Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

Dk. Dau anapita Mafia na kutamba kwamba hakuna mtu wa kumshughulisha, maana hata huyo Jakaya Kikwete nampa misaada. Katika uchaguzi mkuu uliyopita, amekipa chama zaidi ya Sh. 100 milioni. Hata mawaziri hawawezi kumshughulisha kwa kuwa yeye anawapa maekelezo. Anasema hababaishwi hata na jeshi, ndiyo maana meli ya Kasa inayomilikiwa na jeshi ilipoondoka Mafia bila kupakia magari yake, aliamrisha mkuu wa majeshi na kuirejesha meli hiyo iliyokuwa imekaribia kufika Dar es Salaam kuja kuchukua magari yake mawili aliyokwenda nayo Mafia kuyatumia wakati yeye na ndugu yake **** walipoenda kutoa msaada kwa CCM ili kutengeneza mazingira mazuri ya ubunge 2015.


what about hilo la DC kuuza magofu ya kihistoria na shule iliyojengwa kwa nguvu za wananchi kwa wazungu?
 
Haya ni mazuri kabisa na anastahili kupongezwa. Lakini kama analalamika kuwa kwanini Wakristu wanapewa viwanja Mafia au kama analalamika kwanini Watanzania wanaotoka sehemu nyingine wanapewa viwanja (wawe Wakristu au Waislamu) hapo anatatizo. Je, Dr analalamikia kwa namna yoyote component ya dini?

Kaka hakuna sehem hata moja ambako DR amelalamika kuwa wakristo wamepewa ardhi

get it from me

Mleta mada alikuja hapa na kudai kuwa DR kapewa kiwanja Mafia lakini hebu tazama hapo chini kama kuna jina la RAMADHANI KITWANA DAU....


if anything burden of proof iko kwa mleta mada athibitishe contrary to this. Na kama anayo barua ya Dr kulalamika kuwa wakristo wanapendelewa iletwe hapa
attachment.php

attachment.php


attachment.php

View attachment 41088

View attachment 41086

View attachment 41083
 
Dk. Dau ni mnafiki na fisadi. Nani asiyekumbuka ule mradi mkubwa wa NSSF and Manji? Kule Mafia amesababisha mgogoro mkubwa baada ya kujenga shule yake kwenye kijiji chao cha Bweni, huku wananchi wa Kiriongwe, Banja na Kanga wakigoma kupeleka watoto wao kutokana na ubinafsi wake wa kuwatukana kwa kuwambia hawakwenda shule. Hana lolote mzushi mkubwa huyuuuu.

acha uwongo wako

Shule iko open kwa kila anayetaka kusoma

Kila siku hatuishi kulalamika ohhh wakristo wametunyima nafasi mara ohh sijui nini

sasa shule imejengwa halafu unaona sifa kuja hapa JF kusema kuwa wanakijiji wengine hawataki kuwasomesha watoto wao Bweni

well thats not Dr Dau's problem au hao wanakijiji wa bweni waliojua umuhim wa kusoma na kukujenga shule

WAKRISTO WALIOPO JAMII FORUMS watakuona kuwa kumbe watu kama nyie ndio wenye matatizo

unaona sifa kujisifia eti hampeleki watoto wenu kusoma!!!!!

mshaambiwa tafuteni elimu mpaka uchina wewe unaona sifa kutomsomesha mwanao bila ya kuwa na sababu za kutunga tuu
 
Nipo mkuu wangu, naangalia jinsi ambavyo mnaboresha yale ambayo nimesema. Majumuisho yanakuja na hasa wewe, Mizizi na Nasdaq mmethibitisha yale niliyosema. Mimi napenda mijadala na nimefurahi sana kwa nyie "kujifungua" na kuongea "hasa" yale yanayowakera watu wa Mafia.

Nadhani sasa wakati umefika sisi "watumwa" au watumishi "wakosefu" au "wafungwa wa kisiasa" au "watumishi tusio na uwezo" tuondoke tuwaachie Mafia yenu. Tunasubiri hayo majibu ya tume, sisi tuanze maana hatuna haki "huku". Lakini kumbukeni na sisi tuna "kwetu"! Nilibezwa mwanzo kwamba mm ni mdini, mkabila n.k. lakn sasa ukweli umeonekana.

Ilikuwa mada chokozi na kweli imewaibuwa!! Endeleeeni na Mafia yenu.

Tunaenda na jf style

kwa kuwa unaonekana kuwa unayajua sana yanayoendelea kwenye halmashauri huko Mafia unaweza kutuambia madiwani na watumishi wa ardhi wangapi wamejipatia ardhi kweli hiyo listi?

invisible unaweza kuiweka top kama kiambatanishi.....
attachment.php

attachment.php


attachment.php

View attachment 41088

View attachment 41086

View attachment 41083
 
Hoja hapa iliyobakia ni kuwa:

a. Kama kuna watu wanaona kuwa kuna taratibu zimekiukwa ni jukumu lao kulalamika kwani ni haki yao ya msingi. Katika kukiukwa huku kuna level kubwa mbili yaani ya kupindisha taratibu za ndani na level ya vitendo vya kihalifu. So ninachoona ni kuwa kinacholalamikiwa ni kitu ambacho hakipo kimaandishi yaani mtu hawezi kusema utaratibu x,y na z umekiukwa. Ila kama upo utaratibu huo ambao watu walikuwa wanaufahamu kabla ya kuukiuka ni lazima wawajibike.

b. Hoja ya uzawa ni hoja ambayo ni lazima ikataliwe toka inapoianza kutolewa. Mtanzania anayo haki ya kupata kiwanja mahali popote Tanzania kwa kufuata taratibu. Hakuna taratibu ambayo inasema watu (locals or what have you) wanatakiwa kupewa kipaumbele cha aina fulani. Kwamba ni 'mantiki' ni jambo moja lakini kama hakuna utaratibu wa wazi ni vigumu kudai umekiukwa utaratibu ambao haupo. Watu wa Mafia wanayo haki kabisa ya kutaka kuona wanapewa nafasi zile zile ambazo watu wengine wanazo lakini hawana haki ya "watu wa mafia" ambayo Watanzania wengine hawana. Mchagga au Mhaya ambaye amefuata taratibu anayo haki ya kununua kiwanja huko Mafia kama vile mkazi wa Mafia alivyo na haki hizo hizo.

c. Hoja ambayo ni muhimu kuiangalia ni swala zima la ukazi (siyo uzawa) kama msingi wa kutoa aina fulani ya viwanja. Naamini vigezo ambavyo vinatumika kumpa mtu haki ya kupiga kura kwenye eneo fulani (ukazi) vinatosha kumpa haki nyingine zote kama wakazi wengine wa eneo lile. Lakini hatuwezi kabisa kutumia kigezo cha 'uzawa' kwa ajili ya upendeleo maalum kwani Katiba inakataza hilo kabisa. Mafia inaweza kuwa na eneo dogo lakini Tanzania haina dogo. Ni kwa sababu hiyo inaweza kujengwa hoja kabisa kuwa watu ambao wana uwezo wa kununua ardhi sehemu nyingine nchini kwanini wasiwaachie wakazi wa Mafia kununua eneo dogo walilonalo? Kwa mfano Dr. Dau haitaji kununua ardhi Mafia - hata kama ni kwao - kwani ana uwezo wa kununua ardhi sehemu nyingine yoyote nchini. Hili linawahusu pia hata watendaji hao wa serikali ambao kutokana na nafasi zao wangeweza kununua ardhi maeneo mengine na siyo lazima wagombanie eneo dogo la Mafia.
 
Hoja hapa iliyobakia ni kuwa:

a. Kama kuna watu wanaona kuwa kuna taratibu zimekiukwa ni jukumu lao kulalamika kwani ni haki yao ya msingi. Katika kukiukwa huku kuna level kubwa mbili yaani ya kupindisha taratibu za ndani na level ya vitendo vya kihalifu. So ninachoona ni kuwa kinacholalamikiwa ni kitu ambacho hakipo kimaandishi yaani mtu hawezi kusema utaratibu x,y na z umekiukwa. Ila kama upo utaratibu huo ambao watu walikuwa wanaufahamu kabla ya kuukiuka ni lazima wawajibike.

b. Hoja ya uzawa ni hoja ambayo ni lazima ikataliwe toka inapoianza kutolewa. Mtanzania anayo haki ya kupata kiwanja mahali popote Tanzania kwa kufuata taratibu. Hakuna taratibu ambayo inasema watu (locals or what have you) wanatakiwa kupewa kipaumbele cha aina fulani. Kwamba ni 'mantiki' ni jambo moja lakini kama hakuna utaratibu wa wazi ni vigumu kudai umekiukwa utaratibu ambao haupo. Watu wa Mafia wanayo haki kabisa ya kutaka kuona wanapewa nafasi zile zile ambazo watu wengine wanazo lakini hawana haki ya "watu wa mafia" ambayo Watanzania wengine hawana. Mchagga au Mhaya ambaye amefuata taratibu anayo haki ya kununua kiwanja huko Mafia kama vile mkazi wa Mafia alivyo na haki hizo hizo.

c. Hoja ambayo ni muhimu kuiangalia ni swala zima la ukazi (siyo uzawa) kama msingi wa kutoa aina fulani ya viwanja. Naamini vigezo ambavyo vinatumika kumpa mtu haki ya kupiga kura kwenye eneo fulani (ukazi) vinatosha kumpa haki nyingine zote kama wakazi wengine wa eneo lile. Lakini hatuwezi kabisa kutumia kigezo cha 'uzawa' kwa ajili ya upendeleo maalum kwani Katiba inakataza hilo kabisa. Mafia inaweza kuwa na eneo dogo lakini Tanzania haina dogo. Ni kwa sababu hiyo inaweza kujengwa hoja kabisa kuwa watu ambao wana uwezo wa kununua ardhi sehemu nyingine nchini kwanini wasiwaachie wakazi wa Mafia kununua eneo dogo walilonalo?Kwa mfano Dr. Dau haitaji kununua ardhi Mafia - hata kama ni kwao - kwani ana uwezo wa kununua ardhi sehemu nyingine yoyote nchini. Hili linawahusu pia hata watendaji hao wa serikali ambao kutokana na nafasi zao wangeweza kununua ardhi maeneo mengine na siyo lazima wagombanie eneo dogo la Mafia.

Kaka tatizo taratibu hazikufuatwa from A to Z

Maybe this might be a learning curve kwa halmashauri wakaelewa kuwa kuna kitu kinaitwa public consultation na hasa kwenye mambo sensitive kama ya ardhi, watu, maendeleo na mazingira

otherwise nimekupata maybe tungepata mwongozo toka Ardhi na Tamisemi then tuendelee kumkoma nyani giladi kama ileee ya Vienna convention
 
Kaka tatizo taratibu hazikufuatwa from A to Z

Maybe this might be a learning curve kwa halmashauri wakaelewa kuwa kuna kitu kinaitwa public consultation na hasa kwenye mambo sensitive kama ya ardhi, watu, maendeleo na mazingira

otherwise nimekupata maybe tungepata mwongozo toka Ardhi na Tamisemi then tuendelee kumkoma nyani giladi kama ileee ya Vienna convention

Hakuna kitu kama hicho ndugu yangu, Kilindoni ni mji na kulingana na sheria na kanuni za kuendesha miji ndio viwanja vikatangazwa na watu wakaomba na waliobahatika wakapewa. Hakuna "Public Consultation" kwenye hili, ni sheria tu!!! Nyie mlidhani viwanja vinagawiwa kwa kupanga foleni??? au mpaka wamuone Dau ndio aseme nani apewe na nani asipewe!!?? Jipangeni vizuri...
 
siwataki wageni kwenye kisiwa changu,kuleni kona huko,mbona mapori yapo kibao huko bara! Tokeni haraka iwezekanavyo

Bora wewe umekuwa mkweli kuliko hawa wanaozunguka zunguka wakati wanajua nini wanachokitaka!!!
 
Mkuu, acha kujiliza ili kutafuta huruma ya wale waioifahamu Mafia. Awali ya yote, mimi sio mwenyeji na wala sina nasaba yoyote na Mafia hivyo sina interest yoyote kwa haya ninayosema tofauti na wewe ambae una interest ktk masuala ya viwanja. Si kweli hata kidogo, na huo ni uzushi uliovuka mipaka ambao unapaswa kuuonea aibu kudai kwamba kuna ubaguzi dhidi yenu. Generally speaking, over 95 % ya Wamafia ni Waislamu na majority ya watumishi wa umma ni Christians. Lakini hata hivyo, si kweli hata kidogo kwamba kuna ubaguzi wowote ule. Makanisa yote pale mafia, hususani Kilindoni yamezungukwa na wakazi wa mafia ambao ni waislamu huku kanisa la Lutheran likiwa karibu kabisa na Madrasa na lile la Katoliki likiwa umbali mfupi tu toka Msikiti Mkuu wa Mafia. Je, kungekuwa na huo ubaguzi unaosema wewe hayo ; yangefanyika?! Ukweli bado unabaki pale pale, hata kama nanyi mna haki ya kupata ardhi Mafia na Wamafia wenyewe wana haki hiyo hiyo. Na kwavile Watumishi wapo powerfully economically as well as kiutawala/mamlaka; hawa wenyeji lazima wapewe special attention kwavile hawana ubavu wa ku-compete na nyinyi kwenye fair(unfortunately, hata hiyo hapo sio fair) play ground. Hata mzazi mwenye busara, ana aina yake ya kum-treat mtoto aliye na mapungufu kwa kulinganisha na wengine. Nyerere aliposema madini yaachwe hadi Watanzania watakapokuwa na uwezo wa kuyachimba haikuwa ubaguzi bali alifahamu ktk mazingira kama yale Wa TZ wasingenufahika(ingawaje hata sasa hatunufaiki). Hivyo, ingawaje hatuwezi kusema viwanja mafia visigawanywe hadi wenyeji watakapokuwa na the same competitive power as watumishi wa umma (plz, usipotoshe, sio wageni na wakristo); lakini bado kuna umuhimu wa namna gani wenyeji wanaweza na wao kunufaika na ardhi za babu zao.Huo Mkuu, sio ubaguzi! Achana na kilio cha propaganda cha kuhitaji huruma ya watu humu ndani. Hebu angalia hiyo list, labda kama unaikana. Wengi hapo ni Watumishi wa halmashauri. Hapo fairness itatoka wapi?! Nami nina uhakika, wengi wao hapo wanachukuwa viwanja wakati walishapata awamu ya kwanza walipogawa viwanja vya Dongo; sasa kama sio ulafi tuite nini?! Likewise, wengine hapo wanachukua viwanja ili baadae waviuze wakati wengine shida yao wavitumie kwa makazi; wakishindwa kujenga wao, basi angalau watoto wao.

Umeongea vizuri mkuu, kudos! Lakn hebu angalia post za wenzako, na kama upo Mafia sikia maneno ya mtaani!! Nakubali kabisa Mafia na watu wa Mafia ni wakarimu na hawana ubaguzi. Problem ni hawa jamaa zetu wanaotaka "mambo yao 2015", na sasa wanatumia ajenda kama hii ya kugawa viwanja ili kujijenga na hiyo 2015.
 
Hakuna kitu kama hicho ndugu yangu, Kilindoni ni mji na kulingana na sheria na kanuni za kuendesha miji ndio viwanja vikatangazwa na watu wakaomba na waliobahatika wakapewa. Hakuna "Public Consultation" kwenye hili, ni sheria tu!!! Nyie mlidhani viwanja vinagawiwa kwa kupanga foleni??? au mpaka wamuone Dau ndio aseme nani apewe na nani asipewe!!?? Jipangeni vizuri...

Mbona hujibu la Madiwani 5 pamoja na mke wa Mbunge kujipatia viwanja ?
 
Umeongea vizuri mkuu, kudos! Lakn hebu angalia post za wenzako, na kama upo Mafia sikia maneno ya mtaani!! Nakubali kabisa Mafia na watu wa Mafia ni wakarimu na hawana ubaguzi. Problem ni hawa jamaa zetu wanaotaka "mambo yao 2015", na sasa wanatumia ajenda kama hii ya kugawa viwanja ili kujijenga na hiyo 2015.


Hebu tuelezevigezo gani vimetumikwa kuwapa maofisa wa ardhi na madiwani hivyo viwanja?
 
Huyu Dr nilikuwa namheshim sana, ila kama nilichosikia kutoka huko kisiwani Mofia ni kweli basi mkuu huyu nitamshusha sana! Hizo zote ni harakati za kumwandalia ndugu yake mmoja mbeba box huku ughaibuni ili aje kuwa mbunge. Na hivi sasa naambiwa amepeleka vifaa chakavu kutoka nssf, na vingine kutoka UAE kwa maandalizi!
Acha uongo na roho mbaya usisingizie watu bila facts
 
Wanamafia mkubali mkatae halmashauri hamuwezi kuiongoza wenyewe huyo DR DAU ana ndugu zake wangapi mbona hawaji fanya kazi mafia? Hao wanamafia wachache ambao wamerudi kufanya kazi kwao hamwishi wapiga majungu na ndo hao baadhi yao mnataka wanyang'anya viwanja wakajenge wapi?
 
Huyu Dau bure kabisa, kumbe naye ni wale wale makaburu?!?!

Mkuu bure ni wewe huo ubure uko wapi wakati kilio chake na wanamafia wenzake kimesikilizwa, kwani huko kwenu mabara hamna viwanja mpaka mje huku pwani kutuharibia ustaarabu wetu
 
Wanamafia mkubali mkatae halmashauri hamuwezi kuiongoza wenyewe huyo DR DAU ana ndugu zake wangapi mbona hawaji fanya kazi mafia? Hao wanamafia wachache ambao wamerudi kufanya kazi kwao hamwishi wapiga majungu na ndo hao baadhi yao mnataka wanyang'anya viwanja wakajenge wapi?

Sasa utoaji wa viwanja unaendelea au bado ? anayelalamika sio Dr Dau peke yake ni wana Mafia wote
 
Nyie kila k2 Dkt Dau,au kwa sababu ni muislamu?
  1. Dr. Dau kweli ni mdini. Angalia jinsi alivyo wasambalatisha wakurugenzi wakristo aliowakuta. Mmoja alimhamishia Arusha kwa meneja na mwingine Mwanza kuwa meneja. Wa Arusha akaamua kuwa mjasiliamali, akajua kamhamishia Moshi. Wa Mwanza, mkono wa Mungu ukamchomoa, ni DG wa Mfuko mwingine.
  2. NSSF katika ajira mpya 50, wawili tu wanaweza kuwa wakristo nao ni wale wenye majina mtambuka eg Maneno, Mashaka, Rehema, etc
Mbona viongoz wa Ppf wala rushwa ya ngono hamsemi?


  1. Uongozi wa PPF umesemwa sana kwa rushwa ya ngono. Hi sasa ratio ya wasichana kwa wavulana wanaoajiliwa, wasichana ni 90%. Usaili hufanyika kwenye guest Houses, ajira PPF. Nenda kawaone jinsi nidhamu ilivyo shuka ya uvaaji nguo pale PPF hasa siku ya Ijumaa. Tulio ofisini wanyonge tunateseka na vimini, hata swaumu zetu huingiliwa.
  2. DG wa PPF bwa. Erio ni Mzinzi haswa, hakuna asiyejua. Pamoja na kutembeza kwa kila amtamaniye, sasa hivi bango lipo kwa binti mmoja ambaye kaka yake ni bosi pale EWRA na Risk Director, sub single Uphoo. Waziri wa Fedha ana share na Mbunge wa Kinondoni Bw. Azan kwa PR Manager wa PPF. Mwenyekiti wa Bodi Bw. Kapalata, anatafuna binti mmoja aitwaye Winie Lusingu. Huyu hujitangaza kwa sana. Akiwa temporaly employed alikuwa anasoma IFM full time na kulipwa mshahara PPF, 2008-2009, kisa hakuna wa kugusa kipusa cha Mwenyekiti wa Bodi.
  3. DG wa PPF Erio, kampa ukurugenzi mpenzi wake Uphoo Swai bila kufuata taratibu za kuitangaza nafasi ili ishindaniwe. Kwa jinsi penzi lilivyo kipofu, pamoja na kelele za uanzishwaji wa kurugenzi hiyo kuwa wazi hakujali. Governance iko wapi PPF.
Bado utasema PPF haisemwi?

MODERATOR ANA FICHA THREADS ZA PPF ZENYE KUELEZEA UZINIFU NA UFISADI
Tatizo lililojitokeza sasa hivi ni mazingira ya rushwa kwa moderators wetu hapa JF. Sasa hivi karibu kila thread inayoongelea PPF wameziblock. Hazifunguki hata ukiingilia kwenye google ukifungua inakupa majibu kuwa hujajisajili. Ukilog in unaambiwa huna preverage ya kuzisoma hizo. Je ni akina nani wenye hiyo preverage ya kusoma threads za PPF?

Tunaomba MODs waseme kuwa PPF ni MALAIKA wasiguswe hapa JF. Au ndio sponsors? Please Tuambiwe.
 
Haidhaniwi kua Tanzania kuna sheria inayomzuia mtu kumiliki idadi fulani ya viwanja na kama zipo basi more likely watu wa idara ya ardhi ndio watakua wahusika wakuu na sio Dr Dau.

Linalofahamika ni kua muanzisha mada inawezekana ana chuki banafsi na Dr dau kwakua hathibitishi madai yake kwa dalili kua Dr amefanya hivyoe.

Unajua ulichoandika au umeandika kwa hisia tu?! FYI Zanzibar, mzanzibara/mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi.
Au kwako wewe Zanzibar sio Tanzania? If my Brain still serves my correctly, Tanganyika + Zanzibar = Tanzania. I stand to be corrected
 
Unajua ulichoandika au umeandika kwa hisia tu?! FYI Zanzibar, mzanzibara/mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi.
Au kwako wewe Zanzibar sio Tanzania? If my Brain still serves my correctly, Tanganyika + Zanzibar = Tanzania. I stand to be corrected

Wakati ninaandika nilikua sibahatishi ninajua kabisa ninachoandika na ukitaka kuthibitisha hivyo ungepinga madai yangu kwa dalili. Ulipotaja sheria za Zanzibar ullitakiwa ukumbuke kua Tanzania bara na Zanzibar ziliungana tu na kuna baadhi ya sheria nyingi ni tofauti. Huwezi ukaleta mfano huo wakati unajadili swala la Mafia (inrelevance).

Tukirudi ktk swala La Dr Dau ninasisitiza tena kua mtoa mada anaonekana kua na chuki binafsi kwa kua madai yake hayana ushahidi therefore, hayana msingi. Nlilitaja kua ilikua ni mapema kukadiria nadhara yatakayopatikana kwa tuhuma hizo nzito lakin muanzisha mada ninadhani kua sasa anaanza kunielewa nilikua ninakusudia nini kama ataangalia trend ya mazungumzo inavyoendelea.

Ninarudia tena kama kuna mtu yoyote wakulaumiwa basi ni idara ya ardhi na sio Dr Dau. Dr Dau kama alisema kweli yaliyodaiwa basi alikua kama lobbiest tu au kauli yake ilichukua muelekea wa ushauri kutokana na uzoefu wake wa area hiyo lakin haina maana kua ilibadilisha sheria in real sense.

Mtu yoyote ana uhuru wa kutoa maoni anayotaka hata mimi ukiniuliza ninataka kiwanja sio mafia tu sehemu yoyote Tanzania nitasema ndio. Ni moja ktk haki zake Dr Dau kama mzawa au anayejua historia ya eneo hilo vizuri kushauri kile ambacho anakiona kinaweza kuleta madhara kwa wakazi wa eneo hilo possibly na kizazi chao kwa miaka mingi inayokuja. Wamachimnga waliopigana Mbeya waliona wanayohaki ya kufanya hivyo kwakua hapo ndio kwao na hawana sehemu nyingine ya kwenda pamoja na kua hawakutakiwa kuwa hapo kwa mujibu wa sheria.
Kama eneo la mafia ni dogo na utajiri wa eneo hilo ni ardhi, ni mawazo mazuri kuwapa kipaumbele wakazi wa kudumu na hilo halihitaji sana kufikiria ni common sense ambayo inaaminika kwa asilmia 101 kua Dr Dau anayo. Na wewe jaribu kutumia common sense.

What can be realised here is that, there is self intrest in let say potraying the whole issue specific the involvement of Dr Dau. Dr Dau as highly respected personality, he has a natural right to advice not only concerning Mafia issue but any other issue which may breach possibly security of the area and possible te othe areas. His achievement as one of the brilliant directo in Tanzania, is nearly impossible to imagine that his recommendaion will go in vain. Its very important recommandations to be taken serious and the matter should be solved immediately before the escalution where it will nearly impossible to compromise.
 
Back
Top Bottom