Dr Kigwangala amtisha Bashe kwa bastola

Bigirita

Platinum Member
Feb 12, 2007
15,986
7,366
Mpambano wa Dr Kigwa na Bashe katika kinyanganyiro cha uwakilishi wa wilaya ya Nzega kwenye halmashauri kuu ya CCM umechukua sura mpya jioni hii baada ya Dr Kigwangalla kumtishia kwa bastola bwana Bashe ili asirudishe fomu.

Habari ndo hiyo, more to come.

wanasiasa wa CCM Tabora kwa matumizi ya bastola mnatisha.
 
We mutu uko wapi mida hii? Acha migamba iuane njoo pande hii tuchangie pato la sirkali dhaifu kwa biya nyingi.
 
sina haja na source tunakuaminia B, ila na huyo mwarabu/Msomali Bashe hakuwa na kiguu cha kuku!?
 
We mutu uko wapi mida hii? Acha migamba iuane njoo pande hii tuchangie pato la sirkali dhaifu kwa biya nyingi.
Mkuu unagongea wapi vyombo?? B. sijua atakua leo Nzega mie nlishaanza kitambo hapa Break Point
 
Hivi huko Tabora na bastola inakuwaje?
Hizi siasa zinatupeleka kubaya sana sasa

Tabora kuna cultures za kiarabu, kisomali, na za kijihadi. Bunduki, bastola visu & majambia huko ni kama any 'home utensile, i.e., sahani, kiti, etc.'!
 
Yoooote hayo kwa ajili ya kuendelea kuwadhulumu WATANZANIA,halafu wote ni WAHAMIAJI HARAMU
 
Nadhani ili iwe salama, CCM iwatopse wote hawa maana kuna sehemu nyingine nimesoma Kingwangala anakanusha kumtishia Bashe, anasema bashe ndio kamtishia yeye
 
Mpambano wa Dr Kigwa na Bashe katika kinyanganyiro cha uwakilishi wa wilaya ya Nzega kwenye halmashauri kuu ya CCM umechukua sura mpya jioni hii baada ya Dr Kigwangalla kumtishia kwa bastola bwana Bashe ili asirudishe fomu.

Habari ndo hiyo, more to come.

wanasiasa wa CCM Tabora kwa matumizi ya bastola mnatisha.

Tuambie, hatimaye nini kikawa,
i.e bashe kutii amri, au saidi bagaile kutiwa kizuizini
 
kwa rekodi zilizopo ni kuwa ujenzi wa Babel walishindwa kwa kutofautiana lugha lakini sio kufikia hatua ya 'kushikiana bastora'!!!!
Sasa ndugu (ccm) kama wanafanyiana hivyo itakuwaje wakianza kupambana wa 'externals'????
 
Tabora kuna cultures za kiarabu, kisomali, na za kijihadi. Bunduki, bastola visu & majambia huko ni kama any 'home utensile, i.e., sahani, kiti, etc.'!

Ushasikia ule wimbo wa TANU yajenga nchi? Asili yake ni wimbo wa sase zabela mitwe ambao maana yake ni risasi zimevunja vichwa. Asili yake ni jeshi la warugaruga la mtemi Mirambo wa Tabora.
 
Back
Top Bottom