Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

dalali kamfumu kufuliwa??CCM hawawezi kubali ingia kwenye mechi ya majaribio!!!!!!!!!!!!!!!!IGUNGA.
 
Hivi lile daraja alilo ahidi wakati wa kampeni limeshajengwa? kwa walioko huko mtujuze
 
hey,hizo taarif vipi mbona ni almost saa tano????mliopo mahali pale tupeni mambo basi.
 
hakuna mtu hata mmoja yupo mahakamani bloody kanjanja ngoja nikatafute supu hapa kuboreka tu!!
 
LEO NI HUKUMU AU NI KESI INASIKILIZWA MAANA WALETA HOJA HAMUELEWEKI MARA KAFUMU KASHINDWA KUMLETA SHAHIDI MAHIRI MARA LEO NI LEO SEMENI MOJA,KAMA NI HUKUMU TUJUE NA SASA HIVI KWA SAA ZA DAR ES SALAAM NI SAA TANO NA DAKIKA TANO INA MAANA MPAKA SASA HUKUMU HAIJAANZA KUSOMWA AU
??TUPENI UPDATE MAANA KWA VYOVYOTE Kafumu ATAFUMULIWA
 
Kwa alie mahakamani tafadhali atujuze kinachoendelea kwa sasa ni kipi,au siasa zimeshawachosha?.
 
kashfa ya mahindi na daraja yameshapatikana kuwa ni makosa....
 
Mbona hakuna updates za maana jamani? Hizi ngonjera hazihitajiki kwa sasa, tunataka kujua kama dalali kapumuliwa... ahaa I mean kafumuliwa.
 
Back
Top Bottom