Dr BANA on EATV anasema wabunge nao wapigiwe kura ya kutokua na imani nao

Anaweza akawa pro system lakini haiondoi ukweli academically ni mzuri ndio maana yuko hapo!

unaweza kuwa mzuri kiakili lakini ukawa unatumiwa na wapumbavu na wewe unakuwa mjinga. Unajua kwamba ngeleja alipata first class ud? Tatizo la kuwa na vyeo vya kuteuliwa ndo linasababisha wasomi wetu wazuri kuwa na mawazo ya ajabu. Muda wote anasubiria kupewa cheo ili naye akaibe. Next katiba vyeo vya kupeana vinaishia huko huko. Rais ataishia kuwa mtu wa kuwaapisha tu. Hivi unajua mkurugenzi wa mnh hakuwa chaguo la bodi ya mnh bali chaguo la blandina nyoni? Tunahitaji watu washindanishwe mwenye vigezo apate haki yake. Haya mambo ya kupeana mahawara,mashemeji, watwasi, kaka hatutaki tena! Tukiweka hivi watu kama kina bana watakuwa wanafanya utafiti wa kukipa sifa chuo.
 
Back
Top Bottom