Dr. Hildebrand Shayo

GT,
Some people have issues. This guy is trying, and working hard. What have you shown or published out there. Let us see it. It is very easy to criticise others, especially when they have produced something. I read his article, and it was not argued all that well, but still you can see what he was trying to say.

Thank you Miratkad! We need more Tanzanians like you who can see the big picture. Hopefully, he'll be able to reduce or eliminate his grammatical errors.
 
Especially this Mashaka character....Lord have mercy!!!

Ngabu, truthfully. jamaa amempasua Gitau Warigi, mpaka kaonekana mjinga. Alafu kushenzi sasa, Gitau ni mkubwa sana nchini Kenya. Kuhusu siasa, naona bado ni mdogo sana, na umri wa miaka 32 nadhani utafaa kuanza siasa, siyo 28 kama alivyo mjomba mashaka
 
ALL in all,everything being equal,and other issues aside,this generation of the mashakas and dr H,would be the MISSING LINK,in tanzania's inept,toothless,dormant leadership structure.COMRADE in arms bear in mind your nation needs you.the static wheel of progress needs a push
 
Wabongo tunakwamishana wenyewe kutokana na kuendekeza wivu usio na maendeleo.Kosa la Dr Shayo ni kuweka article yake kwa Michuzi,just like Mashaka did,kwa ajili ya matumizi ya Watanzania wenzie.Ma Know-all wetu,ambao sijui level zao za elimu zikoje (I'm always suspicious of people who tend to unnecessarily use difficult terms in attempt to convince their audiance kwamba shule imepanda).

Hivi nyie critics wetu ni lini mtakuja na article zenu zisizo na chembe ya makosa ya kisarufi au kifasihi na zenye kubeba ujumbe mzito kwa umma?Sana sana ujanja wenu ni hapahapa JF,na wala sio ujanja wa kuja ni vitu tofauti na hivyo mnavyovi-criticize,bali mashindano ya maneno magumu ya Kiingereza.

Missing link sio the Mashakas,Shayos,etc bali ni wenzetu mnaotumia muda mwingi kumjadili mtoa mada badala ya relevancy na substance ya mada husika.Hatujawahi kuambiwa kuwa watu wenye akili za kutosha hujadili mambo ilhali wale wenye akili pungufu hujadili watu?Missing link ni watu wanaosubiri wenzao waseme ili wao wakosoe ilhali wao wenyewe hawana jeuri ya kusema in the first place,pengine kwa hofu ya kukosolewa japo wao ni mahiri wa kukosoa.

Kwa mtu anayethamini elimu,na anayefahamu ugumu wa kupata madaraja flani ya kielimu (eg udaktari wa falsafa) inasikitisha kuona michango ya kitaaluma ikiishia kukosolewa sio kwa vile haijabeba ujumbe wa maana bali tuhuma kwamba ina madudu kwenye lugha.Na watoa tuhuma hawafanyi jitihada zozote za kuonyesha madudu yenyewe yako wapi.

Hivi hadi tumefika hapa,hayo madudu yaliyomo kwenye article ya Dr Shayo ni yapi hasa?


"Jealousy is simply and clearly the fear that you do not have value. Jealousy scans for evidence to prove the point - that others will be preferred and rewarded more than you. There is only one alternative - self-value. If you cannot love yourself, you will not believe that you are loved. You will always think it's a mistake or luck. Take your eyes off others and turn the scanner within. Find the seeds of your jealousy, clear the old voices and experiences. Put all the energy into building your personal and emotional security. Then you will be the one others envy, and you can remember the pain and reach out to them." - Jennifer James
 
hi wajameni. kumekucha.

Kwa ndugu zangu waislamu Eid Mubarak

Pia napendeni kuwapongeza kwa ujio wa sikukuu ya kitaifa ya kesho 9/12/. wengi wenu milyokimbilia huko nje haya kuimba wimbo wa taifa la Tanzania mmeshasahau!

