Dr. Hassan Mshinda, DG wa COSTECH...

I agree. The Curricurum Vitae of Dr. Msinda speaks for itself. He is capable and diligent individual. I have worked with him, namkubali. Huenda yasemwayo yapo lakini yasipewe jukwaa kuu kama mwanzisha thread alivyotaka tuamini. Nadhani kuna uozo mwingi mkubwa sehemu nyingine tunazopaswa kuziweka sawa na wala si hili la COSTECH.
 
Mshinda angekuwa kichwa angeishakuwa hata associate professor. namfahamu sana mdini huyu. Na sijui team kama hiyo aliyoiondoa hapo costech ataipata kirahisi jinsi anavyowaza. Kwa wakurugenzi sawa sikatai kuondolewa kwao sababu ndo walikuwa kikwazo kikubwa mmoja wapo akiwa yeye sababu ya udini wake na kufananisha costech na IHI.

Nasikia kati ya waliofukuzwa muislam ni mmoja tu.

costech wamekuwa wakitangaza kazi za watu wenye phds takribani mara mbili hivi na hawapatikani. Sasa yeye anatimua seniors wenye phds na good background kama wale sijui atawapata wapi!
Hii issue ya dini naisikia sana, kama ndo inashika kasi hivi basi waislam wanajitengenezea wakati mbaya kwani wao wengi sio wasomi ukilinganisha na wakristo.
 
Kwa wafahamu IHI - Ni yapi MAFANIKIO yake dhidi ya Malaria? Maana mpaka sasa Malaria ni ugonjwa unaoua sana especially under 5!

juzi kati hapa ifakara wamegundua kiwa soksi zikiwa chafu zinanuka na ukazieweka ndan basi ni dawa tosha ya kufukuza mbu.......
 
waliohamishwa ni ma-directors wa 3 ( dr matheo raphael, dr rose kingamkono na mr eliab chijoriga) wengine ni scientific staff...nao ni dr makene, lambo mayenga (chief accountant), elikira mathew(mhasibu), wengine nao scientific staff ni charles yongolo, enock mpenzwa, jonas kamaleki, PC chuwa, salvatory mushi, rogers alfayo, godlease malisa, jumanne bwamkuu..
 
Hii tume kwa kweli inahitaji kufanyiwa kazi. Sioni wanachofanya hawa watu. Hiki chombo ndo kingekuwa chachu ya tafiti zote za sayansi na teknolojia, lakini badala yake waliopo hawajua wafanye nini. Hawa walitakiwa kuwatumia sana watfiti wa vyuo vikuu pia, lakini sasa wao wamejitenga kweli kweli. Kazi kufanya mkutano ya bodi tuu na kugawana hela. Kuhusu udini wa DG aliyepo, siwezi kuuzungumzia kwani simfahamu kabisa lakini ukiona mahali panafuka moshi ujue kuna moto na wala siyo mawingu kwamba kuna dalili ya mvua. Uchunguzi ufanyike ili tujue kiundani zaidi kwani kama hilo lipo katika sector nyeti ya utafiti kama hii, basi tujiandae kuwa masikini zaidi ya hapa.
 
Mshinda has to go. Tatizo lake sio Udini. ni jina lake. Ni Uislam.

Baada ya Dr Idrisa Rashid kuondoka Tanesco nadhani huyu anafaa kuwa next target. Kuna Dr Dau pia ila naona kawa mgumu licha ya makelele!
Unajua problem ya wagalatia wengi wa nchi hii hawataki kuamini kwamba wapo waislam waliosoma. Na ilivyo Muislam akipewa post ya juu anafanya kuweli. Maana hadi anafika hapo ujue kaingia kwa sifa. Hakuna kubewa huko. Tafakari kidogo.

Kibaya zaidi wagalitia hamuwahamasishi hao jamaa zenu kufanya kazi. Hebu angali huo mzigo uliowekwa pale Tanesco baada ya Dr Idrissa kuondoka. Tazama uharo aliofanya Balali pale BoT baada ya kuondoka Dr Idrissa. Tengeneza list ya mafisadi wa nchi uone imejaa kina nani!

Acheni kilialia wagala, fanyeni kazi!

