Dr. Gharib Bilal ana mbinu za kizamani

Anko Sam

JF-Expert Member
Jun 30, 2010
3,200
820
Tangu itangazwe kuwa Makamu wa Rais anakuja mkoani kwetu UMEME haujakatika wala hakuna mgao, kabla ya hapo mgao ulikuwa ni masaa 4 tu kwa saa 24! Hizi ni mbinu chafu za kizamani zilizopitwa na wakati. Chunguzeni kwenye mikoa anayo pita!
 
Na ndio maana wanakuwa hawaelewi matatizo ya umeme na athari zake, walale gizani nao, that why wanakuja na mikauli ya ajabu ajabu "..uchumi umedorora -mtakula kwa jasho lenu "by mkullo
 
Mkuu mbona hayo mabadiliko ni kwa nchi nzima? Unafuatilia mambo vizuri kweli? Serikali imetoa hela ya mafuta ya iptl hivyo makali ya mgao wa umeme kupungua. Mi nipo arusha tuna wiki sasa umeme haujakatika hata sekunde moja na huku makamu wa rais anakuja?
 
Hata kama ingekuwa kuwa umeme umewaka wakati wa ziara ya VP lawama zingeenda kwa watendaji wa TANESCO. Nadhani hapa VP hakustahili kulaumiwa kwa umeme kuwepo wakati wa ziara yake. Sijui ni mkoa gani huo.
 
futa kauli anko sam ili tusiingize katika hansadi, vinginevyo utakua umejidhalilisha kwa kuandika uzushi, inaelekea uko ktk mkoa uliojitenga sana ndo maana hujui kinachoendelea kwingine
 
Back
Top Bottom