Dr. Kasoga wa UDSM Economics Dept

Mkandara yuko so weak like our President. Yaani wanafanana katika mambo mengi sana. Kama alivyo Kikwete ndivyo alivyo mkandara hata katika mambo yetu yaleeeee......
Heshima mbele mkuu, hapa sijakuelewa vizuri unaweza kufafanua?
 
Hivi sasa Baregu na Kasoga ina maana wote wapo SAUT au ni Baregu peke yake?
 
Jamani nani ana taarifa zaidi nasikia Dr. Kasoga ameula serikalini?
 
mkandala is the worst VC udsm has ever got, nadhan tunajua alipewa u vc kwa kile kiredet alichokua anafanya tafiti za kutafuta nini cha kuisifia serikali badala ya tafiti za kuleta maendeleo kwa watu! former vc was an engieer, and most engineers are not political and they take no nonsense nakumbuka katika hafla ya kukaribishwa first yr the yr i was joining there he said ''if you have all agreed to boycott classes and you all feel its right to do that to achieve something then do it'' from there i knew he is reasonable guy!
 
Amina chifupa foundation?.......!
icon5.gif
icon5.gif
icon5.gif
 
Kichuguu,
Ni huyo huyo mtoto wa Mwinyi ambaye sasa anaandaliwa kuwa rais wa Zanzibar.
Tapeli nambari wani.
Kwa hiyo Kasoga ana bahati na watoto wa wakubwa. Kwani hata mke wake wa sasa ni mjukuu wa Baba wa Taifa.
 
Back
Top Bottom