Elections 2010 dr.kitila wa tcib live on star tv

muonamambo

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
875
545
anachambua utafiti wa tcib akiulinganisha na mapungufu ya utafiti wa redet na synovate
 
Mkuu mbona unapotosha!? Dr Kitila si wa TCIB bali alikuwa anajadili tu kama mtaalam kuhusu tafiti za Tcib, Redet na Synovate..
 
anaainisha mapungufu ya tafiti ya redet na synovate kwamba yako tofauti na tafiti zingine kama zao na za online na hata tafiti za magazti. anahoji kwa nini zimepata upinzani mkubwa toka kwa jamii .anahöji vigezo na sampling ya watu waliohojiwa. anasema kama mtu anakuja na utafiti kwamba asilimia 30 tu ya TZ ndio masikini watu watauliza utafiti umeufanya masaki?
 
sie tushaunguliwa decoders zetu na uchakachuliwaji wa umeme jana usiku.
tuletee muvi zima hapa.
 
Mkuu mbona unapotosha!? Dr Kitila si wa TCIB bali alikuwa anajadili tu kama mtaalam kuhusu tafiti za Tcib, Redet na Synovate..

Kaka mtangazaji ndivo alivyomtambulisha kwamba na mhadhili wa chuo kikuu na mkurugenzi wa tcib. dr. kitila ameongelea pia umuhimu wa mdahalo kwa wagombea hususani nafasi ya urais ,alikuwa anajibu swali lililoulizwa na mtazamaji kwa uchungu kwamba kwa nn tunanyimwa haki ya kumhoji mgombea wa chama fulani kutokana na maamuzi ya chama hicho kugomea
 
Asante mkuu, nadhani dr kitila ni mwana JF na ataweza kutoa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom