Elections 2010 Dr Jakaya huyooo whitehouse!

hatamimi zitoakija ntakwenda kumsikiliza i like him sio kuwa ntaipigia chama chake,elewa ushabiki na kuchagua kiongozi kwa miaka mitano.usitathmini kwamahudhurio ya mkutano watu wengi wapendatu kusikiliza mikusanyiko inamengihata waizi wa mifukoni wanapata ajira saa hiyo,wasio na ajira pia wanapotezeamudahapo kumbuka lyatonga 1995.
 
Subira,
Lyatonga alishinda 1995. CCM wakachakachua kama walivyofanya Zanzibar. Hawajaanza leo hawa.
 
Dr???????? Ndiyo sera mlizokuja nazo sasa CCM maana mnajidai mabingwa wa sera. By the way sera ni nini maana namsikia mgombea wenu akitaja ahadi nyingi ndiyo hizo??
 
Tusubiri tarehe 31/10/2010 cha msingi tusimwage damu,wananchi waamue wenyewe."UKIONA WATU WOTE NA KWA NYAKATI ZOTE WANAKUWA NA FIKRA NA MITAZAMO INAYOFANANA UJUE KWAMBA FIKRA NAMITAZAMO YAO NI FINYU"(WALTER LIPPMAN)
 
Tembelea hapa kwa video zaidi na kuona watu wa Musoma walivyo na ujasiri wa Demokrasia, namshangaa huyo anayesema watu wa Musoma wamemuhakikishia JK ushindi wa 90%

Documentary

Yaani nimecheka mpaka basi. Jamaa mmoja anasema walipewa bilioni moja kutapanya kwenye kampeni huko Tarime huku askari waliopelekwa huko kuwapiga wananchi wakipewa Sh. 1000 kwa siku na wakiona mwananchi anakunywa maji ya Dasani askarii naye anamwomba. Askari wetu fungukeni, achaneni na CCM maana sera yao ni maisha bora kwa kila mwanamtandao na familia yake na si kwa Watanzania wote mkiwemo nyie askari.
 
Any half witted nincompoop can get to Ikulu, swali ana mpango gani akishafika Ikulu ? Au kufika Ikulu ndiyo mwisho wa mipango yake ?
 
Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake,

wakati huo huo Dr SLaa anaagaika mikoa mingine najua kura zake bado hazijatosha mkapa sa ana kama asilimia 7

Mungu msadia rais wetu JK
I Feel like puking. Whats wrong with Mr. that he deserves? But then there many Dr types.
 
hatamimi zitoakija ntakwenda kumsikiliza i like him sio kuwa ntaipigia chama chake,elewa ushabiki na kuchagua kiongozi kwa miaka mitano.usitathmini kwamahudhurio ya mkutano watu wengi wapendatu kusikiliza mikusanyiko inamengihata waizi wa mifukoni wanapata ajira saa hiyo,wasio na ajira pia wanapotezeamudahapo kumbuka lyatonga 1995.
Tumia akili kidogo Subira. Ina maana wanaokwenda kusikiliza bila nia ya kupiga kura ni kwenye mikutano ya CHADEMA, CUF, etc. Lakini kwa CCM ndiko kuna wapiga kura halisi? Logically doesn't make sense.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom