Dr BANA on EATV anasema wabunge nao wapigiwe kura ya kutokua na imani nao

anasema pia huwezi kumwajibisha mtu bila kumpa nafasi ya kujitetea

Amesahau kwamba kila mwaka kamati za bunge zimekua zikizungumzia mabo hayohayo miaka zaidi ya mitatu... nakumbuka mwaka 2009 walijadili kwa kina tu matatizo hayahaya

Anataka utetezi gani tena???

hivi wanafunzi wake wanagain nini kwa mtu kama huyu??
 
Huyu mzee amenusa harufu ya utawala wa swahiba yake kuanguka ameamua kujitosa ulingoni. Anahisi chini ya utawala makini kuishi kwa magumashi ya ku COOK data za research ataozea jela anaamua kupambana kwa nguvu zote. Kweli kila shetani na mbuyu wake, naye tumpigie kura ya kutokuwa na imani na uwezo wa akili yake
 
Jana nilikuwa na Profesa mmoja wa pale Political Science. Alimponda Bana vibaya sana kwa uongozi wake mmbovu kama Mkuu wa Idara. Mbali ya kujipendekeza kwake jamaa ana uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo
 
dr bana ni mfano wa wasomi vibaraka ambao wananaweka utalaam wao pembeni ili kutumikia wanasiasa kwa kutunga uongo wa makusudi kabisa.
 
Ni mwl mzuri sana ila practically vitu anavofundisha haelewi kabsa
Mwalimu mzuri kwa kugawa Marks nzuri na kuchekacheka na vibinti ila kufundisha sio mzuri sana, labda kwa kuwa alikuwa Primary school teacher huko kwao Mutukula
 
huyo ni pimbi asiejitambua na ni kibaraka wao unadhan atasema nini na alivyo na sura mbaya akifukuzwa sasa hivi ataenda kwa nani kupata kazi sasa hvi ajira zinatoka kwa wenye face smile nzuriiiii,,,,yeye akicheka mie huwa namhrumia naona kama analia...
 
Amesahau kwamba kila mwaka kamati za bunge zimekua zikizungumzia mabo hayohayo miaka zaidi ya mitatu... nakumbuka mwaka 2009 walijadili kwa kina tu matatizo hayahaya

Anataka utetezi gani tena???

hivi wanafunzi wake wanagain nini kwa mtu kama huyu??

Mimi nashindwa kujua kwanini huwa mnampa hata sikio. Uprofesa wake sijui ni wa aina gani. Sijui mlo wake wa siku unatokana na kubwabwaja. Ni masiku si haba nikimuona kwenye TV au redio ya aina yoyote huifunga na nyingine zimenusurika kuvunjililiwa mbali. Mwenyezi mungu tuepushe na watu kama Bana.
 
sio professor mkuu ni associate prof...hua anajisifia class kuhusu Patronage system kwmba na yeye yumo! Mi huwa nataka kutapika!
 
Nisivyompenda yule baba acheni tu sura mbaya,then hakuna linalompita,ni gamba yule mi huwa hanishtui akiwa anabwabwaja matapishi yake,anajikomba so sitegemei awe against na magamba,mtu mzima hovyoooo! bado aje na tafiti zake atawaambia chama cha magamba na mkuu wao wanakubalika kwa maasilimia kibao bila kujikomba ataishi vp town,hajiamini
 
Huyu alikuwa anaitwa bar sen Burner!

Ila Mimi Namkubali jamaa lazima. Hata ndumbaro alikuwa primary school teacher
 
BANSEN BURNER ni daktari magumashi tu hana lolote, Ignore him with all the contempt he deserves; he is CCM's attack dog and apologist anayeendesha maisha yake kwa kodi za wavuja jasho na ufisadi REDET
 
Back
Top Bottom