Dr Lwaitama amuomba Nape awe mfano wa Kukiwezesha CCM kuwa chama Pinzani Makini

kwa kweli Nape amekubali kwa thati kabisa wazo la Dk.Lwaitama kuwa CCM aisadie iwe chama cha upinzani cha mfano.hakumjibu Dokta,badala yake amesema dk ni mzee mwenye busara na huwa anamshauri mambo mengi.
mimi nape nimefanya naye kazi Masasi.Ana akili sana na mchapa kazi.ni mwadilifu vile vile.kwa namna alivyozungumza leo na ukimya wake tangu kikao cha NEC amaanza kuwa na mawazo tofauti juu ya CCM.

Amekwisha pima upepo kuwa baada ya uchaguzi wa chama chao cha magamba hana chake tena pengine itabidi aende CCJ kama mabaki yake bado yapo!! Baada ya uchaguzi Nape na bosi wake Mukama kwishney!!!
 
kwa kweli Nape amekubali kwa thati kabisa wazo la Dk.Lwaitama kuwa CCM aisadie iwe chama cha upinzani cha mfano.hakumjibu Dokta,badala yake amesema dk ni mzee mwenye busara na huwa anamshauri mambo mengi.
mimi nape nimefanya naye kazi Masasi.Ana akili sana na mchapa kazi.ni mwadilifu vile vile.kwa namna alivyozungumza leo na ukimya wake tangu kikao cha NEC amaanza kuwa na mawazo tofauti juu ya CCM.

M4C ikianza ndo utajua Nape ni mkimya au mropokaji
 
Nape huwa anakuwa na busara akiona wasomi maana anajua itakuwa rahisi wao kuchuja pumba atakazo toa! In short ni mzugaji tu mwenye kusoma mazingira, ingekuwa kauli ya Lwaitama kaisikia kwenye vyombo vya habari halafu nae akawaita waandishi pale Lumumba msidhanie kuwa angeongea the same kama alivyo mjibu Dr palepale!

Angeanza kumtukana mzee wetu kwa kauli za kijinga, lazima tungesikia akisema "mwalimu lwaitama anazeeka vibaya" au " yule ni ccm mfu na ccm kazi yake sio kujibu wafu" Nape! Hana maana sentitano.

Hahahaaaa
 
Hao wawili wanajuana vzuri sana kwani ni majirani kwa baba mkwe wa nape ambapo nape huwa anakaa mara kwa mara ni jirani na kwa kichwa dr.lwaitama na kwa kweli nape anamheshimu sana dr lwaitama na anakubali kuwa ni kichwa so asingeweza na kamwe hawezi kumjibu.
 
Dr Lwaitama akichangia kwenye Kongamano la kumuenzi mwalimu juu ya Jukumu la vijana katika kumuenzi Mwalimu,Akimshukuru Jerry Slaa kwa kuweka hoja ya kiongozi kukubali ukomo wake na kumwachia Mwingine.

Atafurah kama atamuona Nape Nnauye akiongoza CCM kuwa Chama pinzani Makini.

Mods msiunganishe huu uzi ili tuijadiri hii kauli kwa undani zaidi.

Mzee kaiweka Vizuri sana.CCM sijui kama wana option ya kuwa chama cha responsible cha upinzani.Wao wanafikria options za kishatani kubaki.

Nape kaelezea habari nzuri (kuwajibika kwa kila ktk sehemu aliyopo) ila kasahau kuw ayupo katk chama kibaya.Niwajibike kazini ili nikalipe hela NSSF ambazo mimi kupata ni ngumu kuliko Manji kuchukua?Niwajibike wakati kila mwana CCM anamabilioni kwa kipindi kifupi cha kutowajibika? pengine hajaweza pata concept Rwaitama alikuwa akimaanisha nini kwa vijana uchwara wa CCM.Amabo wamefit sana ktk msemo wa kila kitu "feki" hadi watu ni feki.
 
kwa kweli Nape amekubali kwa thati kabisa wazo la Dk.Lwaitama kuwa CCM aisadie iwe chama cha upinzani cha mfano.hakumjibu Dokta,badala yake amesema dk ni mzee mwenye busara na huwa anamshauri mambo mengi.
mimi nape nimefanya naye kazi Masasi.Ana akili sana na mchapa kazi.ni mwadilifu vile vile.kwa namna alivyozungumza leo na ukimya wake tangu kikao cha NEC amaanza kuwa na mawazo tofauti juu ya CCM.
kagundua kuwa anakihangaikia chama kilicho kufa 85% hakisikii dawa ya aina yoyote.hakujua kuwa bosi wake huwa hamaanishi kile anacho kisema na ndio maana kwa vitendo ameanza kumjenga EL ili akubalike ndani ya chama kwa nia ya kumfanya aje awe mgombea wa urais wa ccm2015.kama anajua kusoma alama za nyakati ni bora ahame au abaki kimya.
 
...Atafurahi kama atamuona Nape Nnauye akiongoza CCM kuwa Chama pinzani Makini.
CCM kuwa chama pinzani? Acha utani zubedayo_mchuzi! Toka lini kupe akaweza kuishi kwa kujitegemea? CCM bila dola haiwezekani, hizo hela za rushwa, kanga, kofia na chumvi zitoke wapi? Hapo ni kaburi tu linaisubiri CCM mwaka 2015. Hukuwahi kusikia tabia ya manyang'au mzoga unapoisha...ni kutafunana mtindo moja!

attachment.php

Hiyo hela ya kuhonga wananume wazima vitenge itatoka wapi? CCM bila dola ni kufa tu...hapo hamna ujanja!​
 
kwa kweli Nape amekubali kwa thati kabisa wazo la Dk.Lwaitama kuwa CCM aisadie iwe chama cha upinzani cha mfano.hakumjibu Dokta,badala yake amesema dk ni mzee mwenye busara na huwa anamshauri mambo mengi.
mimi nape nimefanya naye kazi Masasi.Ana akili sana na mchapa kazi.ni mwadilifu vile vile.kwa namna alivyozungumza leo na ukimya wake tangu kikao cha NEC amaanza kuwa na mawazo tofauti juu ya CCM.

Kwa mara ya kwanza nimemsikia NAPE akizungumza kwa busara!! Keep it up Nape
 
CCM kuwa chama pinzani? Acha utani zubedayo_mchuzi! Toka lini kupe akaweza kuishi kwa kujitegemea? CCM bila dola haiwezekani, hizo hela za rushwa, kanga, kofia na chumvi zitoke wapi? Hapo ni kaburi tu linaisubiri CCM mwaka 2015. Hukuwahi kusikia tabia ya manyang'au mzoga unapoisha...ni kutafunana mtindo moja!

attachment.php

Hiyo hela ya kuhonga wananume wazima vitenge itatoka wapi? CCM bila dola ni kufa tu...hapo hamna ujanja!​

Duh!! Kweli JF ni kiboko. Hii picha ya Mwaka. Munamuona NAPE anavyowasanifu walalahoi? Hii inanikumbusha tajiri mmoja aliyekuwa anafurahishwa na kitendo cha maskini kupigania mikate aliyokuwa anawarushia kama vile anarushia mbwa!!!
 
Ha ha ha ha
 
Yupo sawa kabisa , ccm umefika muda sasa wa kujiandaa kuwa chama makini na kinachotegemewa cha upinzani hapa Tanzania. Unajua surprise si nzuri hivyo wajindae mapema taratibu hadi 2015
 
Back
Top Bottom