Ila napenda tu kuendelea kuwajulisheni Dr. Shayo na michango yake.

kumbe huyu jamaa siyo wa kutania! kama nilivyofikiria mwanzoni nilipoona jina lake nimewekwa kwa wanajamii forum. kwa umri wake na mambo ambayo ameyafanya! nimeshika BREAK!

this extract from a CV niliyokumbana nayo katika moja ya pita pita zangu katika ofisi moja ya kimataifa hapa dar. Jina ninalihifadhi kwa heshima ya hiyo ofisi na mtoa extract hii ya data.

Ila kusema kweli nimefurahishwa na ninaacha kuendelea kumchunguza au kutafuta wasifu wa huyu dr. huyu siyo mwenzetu katika hili kundi la "wajinga" wa kutaka kufuatilia wazembe.

Hildebrand Shayo has completed commissioned assignment for the following clients:
Wood market project..........................Commissioned by EU
Construction timber and procurement......Tanzania/World Bank
Resource Extraction & monitoring...........Tanzania commissioned by FRR-in the UK
Timber export market to China & S/Africa......Commissioned by SECO-Switzerland
Employment and skill shortage..............London South Bank University-UK
Business and Investment plan...............Commissioned by UK Investor-UK
Market and trade opportunities..............Commissioned UK&EU
Independent Monitoring in Tanzania.........Commissioned by REM-in the UK
Employment and job creation strategies..........Commissioned by Borough of Lambeth-in the UK

Mimi nimeweka manyanga chini.
Dr. Shayo, endapo unapata muda wa kutembelea hii jamii forum , naomba unisamehe. Mtu mzima kukosea na kuomba radhi si kitu kidogo!
 
hi
anaglieni nyie inaweka picha tu bila idhini ya the owner. remember you can be taken to court na sijui how you will manage kulipa garama za kuendesha kesi. Please be careful. Si uliwahi kusikia matatizo ya kutumia picha za watu hadharani bila vibali!!! a worning!
 
Rangi unazotumia kawawa aka Dr shayo zinatuumiza macho........edit please tukusome vizuri.
 
Rangi unazotumia kawawa aka Dr shayo zinatuumiza macho........edit please tukusome vizuri.

'Dr' Hildebrand Shayo aka Kawawa

Join Date: Fri Dec 2008
Posts: 4
Rep Power: 0
Thanks: 1
Thanked 1 Time in 1 Post
Credits: 1,414

Hata mimi nimeliona Kawawa aka Hildebrand Shayo anajitetea kwenye post hii tu
 
Hapa Je?

Naomba "Game Theory " unisaidie

Can you comment on this one!

Forestry governance in limbo in Tanzania
31 May 2006
Hildebrand Shayo, London South Bank University

Link to article Print article


RICS research paper series Volume 6 Number 5

This paper presents an empirical analysis of indigenous timber extraction and the supply chain of the hardwood and timber trade in Tanzania. The paper presents the patterns of linkage and control mechanisms that exist and the occurrence of illegal extraction and other illegal activities in the natural forests in Tanzania. Data was collected during 1997 and from 2001 to 2004. Respondents who provided data for this study were forest officials, timber trade agents, house builders, furniture makers and constructors. The paper also analyses government’s efforts and strategies in the battle against unsustainable forestry practices, illegal logging operations and evasion of forestry royalty and taxes. The paper provides an analysis of why hardwood for the local timber market and for export is supplied through an illegally controlled supply chain. Pit sawing operators, their world of work and their urban timber financiers are also analyzed.

The findings from this study demonstrate that the country’s forest and tree resources in the natural forest and public land face massive degradation and overexploitation. Unsustainable extraction of scarce tree species is widespread. Government’s hard work aimed at gaining an upper hand in the battle against illegal logging and trading of illegally sourced timber operations is ineffective. Government’s requirement of suppliers of timber that they need to ensure that their products have been legally sourced and produced does not appear to exist in tender documents. There also seems to be a lack of understanding of the complex structure of the hardwood timber supply chain. The findings explain why majority of the urban timber markets is supplied through illegal channels.


full paper....... The Royal Institution of Chartered Surveyors Knowledgezone/Researchandreports/Volume%206%20Number%205.html - 49k ...
 
hi
anaglieni nyie inaweka picha tu bila idhini ya the owner. remember you can be taken to court na sijui how you will manage kulipa garama za kuendesha kesi. Please be careful. Si uliwahi kusikia matatizo ya kutumia picha za watu hadharani bila vibali!!! a worning!

