Dr. Chami apigwa chini uwaziri, eti kafanya makubwa jimboni kwake!

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,815
2,814
Eti, wakazi wa moshi vijijni wanamlilia Dr. Chami kwa kukosa uwaziri, eti aliwafanyia makubwa kwa kutandaza lami kwenye barabara za jimbo lake zima. Uru, Kibosho, Old Moshi na kwingineko. Waandaa misa ya kumwombea awe na afya njema.
 
Ndugu mbona kuna barabara nyingine hata kwa baiskeli huwezi kupita , barabara hiyo ni yakutoka rau madukani hadi kishumundu kwenda materuni, pia rau madukani kwanda mnini kupitia maomboleo. Barabara hizi ni mbaya usipime. Zinalami yatoka kipindi cha mjerumani hadi leo. Nimbaya kweli. Na barabara ya kwenda kibosho kirima kupitia international school, ukifika pale kwa mzee change ndiyo mwisho hasa hichikipindi cha mvua inabidi wazungukie kcmc kupitia chuo cha wanyama pori cha mweka.
Sasa hizo barabara wanazo msifia nazo ni zipi? Au ni ule usanii wa kule igunga kipindi cha ra
eti, wakazi wa moshi vijijni wanamlilia dr. Chami kwa kukosa uwaziri, eti aliwafanyia makubwa kwa kutandaza lami kwenye barabara za jimbo lake zima. Uru, kibosho, old moshi na kwingineko. Waandaa misa ya kumwombea awe na afya njema.
 
Kaka me niko kibosho anapotokea huyo TO mara 2 wa tz hapa hamna loloye barabara ni molam tu wanamwaga ati kulikua na tetesi raisi angekuja ndo nikaona magreda yametimba kama kawaida yao saiv wamelala eneo moja linaitwa kindi mwaka wa 7 sasa tangu aingie na apewe uwaziri japo hamna lolote huku hamna wa kumlilia labda familia yake na wenyekiti wa kijiji maana wote ni magamba hao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom