabil ya pesa under the watch of the president.
Ni dhahili kwamba Dr Magufuli uko the wrong side wanakutumia pale wanapokuhitaji. Sijui huja realize political power na support ulio nayo masikini! Yanini kuendelea kuogelea kwenye tope la CCM na kuendelea kutumiwa pale wanapokuhitaji wakati unakubalika kuliko chama chenyewe? Kama unalitakia mema kweli taifa haipo haja ya kuendelea na kukaaa na wababaishaji hawa wanao-mask uwezo wako. Okoa taifa lako Mchukue Sitta na Harrison pia.

Oooh !!! Jamii Forums !!! Wakati umeenda wapi??? That was 5 years ago! Magufuli umeendelea kusimama Sitta na Mwakeyembe bureeee kabisa !!!!! Nilikuwa na maono Fulani Magufuli utakuwa perisdent
 
Watu wanaongelea Magufuli aligawa nyumba za serikali kwa upendeleo n watu wasiojua swala hlo kwa ufasaha ama ni bendera fuata upepo.Kuna watu walikuwa wanakalia nyumba za serikali tena wengne wafagzi na makarani maeneo ya Kinondoni,Oysterbey n.k.Nyumba zilikuwa zimechoka lakini viwanja vikubwa.Zoez lilipoanza, mabosı ambao walikuwa wamekimbıa nyumba hzo walıtaka kuwaondoa hao wafagzi na makaranı.Magufuli aliponya mikakati hyo, alitangaza ghafula asubuhı kuwa KILA MFANYAKAZI ALIYEKUWA ANAKAA KWENYE NYUMBA YA SERIKALI KUAMKIA LEO,KUANZIA HAPO NI YAKE,AJIPANGE KUKAMILISHA TARATIBU ZINGNE.MABOSI HOI.MASKINI WALIPATA NYUMBA KARIAKOO, ADA ESTATE,OBEY,MASAKI N.K.NANI ANABISHA?
 
kuuza nyumba za serikali ulikuwa uamuzi wa cabinet (serikali) yote, si magufuli. Uliza who are the members of the cabinet kisha uwalaumu wote. Maguful alipewa jukumu la kusimamia tu, kwa kuwa alikuwa waziri anayesimamia nyumba hizo. Hata kama alimpendelea mtu yeyote, hiyo ni weakness tu lakini uamuzi ulikuwa wa serikali nzima.

Stop being naive.

Salva Rweyemamu (mtoa habari ikulu) alieleza vizuri sana jinsi Magufuli alivyogawa nyumba za serikali kwa ndugu na mahawara zake. Gàzeti la Rai 2005
 
Kamwulize leo Salva kama hatakwambia ni ulikuwa uamuzi wa Serikali.
 
Back
Top Bottom