Shame on you wavivu wa kufanyakazi na kufikiri. Mmeiua nchi kwa ubinafsi na sasa mnajenga chuki na wachapakazi kwasababu ya majina yao tu!!

Mkuu hapo usiguse kabisa, we zungumzia maeneo mengine na watu wengine lakini sio dr.idrisa.

Au unataka kujifanya kusahau kwamba alikula $ 600,000 kwenye ule mchongo wa rada kutoka kwa mzee wa vijisenti?

Hapo tanesco alifanya nini zaidi ya kutuongezea mgao wa giza na gharama za umeme. Huwezi kutushawishi hata kidogo kwamba dr.idrisa ameweza kuisaidia chochote tanesco.

Dr. Mshinda anaonekana amefanya vitu vya kueleweka na hata mimi binafsi simfahamu lakini post yangu ya kwanza nilipinga yeye kuhusishwa na udini kwa sababu ya kuwahamisha wakurugenzi ambao na mimi nilikuwa na hisia kwamba watakuwa ni wazembe kwakuwa costech imekuwa ikilaumiwa kuwakwamisha watu wengi.
 
Motives za Udini zinazojificha nyuma ya uchungu wa maslahi ya taifa utatumaliza tusipoukemea.

Pale COSTECH ya General KOHI, amekaa miaka nenda rudi lakini hakuna walilogundua jipya hata moja la kujivunia.

Halafu anatokea mtu anaona watu wanafanya kazi kwa mazoea(kuchelewa kuingia kazini bila sababu, kusoma magazeti, kutundika koti na
kupotea bila kuaga) na akawapangua, basi inakua ni nongwa. Kwa vile dini yake ni muislamu watu wanasema mdini, lakini juzi kati hapa wakati
PPF kulikua na timuatimua ya William Erio, hakukua na wakusema kuwa ni mdini.

Mtu ambaye hajui walichofanya IHI, atakua ni mvivu wa kusoma machapisho ya kisayansi au hana interest na IHI. Jamaa anataka vijana wanaoweza kwenda na kasi inayohitajika, na kila siku vijana ndo wanalalamika wamesoma na hawapewi nafasi ya kusaidia nchi yao na wengi
hutimkia mataifa ya nje. Leo hii anakuja mtu wa kuwatimua watu goigoi, wapenda rushwa(maana ilikua andiko lako halipiti bila 10%) then
mtu kwa vile mjomba wake kafagiliwa, analeta upupu wake hapa, na kuchonganisha dini.

Huu udini hivi unakuwepo pale anapokua muislamu tu?... acheni hizo! Kama tokea uhuru wote tungekua mahiri kwenye kazi na nafasi zote zingetolewa based on merit basi nchi yetu ingekua atleast kama Malaysia kama sio Singapore kimaendeleo. Maana mnajua ni akina nani ndo
waliopewa nafasi nyingi kila sehem nchi hii.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Huyu DG amewafanyia fitna wakurugenzi wote waliopo chini yake mpaka wamehamishwa COSTECH. Yaani wakurugenzi wote waliopo chini yake na baadhi ya senior employees ambao aliona wanamwekea kiwingu amewafanyia zengwe mpaka wizara ikawaondoa COSTECH.

Ninazungumzia wafanyakazi wa COSTECH 15 wameondolewa pale kwa wakati mmoja. Hawa ni watu ambao walimkaribisha Dr. Mshinda pale COSTECH na kumfundisha kazi miaka 3 iliyopita. Leo hii ameota mapembe na kuwafanyia fitna. Na sasa wakurugenzi hawa wameenda kupewa "desk" tupu katika wizara nyinginezo.

Sasa sijui amefanya hivyo kwa kusudio gani?....Kwa sababu, kuwafukuza wakurugenzi 15 kwa mpigo kuna walakini!! Isitoshe huyu jamaa aliingia COSTECH akiwa ha-qualify kabisa na hiyo post a U-DG. Alipachikwa kwa kupitia memo tu...

By the way, Dr Mshinda ni cousin (au nephew) wa IGP Said Mwema, ambaye ni Shemeji wa Kikwete…go figure…!!

Humjui huyu boss. Jamaa ana elimu kubwa, PhD katika fani yake. Na ameingia hapo akiwa DG wa taasisi yenye jina kubwa sana hapa Tz katika masuala ya research za mambo ya tiba, jaribu google search tu utaona. Ifakara Health Institute ambako Dr Mshinda alikuwa DG ina jina kubwa sana katika hayo mambo ya research na science and technology, actually inaongoza hapa Tanzania. Tafuta muda utembelee sites zao Ifakara, Bagamoyo na Dar utarudi hapa na maneno ya heshima zaidi. Hajabebwa na mtu huyo boss ni kichwa cha ukweli.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Tafuta hoja nyingine uje nayo hii umeshindwa!hayo majina ya waliohamishwa mbona uliyaangalia kwa mtazamo wa din?mbona hukusema wengi ni wachaga?
 
Mshinda angekuwa kichwa angeishakuwa hata associate professor. namfahamu sana mdini huyu. Na sijui team kama hiyo aliyoiondoa hapo costech ataipata kirahisi jinsi anavyowaza. Kwa wakurugenzi sawa sikatai kuondolewa kwao sababu ndo walikuwa kikwazo kikubwa mmoja wapo akiwa yeye sababu ya udini wake na kufananisha costech na IHI.

Nasikia kati ya waliofukuzwa muislam ni mmoja tu.

costech wamekuwa wakitangaza kazi za watu wenye phds takribani mara mbili hivi na hawapatikani. Sasa yeye anatimua seniors wenye phds na good background kama wale sijui atawapata wapi!
Hii issue ya dini naisikia sana, kama ndo inashika kasi hivi basi waislam wanajitengenezea wakati mbaya kwani wao wengi sio wasomi ukilinganisha na wakristo.

Nenda kwenye vyuo vikuu vyote (UDSM, MUHAS, UDOM, IMTU, HKMU, SAUT, Tumaini etc) cheki kama hao ma-Associate Professors wana profile kama ya Dr Mshinda. Wakati niko chuo kikuu Muhimbili kulikuwa na mtu anaitwa Professor Mtui (Guru wa Neuroanatomy), by then UDSM-MUCHS walikuwa hawana Neuroanatomist, huyu jamaa alikuwa anakuja kwa gharama yake toka Marekani alipokuwa akifundisha kuja Muhimbili ikutoa lectures kama guest lecturer....MUHIMBILI HAS NEVER WANTED TO RECOGNIZE HIM AS 'PROFESSOR'! Wakamfrustrate mpaka akaacha, na sasa sijui kama MUHAS wana Neuroanatomist!

Kuwa Associate Professor siyo lazima kutokane na profile yako, siasa nyingi tu zimeingia kwenye fani, hata wasiostahili ni maProfessor! Kuna Dr Muhimbili kapewa uProfessor simply kwa kuwa Daktari wa JK (jina tunalo), ana profile ya kumshinda Dr Mshinda?
 
Kwani hiyo COSTECH ina nini cha kujivunia? Na kabla au baada ya huyo Dr, kuna lilipungua au kuongezeka?
Acheni uvivu fanyeni kazi
 
mtoa mada umesema wakurugenzi waliotimuliwa ni 15: Then ukasema muislam ni mmoja tu. Sasa hapo udini unauzungumziaje? Kwenye wakurugenzi 15 muislamu awe mmoja?
Huo sio mfumo kristo? Afadhari mtoa mada kwa kutufumbua macho
 
Nenda kwenye vyuo vikuu vyote (UDSM, MUHAS, UDOM, IMTU, HKMU, SAUT, Tumaini etc) cheki kama hao ma-Associate Professors wana profile kama ya Dr Mshinda. Wakati niko chuo kikuu Muhimbili kulikuwa na mtu anaitwa Professor Mtui (Guru wa Neuroanatomy), by then UDSM-MUCHS walikuwa hawana Neuroanatomist, huyu jamaa alikuwa anakuja kwa gharama yake toka Marekani alipokuwa akifundisha kuja Muhimbili ikutoa lectures kama guest lecturer....MUHIMBILI HAS NEVER WANTED TO RECOGNIZE HIM AS 'PROFESSOR'! Wakamfrustrate mpaka akaacha, na sasa sijui kama MUHAS wana Neuroanatomist!

