Dr Kitila Mkumbo kugombea ubunge Singida 2015

Agombee/asigombee to me its not a big deal.Mkileta uraia wa nchi mbili hata mimi nitarudi kugombea kijijini kwetu 2015
 
nadhani ni mapema mno kuzungumzia mwaka 2015. Ila kiukweli mkumbo ni mtu makini sana na hazina kubwa ya mawazo cdm. ndio watakaoshika uenyekiti baadae. namtakia mafanikio mema
 
Ntafurahi kama ataendelea kuwasaidia vijana wa Kitanzania pale SKUL OF EDUCATION,
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.
 
Bora agombee, awache kupiga kelele mitaani: Anapenda siasa na anaiogopa. Aingie. Ila ajue katika kugombea kuna kushindwa na kushinda; asiangalia moja pekee.
 
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.

Mimi nagombea kupitia CDM jimbo la Iringa...mbona unisemi mkuu?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom