Dr Dau wa NSSF kwenye TBC1: Aweka records straight

Thanks for the videos

tatizo langu na huyu mheshimiwa ni hii kuvaa mikanzu na baragashia.

Hivi kuna umuhimu gani kuvaa hivyo?

whats so wrong na kuvaa suti ya kawaida kama wenzie wa PPF na kwingineko?

mtu anaenda kudiscuss vitu serious, jamaa anaamua kuvaa kanzu na vikofia visivyomtosha

amefanya hivyo wakati anapokea zawadi 77 tena toka kwa makamo wa rais

leo anafanya hivyo hivyo kwenye matangazo ya TV yanayosikilizwa Tanzania nzima

the man is either just arrogant au anatafuta ugomvi na watu tuuu
We nawe nini wewe! Kha! Yaani suti ndio vazi unaloliona wewe la maana sio? Kanzu vazi kama vazi jingine lolote. Mie ningekuunga mkono labda angekwenda u chi. We endelea na misuti yako muache Dr na Mikanzu yake.
 
enheeeee.....mtu kila kukicha na mijikanyu tuu

mbona havai kofia za kumtosha kichwa?

hivi mwongozo wa utumishi unasemaje kuhusu mavazi?

mie huyu ananiudhi na huu uswahili uswahili wake kwenye mambo serious
Dah! We kumbe sio mswahili ndio maana. Nenda kwenu ulaya tuachie uswahili wetu na Tanzania yetu. Hongera Dr.
 
Kajaribu kuingia UN huku umejitwika gubigubi kama utanusa pua humo. Ni huyu Jk ndo anawadekeza, Bunge sio Msikiti, hey Plz.

Mwangalie King wa Saudi Arabia amevaa nini hapa chini. Kanzu, koti, juba, lemba na kofia na anahutubia UN. Kazi kwako na udini wako utakufa na kijiba cha roho.

Ya kwanza imepigwa mwaka 1957:

http://www.unmultimedia.org/photo/detail.jsp?id=863/86348&key=19&query=king

Ya pili imepigwa karibuni.

Saudi king promotes tolerance at U.N. forum | Reuters

Does this fit t be in politics forum au michango inayotakiwa ni ya kisiasa ?

Any way naona watu wameshaanza kuchagia mavazi
 
kuna watu wengine viazi kweli,badala ya kujadili mambo ya msingi mnajadili mavazi ya dr dau. yanahusiana nn na anachokiongea?
 
wazee wangu wa gerezani walitufundisha kuvaa suruali na shirt , na ukiwa na nguvu kama wao basi shurti uvae suti, ambayo hata wathungu wenyewe hawana!
 
Mnataka avae kata K ili afanane na nyinyi mnaocameruniwa? Kisha inaonyesha hujui chochote juu ya Mavazi na dressing codes za TZ, bora kunyamaza kuliko kuongea kwa kuwa unaonyesha upumbavu wako.
 
tuache ushabiki wa kichama na itikadi za kiimani these man ni Jembe bana, ona NSSF alipoifikisha leo imagine na pale alipoitoa, unaweza fananisha na hifadhi nyingine ya jamii inayoshindana nae?

yeye na Kimei they are working bana

Laiti ungejua Mfuko wa NSSF ndio unaotoa Mafao madogo kuliko mifuko yote ungemlaani!NSSF Inawanyonya wanachama kwa ajili ya kuwekeza, sijui inawekeza kwa ajili ya nani na kwa faida ya ganii!Pension Factor ya NSSF ni hafifu na inapunja mafao ya mwanachama wakati wa kukokotoa mafao!NSSF ni Kampuni ya kuwekeza na si pension fund
Upime mfuko kwa jinsi unavyoneemesha wanachama Bana!
 
this shows how obsessed people are with Dr Dau. Hakika usemi "Inferior people talk about other people; mediocre people talk about things; superior people talk about ideas" umetimia
 
Thanks for the videos

tatizo langu na huyu mheshimiwa ni hii kuvaa mikanzu na baragashia.

Hivi kuna umuhimu gani kuvaa hivyo?

whats so wrong na kuvaa suti ya kawaida kama wenzie wa PPF na kwingineko?

mtu anaenda kudiscuss vitu serious, jamaa anaamua kuvaa kanzu na vikofia visivyomtosha

amefanya hivyo wakati anapokea zawadi 77 tena toka kwa makamo wa rais

leo anafanya hivyo hivyo kwenye matangazo ya TV yanayosikilizwa Tanzania nzima

the man is either just arrogant au anatafuta ugomvi na watu tuuu

Nyie ndiye munaotafutwa na Cameron! Nani alikuambia suti ni bora kuliko kanzu? Nyie ndie mnadharau wazee wa pwani kwa sababu wanakunywa kahawa, kisha mnawatukuza wazee wa bara wanaokata mbege! Nyambafu!
 
Laiti ungejua Mfuko wa NSSF ndio unaotoa Mafao madogo kuliko mifuko yote ungemlaani!NSSF Inawanyonya wanachama kwa ajili ya kuwekeza, sijui inawekeza kwa ajili ya nani na kwa faida ya ganii!Pension Factor ya NSSF ni hafifu na inapunja mafao ya mwanachama wakati wa kukokotoa mafao!NSSF ni Kampuni ya kuwekeza na si pension fund
Upime mfuko kwa jinsi unavyoneemesha wanachama Bana!

Mkuu tupe data na ushahidi wa huu upupu wako sio unaropoka tuu
 
Mnataka avae kata K ili afanane na nyinyi mnaocameruniwa? Kisha inaonyesha hujui chochote juu ya Mavazi na dressing codes za TZ, bora kunyamaza kuliko kuongea kwa kuwa unaonyesha upumbavu wako.
Nisema mie kiazi,ukisema wewe muhogo una mzizi. Nalog off
 
Kajaribu kuingia UN huku umejitwika gubigubi kama utanusa pua humo. Ni huyu Jk ndo anawadekeza, Bunge sio Msikiti, hey Plz.
Muongo na hii inathibitisha kuwa wewe ni MCHEMSHO,ila hutomchemsha mtu hapa. Nalog off
 
Nyie ndiye munaotafutwa na Cameron! Nani alikuambia suti ni bora kuliko kanzu? Nyie ndie mnadharau wazee wa pwani kwa sababu wanakunywa kahawa, kisha mnawatukuza wazee wa bara wanaokata mbege! Nyambafu!

Mbona mmetoka nje ya mada? Mbege hapa inaingiaje?
 
Tuachane na fikra potofu na tumpime individual na mchango wake kwetu. Tutafika mahali tutawakosea hata waliotuzaa na kuwaita washamba kwa sababu tu hawachomekei kama wewe. Please stand corrected.
 
Thanks for the videos

tatizo langu na huyu mheshimiwa ni hii kuvaa mikanzu na baragashia.

Hivi kuna umuhimu gani kuvaa hivyo?

whats so wrong na kuvaa suti ya kawaida kama wenzie wa PPF na kwingineko?

mtu anaenda kudiscuss vitu serious, jamaa anaamua kuvaa kanzu na vikofia visivyomtosha

amefanya hivyo wakati anapokea zawadi 77 tena toka kwa makamo wa rais

leo anafanya hivyo hivyo kwenye matangazo ya TV yanayosikilizwa Tanzania nzima

the man is either just arrogant au anatafuta ugomvi na watu tuuu

nimeelezwa kuwa huyo jamaa ni mdini sana!
 
bora irejeshwe Siasa kwani kuna thread nakumbuka nilianzisha ya kuomba maswali yenu yooote

na DG kashayajibu hapo juu naomba inv umerge hizi threads
 
Ndugu yangu haya sio mambo yakuyaendeleza nikutafuta kukuza udini umepotoka Ndugu yangu tuangaliene kwa ku deliver sio mavazi wala dini itakuumiza Sanaa.

Nadhani Kaombe mungu akuondolee roho ya kinyama hiyo ktk taifa letu wengine ktk familia zetu tuko waislam na Christians ss wewe una mapepo...Christian extremist
 
Kajaribu kuingia UN huku umejitwika gubigubi kama utanusa pua humo. Ni huyu Jk ndo anawadekeza, Bunge sio Msikiti, hey Plz.
H.H.Speech at The UN General Assembly

Muammar Gaddafi Speech To United Nations Sept 23, 2009 pt.1 - YouTube

HM Sultan Qaboos Speech in USA - YouTube

Huyu Lamazani aka Ramadhan(Dr. Dau) ni mswahili (mtu wa mwambao, ukanda wa pwani). Katika utamaduni wa mtu wa pwani kwa wanaume hilo vazi la Lamazani ndio kielelezo chake.

Ni vyema tukapima uwezo wake katika kuongoza hiyo Taasisi anayoiongoza na tumwachie mwenyewe mavazi yake. Kuna wakati huwa anavaa suti na tai. Redirect Notice au
Redirect Notice

Haya makanzu na kofia ni mavazi ya heshima.
pope photos - Google Search
 
Back
Top Bottom