Dr Magufuli awasha moto Dar - ofisi ya RC Lukuvi na Manager Tanroads kubomolewa!

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,304
431
Mh Dr Magufuli ameamuru ofisi ya RC Lukuvi na ya manager mkuu Tanroads - dar zimepewa siku 5 kubomolewa maana zinatajwa kujengwa ndani ya 'road reserves'. pia kagundua malipo feki ya fidia ambayo yangelipwa kwa watu zaidi ya 60, ambayo ni zaidi ya milion 600. salaale CCM na serikali yake! finish!
source: RFA reporters.

my take:
hili lijamaa halikutakiwa liwepo bado ktk chama hiki cha wezi. alitakiwa awe CDM ili kazi zake zikamilike ktk mikono safi.
 
Mh Dr Magufuli ameamuru ofisi ya RC Lukuvi na ya manager mkuu Tanroads - dar zimepewa siku 5 kubolewa maana zinatajwa kujengwa ndani ya 'road reserves'. pia kagundua malipo feki ya fidia ambayo yangelipwa kwa watu zaidi ya 60, ambayo ni zaidi ya milion 600. salaale CCM na serikali yake! finish!
source: RFA reporters.

my take:
hili lijamaa halikutakiwa liwepo bado ktk chama hiki cha wezi. alitakiwa awe CDM ili kazi zake zikamilike ktk mikono safi.

Kwa nini CDM na sio upinzani in general? nyie mnaharibu sana mahali hapa mkiwa na mawazo ya U-CDM, kwa nini kulazimishana? vyama viko vingi na vina sera tofauti, kama hazipendi sera za CDM lazima awe CDM?? muwe mnajaribu kufikiria out of the box???

Ona sasa unamsifia akiwa CCM! sio utamsifia akiwa TLP pia??
 
Huu moto uendelee manake mama tibaijuka alikuja speed sijui kaishia wapi sasa!
 
Kwa nini CDM na sio upinzani in general? nyie mnaharibu sana mahali hapa mkiwa na mawazo ya U-CDM, kwa nini kulazimishana? vyama viko vingi na vina sera tofauti, kama hazipendi sera za CDM lazima awe CDM?? muwe mnajaribu kufikiria out of the box???

Ona sasa unamsifia akiwa CCM! sio utamsifia akiwa TLP pia??

U-CDM ndiyo lugha ya vijana wa humu ndani! BTW kwani kuna chama kingine cha upinzani zaidi ya CDM? maana wenye uchambuzi wa mambo wanajua mahali CUF inaposimama pia TLP na NCCR-Mageuzi!
 
I once said nchi hii kila unayepishana naye mwizi! in this kind of deal Rostam is not around! we have big job ahead!

Bado nafikiria ni wabongo wangapi wenye mikono misafi, hebu fikiria kwa mfano; kama rushwa ingekuwa ukimwi nani angesalimika?!
 
Kwa nini CDM na sio upinzani in general? nyie mnaharibu sana mahali hapa mkiwa na mawazo ya U-CDM, kwa nini kulazimishana? vyama viko vingi na vina sera tofauti, kama hazipendi sera za CDM lazima awe CDM?? muwe mnajaribu kufikiria out of the box???

Ona sasa unamsifia akiwa CCM! sio utamsifia akiwa TLP pia??

Mkuu hiyo nyie ni wakina nani kwa nini usimjibu yeye tu?

Mkuu huyo jamaa ana vigezo vyake vya kusema angekuwa Chadema, ni bora umuulize kuliko kusema yeye na wenzie ndio wana paharibu hapa JF
 
Kwa nini CDM na sio upinzani in general? nyie mnaharibu sana mahali hapa mkiwa na mawazo ya U-CDM, kwa nini kulazimishana? vyama viko vingi na vina sera tofauti, kama hazipendi sera za CDM lazima awe CDM?? muwe mnajaribu kufikiria out of the box???

Ona sasa unamsifia akiwa CCM! sio utamsifia akiwa TLP pia??

umesema ukweli mkuu,hakuna haja ya kulazimisha.Kila kiongozi anayethubutu kidogo eti ajiunge na chadema,hii ni nonsense.Vyama viko vingi na kila mtu ana maamuzi yake ashabikie wapi au awe mwanachama wa chama gani.Eti kuwa na uchungu na nchi hii ni mpaka uwe chadema,my foot!
 
Kwa nini CDM na sio upinzani in general? nyie mnaharibu sana mahali hapa mkiwa na mawazo ya U-CDM, kwa nini kulazimishana? vyama viko vingi na vina sera tofauti, kama hazipendi sera za CDM lazima awe CDM?? muwe mnajaribu kufikiria out of the box???

Ona sasa unamsifia akiwa CCM! sio utamsifia akiwa TLP pia??

