Dr Hussein Mwinyi awe rais wa Tanzania 2015

Status
Not open for further replies.
Masaka yawezekana wewe ni huyo huyo Hussein Mwinyi.
hta hivyo pole sana maana ccm iko icu na inakwenda. Huo u kingdom ndiyo unakwenda mwisho. Nategemea mwanangu kugombea na kuwa rais wa nchi hii kupitia Chadema 2010 na namtarajia awe rais wa kwanza wa nchi hii toka upinzani. Time will tell the truth.
 
Wewe Masaka au Mashaka bin tabu!! Katika TZ yenye wananchi karibia 40 million, wewe huoni zaidi ya kurudisha mafisadi sio?
Kama umeambiwa ubeep JF kwanza kabla ya wao kwenda mbele zaidi so kawaambie hata hizo form wasizikaribie, na zaidi waambie CCM choka mbaya.
Mnaboa....
 
Masaka yawezekana wewe ni huyo huyo Hussein Mwinyi.
hta hivyo pole sana maana ccm iko icu na inakwenda. Huo u kingdom ndiyo unakwenda mwisho. Nategemea mwanangu kugombea na kuwa rais wa nchi hii kupitia Chadema 2010 na namtarajia awe rais wa kwanza wa nchi hii toka upinzani. Time will tell the truth.

Mheshimiwa unayechukia Ufisadi, labda baadhi ya wana CCM na Mafisadi wahamie Chadema (kama ilivyokuwa Kenya wakati Mwai Kibaki anakuwa Raisi mara ya kwanza) ndipo upinzani utachukua nchi hii ya WADANGANYIKA.
 
Huyu kijana safi hana ufisadi hata kidogo, kama umemsikia kwenye kashifa yoyote ile useme.

2015 - Hussein Mwinyi
2025 - Ridhiwani Kikwete
2035 - Kama kuna mjukuu wa Karume atapewa nafasi hapa

Kumbe huu jamaa ni LUNA mimi nilikuwa sijui!Duh!
 
Kwa vile Zitto ameonekana kuwa ana nia ya kugombea uraisi mwaka 2015 baada ya muda wa maendeleo ya uhakika yanayoletwa na Kikwete kuisha. Ni vyema sasa ikaangaliwa kwa upande wa ccm ni kina nani wenye uwezo wa kugalagaza wapinzani kwenye uchaguzi. Ni ukweli kuwa ccm itashinda tena kwa kishindo 2010 na kwa kishindo zaidi 2015, 2020, 2025, 2030, 2035 nk, mimi naanza na huu uchaguzi wa 2015 na kumpendekeza Dr Mwinyi kwa hii nafasi muhimu kabisa.

Ni msomi na mchapakazi mzuri. Ni mchamungu na msafi. Mwenzetu huyu ni mpole na mkarimu kama baba yake. Ruhusa na maendeleo ya watanzania wote kama aliyoleta baba yake. Ataendeleza sera za maendeleo za ccm na kuwanyima wahafidhina nafasi ya kuvuruga nchi.

Dr Hussein Mwinyi for president of Tanzania - 2015

Kijana bila shaka ubongo wako umeganda kamwone doctor haraka sana.
 
Ni MPOLE, MWENZETU, MKIMYA, MTULIVU, na mengi mengi mengi,Ambayo hayana hata chembe ya kuitwa credential ya mtu kuwa kiongozi mkuu. Kama tukirudia upuuzi tulioufanya wakati ule we are likely to pay same price we did!
 
Kumbe huu jamaa ni LUNA mimi nilikuwa sijui!Duh!

Naona wewe ni bingwa wa kuita watu majina mapya hapa forum wakati ulilia kama kitoto pale ulipoambiwa majina yako hapa JF na Jasusi. Hapa sasa ndio umejionyesha jinsi ulivyoishiwa.
 
Je amewahi kufanya jambo gani la kijasiri la kutetea wanachi wake katika kazi alizoomba?
je ana outstanding qualities gani?
 
mwenyewe saa hizi kalala wakati jamaa kule mbagala hawana hata vyoo..na kila kukicha wanapelekewa chakula..kikizuka kipindu pindu sijui hali itakuwaje
 
Afadhali usultani ukarudi kule visiwani tujuwe hakuna demokarasia kuliko kujidai jidai upuuzi kama huu. Hebu kwa mfano:karume anamaliza 2010 atakuja ndugu yake ali karume akimaliza atawekwa mwanawe,naye akimaliza aje mansour yussuf himid, akimaliza aje mahamoud thabit kombo, akimaliza kama wapo watoto wa natepe, hassan nassor moyo, said washoto n.k tutakuwa hoi miguu juu jamani! Stop this wazimu....
 
Fuatilia utayaona mkuu, maendeleo nchi nzima hadi inafurahisha. Si umeona hata wageni wanaisifia Tanzania. Bajeti safi na kila kitu salama tu. Tujenge nchi ndugu yangu haya mengine ya kupiga makelele tuwaachie kina Mrema.


Duh! Ama kweli ukistaajabu ya Mussa....
 
kwa vile zitto ameonekana kuwa ana nia ya kugombea uraisi mwaka 2015 baada ya muda wa maendeleo ya uhakika yanayoletwa na kikwete kuisha. Ni vyema sasa ikaangaliwa kwa upande wa ccm ni kina nani wenye uwezo wa kugalagaza wapinzani kwenye uchaguzi. Ni ukweli kuwa ccm itashinda tena kwa kishindo 2010 na kwa kishindo zaidi 2015, 2020, 2025, 2030, 2035 nk, mimi naanza na huu uchaguzi wa 2015 na kumpendekeza dr mwinyi kwa hii nafasi muhimu kabisa.

ni msomi na mchapakazi mzuri. Ni mchamungu na msafi. Mwenzetu huyu ni mpole na mkarimu kama baba yake. Ruhusa na maendeleo ya watanzania wote kama aliyoleta baba yake. Ataendeleza sera za maendeleo za ccm na kuwanyima wahafidhina nafasi ya kuvuruga nchi.

dr hussein mwinyi for president of tanzania - 2015

naona umetumwa kusafisha njia za kizazi cha kifalme na ufisadi-baba rais mtoto rais du!
 
Ni vema kuheshimu mawazo yake...Hii ya kukimbilia kuhukumu ina madhara yake..

Tunaheshimu mawazo ya kila mtu lakini namuunga mkono kwamba hii thread inalenga kuwawafanya wana JF waache kuchangia hoja za msingi Maoni yangu hoja kama hizo zisiwapotezee muda tusonge mbele kwa yaliyo ya msingi zaidi.
 
Kwa maoni yangu, no to Dr Mwinyi...I wish rais angekuwa mtu 'serious' anayeweza kukemea maovu ya watendaji wake, I don't see that to his excellency Dr.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom