Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
Katika gazeti la The Citizen la leo 14.09.2010 kuna habari kuwa mkurugenzi mtendaji wa CRDB Bank ni miongoni wa wajumbe wa kamati ya kukusanya fedha kwa ajiri ya kuiwezesha CCM ishinde uchaguzi jimbo la Kawe.
Tatizo langu kubwa ni kuwa CRDB ni kampuni ambayo ni ya umma ikiwa pamoja na serikali ya Tanzania na sidhani kama kweli hatakuwa na upendeleo wa kisiasa katika kutekeleza majukumu yake hasa wakati huu wa uchaguzi.... kwa sababu lengo la pesa hizo ni kuisaidia ccm ishinde nadhani kama ikiwezekana kuwakwamisha washindani wake.
Na sheria za nchi zinakataza watumishi wa umma (CRDB ni kampuni ya umma) kujihusisha na siasa namuomba Kimei ajiudhuru kazi CRDB ili kusudi aitumikie CCM bila kuvunja sheria.
Habari yenyewe iko hapa CRDB boss admits CCM poll cash link