DR. Jakaya Kikwete: Mnyonge Mnyongeni!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Huku bongo yaani Ground Zero, pamoja na mapungufu ya Awamu ya nne, kuna mambo mawili muhimu mazuri sana nimeyaona kama legacy ya Rais, Dr. J. Kikwete, nayo:

1. MVUMILIVU WA DEMOKRASIA na 2. CREATION OF MIDDLE CLASS.:

- kwa haya mawaili ni matumaini yangu kwamba historia itamuhukumu kwa haki.

FMEs: ni WAZEE WA SAUTI YA UMEME & DATAZ!
 
lini unarudi first world? Umeshajenga mtandao wa kutosha?

Kwa hiyo jk kajenga people's power? Which power u r talking about, sir?
 
- Huku bongo yaani Ground Zero, pamoja na mapungufu ya Awamu ya nne, kuna mambo mawili muhimu mazuri sana nimeyaona kama legacy ya Rais, Dr. J. Kikwete, nayo:

1. MVUMILIVU WA DEMOKRASIA na 2. CREATION OF MIDDLE CLASS.:

- kwa haya mawaili ni matumaini yangu kwamba historia itamuhukumu kwa haki.

FMEs: ni WAZEE WA SAUTI YA UMEME & DATAZ!

Maana yake ni kwamba hana jazba na siyo dikteta
 
Vipi kuhusu vyuo vikuu na barabara? Ameingia madarakani tukiwa na lami kilometa ngapi na vyuo vikuu vingapi?
 
Mkumbushe basi ahadi alizotuahidi wakati wa kampeni, kama hawezi basi ni mwongo alitudanganya na kama ni mwongo je tumwaminije kwa hayo unayosema? Mfano # 1 ni matokeo ya udhaifu na woga hawezi kusimama mbele ya wanaume na kujenga hoja, Hukumbuki wakati wa kampeni alikwepa midalo? hawezi kufanya maamuzi maagumu. Pia uelewa wake ni mdogo hana dira ndo maana hakuna anachokisimamia. Amejiachia tu bora liende na wewe cha ajabu huwezi kutofautisha kati ya ugali na mavi!!! Ukitaka kuthibitisha ninayosema ufisadi unaendelea kushamiri na hakuna madhara yoyote kwa wahusika, viongozi wa serkali na chama chake wanajibwatukia tu ovyo ovyo na kupingana kimakundi, kwa sababu ya woga ilichukua migomo 2 ya madaktari, vifo vya mamia ya wagonjwa na encouragement ya hali ya juu kukutana na madaktari kabla ya wazee ubwabwa ambako ndo uwanja wake wa nyumbani
# 2 creation of middle class on the expense of lower class!!! Yaani wanavijiji wa geita, nyamongo wanyang'anywe raslimali zao ili riz1, ngereja, january, adam nk waongwe mamillioni ya kujengea mahekalu dar? Usaliti wa nchi na watu wake ndo wewe unaita creation of middle class??!!!
 
Mzazi mwambie hupo dogo amewahi kumsikia mtu anayeitwa Paulo Kagame au Julias Nyeyere,au kama anamkumbuka wanaume Moringe Sokoine hao ndo viongozi sio hili baba Mwanahasha ambaye hajui anacho kifanya kukenua na kuzurura nchi za watu
 
- Huku bongo yaani Ground Zero, pamoja na mapungufu ya Awamu ya nne, kuna mambo mawili muhimu mazuri sana nimeyaona kama legacy ya Rais, Dr. J. Kikwete, nayo:

1. MVUMILIVU WA DEMOKRASIA na 2. CREATION OF MIDDLE CLASS.:

- kwa haya mawaili ni matumaini yangu kwamba historia itamuhukumu kwa haki.

FMEs: ni WAZEE WA SAUTI YA UMEME & DATAZ!
Hapo namba moja nakubaliana na wewe kwa mbaaali i mean si sana.
Hapo namba 2 si kweli....but huu ni mtizamo wangu
 
Dogo middle class hujengi bila umeme,barabara na elimu inayoeleweka ; nenda katembelee shule alizosoma baba Mwanahasha Kibaha na Tanga School hata kupita tu nakusabahi hajawahi zote zimeoza, kijiji chake alichokuwa mbunge miaka kumi na tano watu wanaishi kama walivyo ishi babau zao miaka mia mbili iliyopita .......kuzaa na kuwanga...........nafikiri akifa itabidi ubongo wake uchukuliwe na wataalamu kwani inawzekana wakagundua jambo haiwezekani utawale nchi masikini na wananchi wako wanalia shida wewe unakenua meno masaa ishiri na nne .....................there must be something wrong with baba Ridhiwani brain and never system
 
Sawa. Ila hao wanaoitwa ''middle class'' bado ni % ndogo mno; na wengi wao wametumia njia chafu kufikia hapo walipo.
 
...Hii ni kama kampeni ya kutushawishi tuone 'mafanikio' ya JK. Ukweli ni kwamba mafanikio yanajionyesha yenyewe, hayahitaji kupigiwa debe. Rwanda wameweza, sisi tumebaki kuokoteza 'mafanikio'.
 
Vipi kuhusu vyuo vikuu na barabara? Ameingia madarakani tukiwa na lami kilometa ngapi na vyuo vikuu vingapi?

- Hili nililisahau kabisa kwamba UDOM ni chuo ambacho hakina mfano, people next time tutaongelea mapungufu tu kwa leo ni mazuri tuu!

Es!
 
Huu unaleta hapa ni uchuro mtupu. Jaribu kuringanisha nchi yako na nchi zingine ndio utajua kama unaendelea au la na sio kukurupuka tu. Middle class unamaanisha darasa la tano au?
 
- Huku bongo yaani Ground Zero, pamoja na mapungufu ya Awamu ya nne, kuna mambo mawili muhimu mazuri sana nimeyaona kama legacy ya Rais, Dr. J. Kikwete, nayo:

1. MVUMILIVU WA DEMOKRASIA na 2. CREATION OF MIDDLE CLASS.:

- kwa haya mawaili ni matumaini yangu kwamba historia itamuhukumu kwa haki.

FMEs: ni WAZEE WA SAUTI YA UMEME & DATAZ!

Hiyo ya Uvumilivu wa Demokrasia nakuunga mkono!
 
- Huku bongo yaani Ground Zero, pamoja na mapungufu ya Awamu ya nne, kuna mambo mawili muhimu mazuri sana nimeyaona kama legacy ya Rais, Dr. J. Kikwete, nayo:

1. MVUMILIVU WA DEMOKRASIA na 2. CREATION OF MIDDLE CLASS.:

- kwa haya mawaili ni matumaini yangu kwamba historia itamuhukumu kwa haki.

FMEs: ni WAZEE WA SAUTI YA UMEME & DATAZ!
Hapa tupo pamoja 100% mkuu...

Wazee wa Sauti ya Umeme
 
YEAH... nimekukubali mzee kwa kugundua j.m ni mtu wa quantity na sio quality, so ndio maana taja shule 1000 za kata, chuo kikubwa badala ya chuo kizuri kitaaluma, middle class bila kusema ni kina nani na wamefika hapo kwa njia zipi, usisahau kina EL yote ni quantiy ya mafanikio yake
 
Back
Top Bottom