Dr Bilal na wake zake Aisha na Zakia

Status
Not open for further replies.

Mapinduzi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
2,422
91
bilal_wake.jpg
 
Do uyu jamaa mbona macho yake yako kwingine, hahah au ndio mambo ya cleavage?? hahah
 
naona umemuondoa huyo alekuwa na suti ya mikono mifupi. Ni bora maana hawa jamaa hawakawii
kuwahisi watu vibaya..................
 
Samahani jamani kuuliza si ujinga, ukiwa na wake 2 kama hivi unasafiri nao kwenye gari moja?
 
Samahani jamani kuuliza si ujinga, ukiwa na wake 2 kama hivi unasafiri nao kwenye gari moja?
Mie hapa naona wenye shida ni hao akina mama maana kama kuna wenye wivu sijui inakuaje. Itabidi tu usafiri nao gari moja ukiiba ka-kiss kwa mmoja na mwingine sijui ufanyeje hahah
 
Bilal amewaonyesha hadharani , na Kikwete anao wangapi?

Ndio jamaa amepata mvi kwa haraka!! Hizo mashine mbili si za kitoto, zimetulia. Duh... anafaidi!!! Ila aangalie na afya yake!!
anyway, Utamaduni wa kiafika unaruhusu, au vipi wajemani!!?? Anathamini utamaduni wa kiafrika halisi.
Na mikono mfukoni, weweee!!
 
Mie hapa naona wenye shida ni hao akina mama maana kama kuna wenye wivu sijui inakuaje. Itabidi tu usafiri nao gari moja ukiiba ka-kiss kwa mmoja na mwingine sijui ufanyeje hahah

Du wakuu, kama wanavyosema watu mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. lakini kitu cha wake wawili hakiingii akilini, hasa kwa msomi kama Dr Bilali, unless there are biological reasons for that. Lakini again ya ngoswe mwachie ngoswe.
 
tabu tupu nakwambia hahah
 
Bilal amewaonyesha hadharani , na Kikwete anao wangapi?

Ndio jamaa amepata mvi kwa haraka!! Hizo mashine mbili si za kitoto, zimetulia. Duh... anafaidi!!! Ila aangalie na afya yake!!
anyway, Utamaduni wa kiafika unaruhusu, au vipi wajemani!!?? Anathamini utamaduni wa kiafrika halisi.
Na mikono mfukoni, weweee!!
kabakiza kupiga mluzi tu hapo hahah
 
ila hayo mambo kweli yanawenyewe maana mie na huu wivu,sijui ingekuwaje!!!
 
Hongera Dakta Bilal, hakika wewe wajua kuchagua , ndio manake ukisoma fiziks lazima uoe wake wazuri bana..
 
Picha nzuri sana, na hapa mimi ndo ninapoipendea hii imani ya wenzangu, wawili halali hadharani aka, no complain no drama no nothing.
 
Picha nzuri sana, na hapa mimi ndo ninapoipendea hii imani ya wenzangu, wawili halali hadharani aka, no complain no drama no nothing.
hahah si unaona amekaribia upande gani zaidi hahah afu nasikia wanataka kupitisha na ya upande wa pili pia
yaani na akinadada wawe na waume wawili hahah, how do you see that? mie naona hapo mawivu labda
wakiwa wanakuja kila mmoja kwa wakati wake............
 
Mmmmmm nakuwa najua kabisa tupo wawili, au wanne. Hivi huwa wanasema mume wangu au mume wetu?? Mmmmh inabidi mshipa wa wivi uwe umekatika mapema sana.
 
huoni bwana kasumama kati kati ili wasionane, is like wa kushoto asimwone wa kulia, maana utaweza sikia, puuuuuuuhhh, mwacheee nimfunzeeeee, malaya ww kazi kuchukulia waume za watu, ngumi tayari, haya mapenzi ya kupretend haya, mhhh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom