Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

uzoefu (wa siku za kusoma hukumu wa kesi za kupinga matokeo ya ubunge) unaonyesha kwamba kama FFU wapo full kwa shari (magari ya maji ya kuwasha, askari makumi kadhaa, mbwa, mabomu ya machozi, risasi za mpira na moto) basi ujue ushindi upo kwa CCM.
 
Kwa kweli inaleta shaka sana, sijui itakuwaje
Lakini kama Jaji atakuwa sio wa vodafasta na yeye anaona Vodafasta jaji wanaharibu taaluma sijui itakuwaje pia atamrizisha dhaifu ama atafamfanya dhaifu zaidi??

Hapo sasa!
 
uzoefu (wa siku za kusoma hukumu wa kesi za kupinga matokeo ya ubunge) unaonyesha kwamba kama FFU wapo full kwa shari (magari ya maji ya kuwasha, askari makumi kadhaa, mbwa, mabomu ya machozi, risasi za mpira na moto) basi ujue ushindi upo kwa CCM.

Na singida yalikuwepo hayo magari, na Lisu akaibuka kidedea,

usiunganishe na yale ya arusha, manake hilo liko wazi sana,
yaani unashtakiwa kwa tuhuma za kukojoa hadharani, unahukumiwa kwa kosa la kuua. NDIYO MAANA HAKIMU KAANGUSHWA NA KIHARUSI.
 
JK kasema "Serikali haina pesa" Pinda kasema "liwalo na liwe" Lisu kasema "baadhi ya majaji hawana sifa" na Mnyika kasema "serikali Dhaifu"
Hapa utaona ni vita kati ya mshika mpini na mshika makali, wana JF nani ataumia mchezo ambao hauna mwamuzi?
 
Mimi naomba ccm ishindwe angalau migogoro inayopandikizwa ya waislam kupitia bakwata ipungue. Maana ccm kila kukucha wanabuni mbinu za waislam kukosana ili ccm iendelee kutetea pesa wanazotoa kwa madhehebu ya wakiristo (mou)
 
waache wenzio wale idd kwa raha zao,
kama vipi kawe mpagazi wa ponda
 
Hapa kuna ukweli!

uzoefu (wa siku za kusoma hukumu wa kesi za kupinga matokeo ya ubunge) unaonyesha kwamba kama FFU wapo full kwa shari (magari ya maji ya kuwasha, askari makumi kadhaa, mbwa, mabomu ya machozi, risasi za mpira na moto) basi ujue ushindi upo kwa CCM.
 
Chaguzi ndogo ni mzigo kwa TAIFA hili masikini. Laiti kama ushindi kwa CHADEMA ungemaanisha kupewa ubunge huu. Vinginevyo Kafumu aendelee tu ili kuepuka gharama hizi za kisiasa.
 
Hii nimeipena.
 
That fact!

Chaguzi ndogo ni mzigo kwa TAIFA hili masikini. Laiti kama ushindi kwa CHADEMA ungemaanisha kupewa ubunge huu. Vinginevyo Kafumu aendelee tu ili kuepuka gharama hizi za kisiasa.
 
nadhani leo fumu akifumiliwa ukombozi waislam watafurahi. maana ccm inalitumia bakwata kujenga chuki kati ya waislam kwa waislam
 
Back
Top Bottom