Dr. Batlida Burian Ndani ya TBC1

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,941
9,947
WanaJF Waziri wa Zamani wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Mazingira dr. Batilida Buriani yupo live TBC1 akinena kuhusu mazingira. Ukiweza na ukitaka msikilize
 
akafie mbele huko who is she after all, just a kimada who politics failed her!!!
 
Alifanya nini huyu Batilda wakati akiwa waziri wa mazingira? Specifically alifanya nini kuhusu issue ya mto Tigithe kule North Mara kuwa na sumu na kusababisha magonjwa na hata vifo vya binadamu na wanyama? Mwanamke huyu hana aibu kuongelea mazingira wakati hana record ya kutenda lolote la maana mbali na kuomba misaada kwenye mashirika ya kimataifa kwa maslahi binafsi.
 
Anawashwa,kitambo sana hajauza nyago.....Basha wake kamsusa baada ya kuona analeta longolongo
 
Back
Top Bottom