Dr. Hussein Mwinyi kugombea Urais wa Tanzania 2015?

Rais ajaye atakuwa either mzanzibari (nakubaliana na Gosbert kwamba anaweza kuwa Dr. Hussein Mwinyi) au anaweza kuwa mwanamke, na hapa Dr Rose Migiro anaweza kupeta!

My Take: Dr Rose Migiro ana-stand chance nzuri zaidi ya kuwa Rais kwa sababu already kulikuwa na maneno wakati Amani Karume alipogombea kwamba inakuwa kama "usultani" vile, kwa sababu baba yake aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar .... hivyo nadhani logically, kuna watu (walioko kwenye maamuzi) wataona ni afadhali mwanamke achukue kuliko mtoto wa Rais mstaafu!

Ufanisi wa Mhesjimiwa Makinda ndio utaamua kama mwanamke atamudu nafasi hiyo nyeti kwa maisha ya watu
 
Ufisadi alioufanya baba yake kwa kuuza Loliondo na maliasili yetu lukuki inafanya urais wa mtu mwingine toka visiwani kuwa mgumu sana kwa watu wa bara!! They missed a chance with Salim; I do not see any chance for a Zanzibari in the foreseeable future!!
 
Hata kama atachaguliwa "muislamu muislamu muislam,...... Potelea mbali .ama atachaguliwa mkiristo mkiristo mkiristo......... Potelea mbali kwani tumekuja kuchaua sheikh /pope".. Tunataka rais ajae awe anaichukia rushwa si kwa maneno tu , tukimuangalia usoni tunamuona huyu kweli anaichukia rushwa-----j k nyerere.
 
Heshima kwenu wadau,

Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari yanayoendelea katika medani ya kisiasa hapa nchini hasa katika CCM, ikiwa pamoja na mabadiliko ya uwongozi ndani ya chama, pamoja na msimamo wa CCM kuhusu katiba mpya.

Katika kuunganisha kwangu "dots" nimepata maono kwamba Kama katiba mpya itafuata matakwa ya CCM (uwezekano wa hili ni mkubwa kwasababu Serikali itasimamia mchakato mpaka kura ya maoni) basi Raisi ajae wa 2015 ni Hussein Mwinyi na 2025 ni Ridhiwani.

Nimefunguka baada ya kusikia maoni ya wanaojiita vijana wapenda Amani. mnaonaje wadau maono yangu?
 
Ameshindwa wizara unataka kumpa nchi?
 
DUH .... hii familia ya kikwete irudi tena kuongoza nchi??? .... hizi akili Ndogo jamani kutawala akili kubwa ... nashukuru Mungu hiki kizazi cha sasa hakitakubali Ujinga huu........
 
Mkuu usipende kuokota habari za kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF.

JF siyo sehemu ya porojo.
 
tukiwapa tena,halitakuwa soko tu,bali watengenezaji,na tutahalalisha kabisa matumizai yake,hivi hatuoni kinachotokea kwa nchi za America ya kusini.......unga mbaya sana kwa usalama na uchumi wa nchi....
Ingrates!!!!!!
Tuliwapa nchi wameifanya soko la unga. Tufyakwa
 
Tunaitaka Tanganyika yetu irudi ili huu upuuzi wa Wazanzibar kutawala Bara uishe mara moja.
 
Back
Top Bottom