Anamsifia mambo ambayo ndio kazi yake huyu mtu wa ajabu kweli, au ni Magufuri mwenyewe, kawasha moto upi hapo hizo ofisi zipo hapo tokea enzi Mkoloni, alipo kuwa Waziri wakati wa Mzee Ben hakuona hayo au?!! kuna watu wakiamua kusifia hawataki hata kunawa uso na kutoa matongotongo, hivi unaweza kumsifia mtu kwa kujisaidia chooni!!! eti ni mstaarabu sana hakujisaidia kitandani!!?? Naona tunagoma kutumia vizuri fikra zetu na neno "Great Thinkers"
 
magufuli ni mchapakazi sana namkubali lakini ananikera kwa uoga wake, mi nadhani ungosha ndo unamsumbua lakini anaweza kua bora mara mia zaidi ya mkwere.
 
Kwa nini CDM na sio upinzani in general? nyie mnaharibu sana mahali hapa mkiwa na mawazo ya U-CDM, kwa nini kulazimishana? vyama viko vingi na vina sera tofauti, kama hazipendi sera za CDM lazima awe CDM?? muwe mnajaribu kufikiria out of the box???

Ona sasa unamsifia akiwa CCM! sio utamsifia akiwa TLP pia??

Yatupasa kukubali kwamba kuna wazalendo ndani ya nchi ambao mfumo wa vyama unawakwaza.
Lets support them irrespective of political affiliation maana wote tukiwa CDM au UDP diversity itakuwa wapi?

Magufuli ni mpiganaji namkubali sana isipokuwa sijamsamehe alipouza nyumba za umma.
 
Hongera Dr. Pombe. Lakini kwanini asingepewa hata uwaziri mkuu tukaona anavyofanya mambo? Tumuombe Mkwere ampe PM kwa miaka miwili tu angalau. Nadhani tutaona mabadiliko angalau.
 
Mh Dr Magufuli ameamuru ofisi ya RC Lukuvi na ya manager mkuu Tanroads - dar zimepewa siku 5 kubomolewa maana zinatajwa kujengwa ndani ya 'road reserves'. pia kagundua malipo feki ya fidia ambayo yangelipwa kwa watu zaidi ya 60, ambayo ni zaidi ya milion 600. salaale CCM na serikali yake! finish!
source: RFA reporters.

my take:
hili lijamaa halikutakiwa liwepo bado ktk chama hiki cha wezi. alitakiwa awe CDM ili kazi zake zikamilike ktk mikono safi.

Liache libaki hukohuko kwani lenyewe ni li-Taliban. Linapata mdadi sana kubomoa, kurudisha nyuma maendeleo ya watu, kuwatesa na kuwazulumu haki zao. Fidia ya nyumba 60 za mjini katikati kwa shilingi 600, hiyo ni fidia au ni zuluma ya mchana kweupe. Na nyie mnaomshabikia kwa matendo hayo, fikirieni angalau kidogo wale wanaoumizwa na kukuru kakara zake: wengi wanakufa kwa ugonjwa wa moyo na presha, wengi wa waliobaki wanamaskinishwa kabisa ... Hayo ndiyo mnayoshangilia?
 
hivi waziri anaweza kutoa mri bila kufuata sheria inavyosema?

Hivi hawa ma graduates wa law ambao hawana kazi si wangeenda kunyemelea hizi kazi za NO WIN NO FEE maana haiwezekani wao kupata kazi za akina MKONO et al

halafu huyu Phd yake ilikuwa ya nini na aliichukulia wapi?
 
Kwa nini CDM na sio upinzani in general? nyie mnaharibu sana mahali hapa mkiwa na mawazo ya U-CDM, kwa nini kulazimishana? vyama viko vingi na vina sera tofauti, kama hazipendi sera za CDM lazima awe CDM?? muwe mnajaribu kufikiria out of the box???

Ona sasa unamsifia akiwa CCM! sio utamsifia akiwa TLP pia??

Ukweli utakuweka huru.

hakuna cha U-CDM, ishu ni ukweli upo au haupo?
kwanini kupoteza muda kutafuta sifa za vyama kama hazipo?
unadhani CCM wanaiogopa CDM kwa vile ina sifa kama CUF au TLP au NCCR ? La hasha, wanajua mkate walioudaka ukiponyoka unadakwa na nani. sio siri ni CDM, hatuna la kubishana ktk hilo. CUF tumeshaijua vyema, vyama vinginevyo tena tusiendelee kuvijadili.
 
Mh Dr Magufuli ameamuru ofisi ya RC Lukuvi na ya manager mkuu Tanroads - dar zimepewa siku 5 kubomolewa maana zinatajwa kujengwa ndani ya 'road reserves'. pia kagundua malipo feki ya fidia ambayo yangelipwa kwa watu zaidi ya 60, ambayo ni zaidi ya milion 600. salaale CCM na serikali yake! finish!
source: RFA reporters.

my take:
hili lijamaa halikutakiwa liwepo bado ktk chama hiki cha wezi. alitakiwa awe CDM ili kazi zake zikamilike ktk mikono safi.

Ni mawazo potofu saaana hayo pia ya kibinafsi kupita kiasi, chadema mbona pia kuna upupu kibao
 
Back
Top Bottom