OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,185
- 103,685
''Mheshimiwa'' Dr. Hamisi Kingwangalah ameendelea kuwa katika wakati mgumu katika jimbo lake la Nzega. Hivi karibuni afisa uhamiaji wa wilaya ya Nzega aliwakamata Wanyarwanda ambao hawakuwa na kibali cha kuingia nchini, kutokana na uvunjifu huo wa taratibu za uhamiaji, Dr. Kingwangalah aliingilia na kutia nguvu katika kuhakikisha sheria zinachukua mkondo wake. Ajabu ni kwamba Dr.Hamisi alipokea ujumbe mkali toka kwa Mtoto kipenzi cha rais aitwaye Ridhiwani Kikwete kuwa aachane na hao Wanyarwanda, ni watu muhimu sana kwake. Dr. Hamisi alitii agizo hilo haraka sana
..Wananzega wamekuwa wanamdhihaki mbuge wao, na wameonelea kuwa kuna haja ya kuongozwa na Kamanda toka M4C
My Take: Maskini Dr.Kingwangalah
My Take: Maskini Dr.Kingwangalah