Dr Kigwangalla: Serikali ilitarajia kujenga vituo vya afya 10,000 hadi sasa imejenga 70 tu

Mtamile

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
2,838
1,267
Serikali ya ÇCM ilitarajia kujenga vituo vya afya 10000 lakini hadi sasa hivi vilivyojengwa havizidi 70 hayo yamesemwa na dr Kigwangala mbunge wa Nzega(CCM) katika kipindi cha tuongee asubuhi startv je kweli mipango ya serikali ya CCM inatekelezeka kweli?
 
ebu tujaribu kuangalia ni ahadi ngp ccm wametoa, kama unakumbukumbu ya ahadi zozote za ccm, weka hapa 2pime utendaji wao
 
Back
Top Bottom