Kuwa Associate Professor siyo lazima kutokane na profile yako, siasa nyingi tu zimeingia kwenye fani, hata wasiostahili ni maProfessor! Kuna Dr Muhimbili kapewa uProfessor simply kwa kuwa Daktari wa JK (jina tunalo), ana profile ya kumshinda Dr Mshinda?

Mkuu Riwa ninakubaliana na maelezo yako, sina shaka kwamba unamfahamu vizuri Dr. Mshinda na uwezo wake.

Hili la mtu kuwa profesa halina uhusiano wa moja kwa moja na mtu kuwa kichwa kwenye taasisi zetu za elimu ya juu, siasa zaidi ndio zinaamua nani awe profesa ama vinginevyo.

Kwa maelezo niliyoyasoma hapa na kufuatilia profile yake kwenye google sina mashaka kwamba, Dr. Mshinda ana deserve kuwa DG wa costech. Hili la udini kwangu mimi sijaliafiki.
 
mtoa mada umesema wakurugenzi waliotimuliwa ni 15: Then ukasema muislam ni mmoja tu. Sasa hapo udini unauzungumziaje? Kwenye wakurugenzi 15 muislamu awe mmoja?
Huo sio mfumo kristo? Afadhari mtoa mada kwa kutufumbua macho

Hapo sasa, kama kati ya wakurugenzi 15 waliokuwepo muislamu alikuwa mmoja, basi mleta mada kajichoma mwenyewe kisu cha tumbo. Labda sasa Dr. Mshinda ndiye anasafisha udini costech.
 
waliohamishwa ni ma-directors wa 3 ( dr matheo raphael, dr rose kingamkono na mr eliab chijoriga) wengine ni scientific staff...nao ni dr makene, lambo mayenga (chief accountant), elikira mathew(mhasibu), wengine nao scientific staff ni charles yongolo, enock mpenzwa, jonas kamaleki, PC chuwa, salvatory mushi, rogers alfayo, godlease malisa, jumanne bwamkuu..

Yaani BAKWATA moja tu?
 
Mshinda has to go. Tatizo lake sio Udini. ni jina lake. Ni Uislam.

Baada ya Dr Idrisa Rashid kuondoka Tanesco nadhani huyu anafaa kuwa next target. Kuna Dr Dau pia ila naona kawa mgumu licha ya makelele!
Unajua problem ya wagalatia wengi wa nchi hii hawataki kuamini kwamba wapo waislam waliosoma. Na ilivyo Muislam akipewa post ya juu anafanya kuweli. Maana hadi anafika hapo ujue kaingia kwa sifa. Hakuna kubewa huko. Tafakari kidogo.

Kibaya zaidi wagalitia hamuwahamasishi hao jamaa zenu kufanya kazi. Hebu angali huo mzigo uliowekwa pale Tanesco baada ya Dr Idrissa kuondoka. Tazama uharo aliofanya Balali pale BoT baada ya kuondoka Dr Idrissa. Tengeneza list ya mafisadi wa nchi uone imejaa kina nani!

Acheni kilialia wagala, fanyeni kazi!

Shame on you wavivu wa kufanyakazi na kufikiri. Mmeiua nchi kwa ubinafsi na sasa mnajenga chuki na wachapakazi kwasababu ya majina yao tu!!

Nungunungu, ahsante kwa kuweka wazi na bila kupindisha wala kuchakachuwa.

Nakubaliana na wewe mia kwa mia, hawa ndio walioiuwa hii nchi, kuanzia kwa Mtakatifu to be mpaka sasa hatuja recover.

Mohamed Said kule anaelezea vizuri khabari zao. Hawana hamu hata ya kuchungulia.

Tatizo lao ni Uislaam hata uwe mtendaji mzuri vipi, hilo ni wazi.
 
Tatizo ni jina au dini? Hili jina ni la dini gani JAKAYA KIKWETE ?

JAK-AYA, umekujia ufunuo. Hicho ni Kiarabu "pure" au "classical" kabisa bila shaka ndani yake. Na aliompa hilo jina anaonesha alikuwa ni mwazuoni wa kusadikika, si wengi wenye jina hilo. Kikwete, sifahamu asili yake.
 
Back
Top Bottom