Leo mzee mzima nimeingia hapa kutaka kuwasaidia dada zangu kuhusiana na mapenzi kwani nina imani kubwa kwamba hawafahamu mengi kuhusiana na Wanaume... 'cause Men don't Talk..
Sasa basi ili mpate wapenzi na kuyaenzi mapenzi yenu, hamna budi kuwafahamu wanaume zenu, kufahamu wanafikiria nini, wanataka nini wanapendezewa na vitu gani..
Yote haya ili mpate kuondoa dhana potovu ambazo zimejengwa mara nyingi na wanawake wengine au watu wasiopenda mafanikio yako... sifanyi utabiri bali ni mambo ya kawaida kabisa ktk maisha yetu...
Muulize mzee wa bahari nikutonye yanayoajiri badala ya kusoma vitabu vingi vinavyotungwa au kuandikwa na Wanawake, ambao ukifuatilia historia ya maisha yao ktk ndoa au Mapenzi - They have failed..Na ndio sababu iliyowasukuma kuandika vitabu hivyo.. Why not learn from Dr. LOVE na Bureeee!..Lol..
Nitapitia hapa kila mara kukusanya maswali na unaweza kunitumia PM, trust me, U won't be disappointed!