Kati ya wewe na Madcheda mwenye unafuu wa wehu ni yupi i don't see the difference.
Please stop this kuitana wehu
Kati ya wewe na Madcheda mwenye unafuu wa wehu ni yupi i don't see the difference.
Inawezekana ni wewe unayenekana mwehu manake wakuu wa mkoa wa Dar wengi wao huwa wanakuwa na tabia ya wehuwehu hivi.
Anachosema Gosbert ni utabiri lakini in a way siyo utabiri. Anajaribu kuangalia mazingira yaliyopo na ku-predict future kwa basis ambayo is more scientific than utabiri unaofanywa na kipenzi chako shekhe yahaya.
Greese ThinkerAre u great thinker or great jinga? unawezaji kulalamikia utabiri? Yaani wewe kwa akili yako inavyoonyesha jamaa akikutabiria kufa utataka pia afe na muislam kwanza. Da! imenihuzunisha kweli, mtu kuanza kulalamikia assumptions. wewe UDINI unakusumbua . Basi na mimi natabiri Serikali ijayo yote itaongozwa na Wakristo, tena wa dhehebu lako na baba yako akiwemo. Haya furahia utabiri huo, teh! teh!
Kaka me nazan na wewe pia ni mwehu maana katika kundi lote hili ts only u uliyejua sisi ni wehu! Nazan na wewe ni mwehu maana wapemba wanajua kwa vilemba
Ndugu zangu waJF,
Miezi kadhaa iliyopita nilipost thread mbili humu jamvini zote zikimtabiria Mzee Mukama kuwa ndiye possible candidate wa kikwete kwenye kiti cha ukatibu mkuu wa ccm. Hatimaye utabiri huo ulitimia. Chanzo changu cha uhakika kutoka kwenye system kilinipa guts za kupost hizo threads.
Sasa naomba kwa mara nyingine na mwisho niwaambie jambo moja. Kama mtakumbuka miezi kadhaa imepita tangu vijana wa ccm mkoa wa pwani walipotoa tamko lao la kulaani wazee hususan mawaziri wakuu wastaafu wanaokikosoa chama na serikali yake. Katika laana hiyo walitamka jambo moja ambalo huenda wengi wetu hatukulitilia maanani na tukalipuuza japo Mzee Sumaye alilitolea kauli kwenye mwitikio wake kuhusu laana hiyo ya vijana.
Wale vijana waliwatuhumu wazee wastaafu kuwa wanautafuta urais na wakawaonya kuwa wasipoteze muda kuusaka urais kwani anayemjua rais ajaye ni kikwete peke yake. Katika fukuafukua yangu nimebaini kuwa wale vijana hawakuwa wajinga kama wengi wetu tulivyowapuuza. Walitumwa kuwavunja mioyo siyo wazee wastaafu tu bali na wengine wanaofikiria kutangaza nia kwa tiketi ya CCM.
Kwa taarifa yenu na naomba msipuuze hata kidogo, mgombea urais kwa tiketi ya CCM atakuwa ni mtoto wa mzee mwinyi anayefahamika kwa jina la Husein Mwinyi ambaye kwa sasa ni waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa. Kwa wanaoijua vema siasa ya nchi yetu, watahitaji dakika chache tu kujikumbusha mambo kadhaa kabla ya kuunga mkono utabiri huu.
Kazi kwetu wanaJF kumjadili huyo jamaa.
Sheikh Yahaya in tha making! Enheee mnajimu wangu tuambie na mwisho wa dunia ni lini?au wewe unatabiri ktk siasa tu?okey kma ni siasi tu tutabilie mkuu wa mkoa mpya wa dsm ni nani?
Hizo kura milioni tisa zilikuwa 2005 kabla ya watu kutambua geresha za ******. Uchaguzi wa 2010 CCM iliambulia kura milioni 4. Kufikia 2015 watakuwa wamebakiwa na milioni mbili tu. Na kuhusu Mwinyi huyu mtu hafai hata kuwa waziri, sembuse rais wa nchi. Ni daktari ambaye hajawahi kutibu, pale wizara ya Ulinzi anapwaya, i.e mbagala na gongo la mboto. Bungeni amekaa tu kama pambo la maua dirishani. Mtu kama huyu hawezi kuiongoza Tanzania katika karne hii ya 21. Na kuhusu Asha Rose Migiro ngoja nichunie comments zangu mpaka wakati muafaka. Tunaweza kudhani tumepata kumbe tumepatikana.CCM wana kura milioni tisa kibindoni ujue. Hazina mgogoro hizo
wewe ni mnafiki na umekaa kinafki,hasa the way unavyouliza.....don act as a stupid