Dr. Lick yuko wapi?

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Wakuu muu hali gani? Hivi yule mchambuzi machachari wa soka hapa Tz aliyekuwa akitumiwa sana na channel 10 ktk michuano hasa ya UEFA alienda wapi maana sijamwona wala kumsikia siku za karibu yuko wapi maana uchambuzi wake nilikuwa naupenda sana alikuwa akidokeza mahistori ya maana.
 
Back
Top Bottom