Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Wana uchungu na sisi hadi Cleare Short akajiuzulu kwa sababu ya kuitetea Tanzania. Sijawahi kumsikia hata waziri akimshukuru huyu mama kwa jitihada zake hizo. Tunasikia tu wanagombea pesa za change ambazo wala hawakuzihangaikia.Hivi kweli hii nchi usimamizi na uzalendo havipo tena..
Raia wa Uingereza wameona uozo wa ununuzi wa rada wakalalamika hadi kwenye bunge lao, sisi huyu mjinga anasema hakuna rushwa kwa nini???
Je Nani alifanya procurement ya hii rada?
Je nani aliidhinisha mkataba wa manunuzi?
Je nani alilipa hela ya manunuzi??
je hawa wote hawapashwi kuadhibiwa????