"Dr" Shayo usihofu kwani hiyo picha yako nafikiri ilitoka kwenye Media ambao uliwapa idhini au hukuwapa?.

GT, Chukua tano kwani thread hii ime-create new member hapa JF ambaye huko nyuma alikuwa anaingia kama "Guest" na sasa hivi anaingia kama "kawawa" aka "Dr" Shayo.
 
"Dr" Shayo usihofu kwani hiyo picha yako nafikiri ilitoka kwenye Media ambao uliwapa idhini au hukuwapa?.

GT, Chukua tano kwani thread hii ime-create new member hapa JF ambaye huko nyuma alikuwa anaingia kama "Guest" na sasa hivi anaingia kama "kawawa" aka "Dr" Shayo.
Ile ya Michuzi kashika Dildo ilitoka kwenye media gani? Mkuu unafiikiri Michuzi kafurahi kuona ile picha hapa celebrity forum?
 
wajameni
huyu dr shayo nasikia yuko Tanzania amekuja kwa maandalizi ya sikuu ya Christmas
Aikuja na KLM via Kilimanjaro Airport Baada ya masaa mawili alionekana pale marangu mtoni kule Moshi akiwa ndani ya Toyota corolla sallon ilikuwa ikielekea Marangu national park.
I will keep you posted!
 
wajameni
huyu dr shayo nasikia yuko Tanzania amekuja kwa maandalizi ya sikuu ya Christmas
Aikuja na KLM via Kilimanjaro Airport Baada ya masaa mawili alionekana pale marangu mtoni kule Moshi akiwa ndani ya Toyota corolla sallon ilikuwa ikielekea Marangu national park.
I will keep you posted!

hahahahaaa

unanichekesha sana...hivi una blackberry ? naona tangu uwekwe wazi umekuwa so nervous

hebu tuambie mawazo yako kuhusu JOHN MASHAKA
 
Acheni ushambenga wandugu, academic articles haziwekwi JF wala kwa Michuzi, sio sehemu yake hiyo, period, mengine endeleeni!
 
Acheni ushambenga wandugu, academic articles haziwekwi JF wala kwa Michuzi, sio sehemu yake hiyo, period, mengine endeleeni!
Hee! huwa zinawekwa wapi? kwenye maktaba zenu chakavu za UDSM au mnatembea nazo nyie lecturer mpaka bar ndani ya mikoba yenu ya "warsha".Weka wazi mkuu academic articles za "Dr" Kitila kwa mimi nilioko Estonia nizisome wapi?

What i know ni kwamba most of your site are not uptodated.
 
Acheni ushambenga wandugu, academic articles haziwekwi JF wala kwa Michuzi, sio sehemu yake hiyo, period, mengine endeleeni!

Ndio wasomi wetu wa Kitanzania hao.Hivi hujaona michango ya Prof Shivji pale kwa Michuzi?Ni majuzi tu Prof Mbele kaweka mchango wake pale na kutuhabarisha kuwa amefungua blog yake.Na hawa sio wasomi wa kubabaisha,CV zao zinajieleza.Labda sema academic articles za wasomi wa aina yako ndio haziwezi kuwekwa pale...kwa sababu unazozijua weye.
 
Ndio wasomi wetu wa Kitanzania hao.Hivi hujaona michango ya Prof Shivji pale kwa Michuzi?Ni majuzi tu Prof Mbele kaweka mchango wake pale na kutuhabarisha kuwa amefungua blog yake.Na hawa sio wasomi wa kubabaisha,CV zao zinajieleza.Labda sema academic articles za wasomi wa aina yako ndio haziwezi kuwekwa pale...kwa sababu unazozijua weye.

Hewala baba!!
 
Back
Top Bottom