Dr. Idris rashid fisadi mkuu tanesco

Ndugu Wadau
Popote pale mlipo natanguliza shukrani. Lengo langu kubwa ni kuwataarifu kwamba, tumechoka na ufisadi, na nitarudia kwamba tumechoka. Tumeanzisha blogu mpya kwa ajili ya kuwatia weu mafisadi yote.

Hii siyo ZE_UTAMU wala haitaweza kuwa kama ze- utamu. Hii ni site yenye maadili yake, kwa maana hiyo yeyote mwenye nyaraka au habari za kifisadi, tunaomba mtutumie ili tuwabaini. Majina yote yatakuwa ni ya siri kwani wote watakuwa ni wapiganaji

tunawaombeni msaada katika kuwafichua mafisadi. Siyo chuki binafsi bali UFISADI katika idara zote za serikali na umma kwa ujumla. Hakuna wa kumuogopa hapa, kwani tuna uhuru huo wa kutoa hoja bila ya kuvunja sheria, kwa maana hiyo vita ndio vimeanza. Tanzania watu waoga sana, basi sisi tumeamua kuwafichua, Hatuwezi kumsubiri Dr. Slaa tena wakati nchi inakwisha
 
Ingekuwa vizuri kama ungebandika pia picha ya ile kasri iliyokarabatiwa kwa Tshs. Milioni 600 kule O'Bay. Walichapisha ThisDay majuzi lakini naona haipatikani tena.
 
Acheni unafiki na uongo. Kama hamna facts, nendeni mkalale usingizi. Afterall, tomorrow is another day!
 
Rashid ni mkware sana na inawezekana Mama Subi hapo juu ni mtu wake ndio maana amechukizwa na thread hii! UKWELI NI KWAMBA RASHID ANA HISTORIA YA UFISADI TOKA ALIPOKUWA NBC NA HATA BENKI KUU; KITU CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA HATA NA REKODI MBAYA NAMNA HII BADO ANAKUMBATIWA NA MKULU!! Kama wasemavyo wahenga BIRDS OF A FEATHER FLY TOGETHER
 
...kwa maana hiyo yeyote mwenye nyaraka au habari za kifisadi, tunaomba mtutumie ili tuwabaini.

Kuna tofauti gani kati ya Jamiiforum.blogspot.com na Jamiiforums.com ?

Kwa nini hizo nyaraka zisiwekwe hapa JF zipelekwe huko kwenye blog yako?

Tuwatumie nyaraka nyinyi kina nani?
 
Last edited:
Rashid ni mkware sana na inawezekana Mama Subi hapo juu ni mtu wake ndio maana amechukizwa na thread hii! UKWELI NI KWAMBA RASHID ANA HISTORIA YA UFISADI TOKA ALIPOKUWA NBC NA HATA BENKI KUU; KITU CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA HATA NA REKODI MBAYA NAMNA HII BADO ANAKUMBATIWA NA MKULU!! Kama wasemavyo wahenga BIRDS OF A FEATHER FLY TOGETHER

Mkuu, mimi sipendagi blah blah za watu ambao hawani hata proof. Just because mtu amekuwa anaongoza vitengo mbalimbali basi anaandamwa nakuitwa fisadi. Hiyo nyumba ambayo imefanyiwa ukarabati kwa 600 million, mnajua ukarabati wa namna gani? Na mnauhakaki au ni stori za mtaani tu?

Tunategemea kuwa na wasomi humu ndani, sio watu wakurupukaji. Tungejitahidi kuleta facts. Hiyo historia ya ufisadi ni bora ingewekwa wazi ili wote tuisome na tuijue.
 
luvin eyes
 
kumbe hiki kijamaa fisadi original ndio kimiliki cha ile blog?
 
kibaya kijama hicho kinatumia majina yetu tukufu kuweka comments matusi....

aseee kumbe, kwahiyo kinaweza kupost comments zake kwa majina ya hapa JF, watu wakajua Yo Yo katoa comments kumbe ni kenyewe!, kanabidi kaadabishwe.
kanaharibu reputations za wanaJF bana, duh.
 
Why can't we take the fisadis in Tanzania to task?!!!!!!!! It is high time that we do something against these people wherever they are instead of just discussing issues and ending there! Someone somewhere said all Tanzanians are fisadis except that some of us have not come to "fertile lands" to practice it. Let us prove him wrong by doing something. Let us as jamiiforum fighters come up with an implementable strategy that will end ufisadi un Tanzania otherwise we will be judged by history as having been part of the ufisadi, kwani naamini kama unaona mtu akiiba na hukupiga kelele ili akamatwe, wewe pia umechangia katika wizi huo!!!!
 
Jamani Uongozi ni jalala. Dr. Idris ni msomi safi na nimfanyakazi mchapakazi.Kuna wakati ukiwa kiongozi unatakiwa kuamua kwa manufaa ya shirika. walikuweko wazungu wa Afrika ya kusini wakashindwa kuendesha shirika. Kaja huyu mzawa anafanya kila njia kutumikia Taifa. Lakini kama wasemavyo wahenga "kwenye rupia kuna uzia" Tukiendelea hivi kuzania kila mtu mkubwa ni fisadi hatutafika popote....Kama kuna ushahidi toeni basi au sivyo Jamii forum itakuwa inajaa majungu kama yale ya ze...utamu. Tusifike hapo...
 
Kitu ambacho hamjui ni kwamba FISADI IDRIS RASHIDI amewekwa hapo na akina RA akitokea kwenye Kampuni yao nyingine ya VODACOM kwa lengo moja tu la kusimamia wizi wao wa kutisha kupitia RICHMOND/DOWANS. Habari ndiyo hiyo!
 
mnhh, kazi ipo.
na kwanini atumie kiujanja ujanja jina la forum yetu pendwa ya JF?
mmh,kwani FO na YoYo si ni mtu mmoja? mbona unataka kutuchanganya hapa mkuu? Pwa ako kablog si ni kwako? au tayari umejitoa huko?
 
Back
Top Bottom