Dr. Bana kuwepo kwenye baraza jipya la mawaziri

Az 89

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
1,658
691
Kumekuwepo na tetesi hivi punde kwamba mkuu wa idara ya utawala wa umma na sayansi ya siasa, UDSM..dr B.Bana yupo ktka baraza jipya la mawaziri ila cjajua ktengo gani...source mi mwenyewe!
 
mbona unajiabisha kwa post zako za kijinga?? ina mana Dr. bana ni mbunge?? acha kuleta post za aibu hapa kama huna cha kupost kaa kimya au nenda yutube uangalie movie za kinigeria!!
 
mbona unajiabisha kwa post zako za kijinga?? ina mana Dr. bana ni mbunge?? acha kuleta post za aibu hapa kama huna cha kupost kaa kimya au nenda yutube uangalie movie za kinigeria!!

Rais bado ana nafasi zake kati ya 10 za wabunge wa kuteuliwa naye. Hakuzitumia zote, bado ziko kibaao.
 
mbona unajiabisha kwa post zako za kijinga?? ina mana Dr. bana ni mbunge?? acha kuleta post za aibu hapa kama huna cha kupost kaa kimya au nenda yutube uangalie movie za kinigeria!!

aisee osokoni umeongea lakini naona kama hicho kidonge ulichompa hakimtoshi...muongeze akome kuleta post ambazo hata hazieleweki...kuna watu vilaza dunia hii acha tu...wewe hapo mlimani sijui unafanya nini...ni mwanafunzi au?ukijibu hilo naweza kukuelewa kidogo..maana uwezo wako wa kufikiria unanipa shida kidogo.....
 
duh! Mkubwa hebu pitia sifa anazopaswa kuwa nazo mtu ili ateuliwe kuwa waziri! Bana hana hizo sifa kabisa. Tetesi zako hazifananii na ukweli hivyo hazijadiliki!
 
Rais bado ana nafasi zake kati ya 10 za wabunge wa kuteuliwa naye. Hakuzitumia zote, bado ziko kibaao.

Usifikiri kwa Masaburi. Akishamteua kuwa Mbunge ataapishwa lini Bungeni ili aweze kumteua kuwa Waziri?
 
Unga sasa kg 1 ni 1200/= jamani 2tafika kweli? Hakika jk ni boom!

Bazil Mramba aliwahi kusema kuwa hata ikibidi watu kula nyasi ndege ya rais inunuliwe na iwe hivo sasa ndio ule wakati wa kula nyasi umefika ndugu yangu! wewe ukiona watu wana rise huko mali, guinea bissau, misri tunisia libya nk ni mambo haya mtu anaona akikaa kimya atakufa njaa na akipigana pia anaweza kufa ila kuna chance ya ku survive wanaenda front!!
 
mbona unajiabisha kwa post zako za kijinga?? ina mana Dr. bana ni mbunge?? acha kuleta post za aibu hapa kama huna cha kupost kaa kimya au nenda yutube uangalie movie za kinigeria!!

akili zako wew kama za Tuntemeke! Rais ana uwezo wa kuteua ikiwa bado nafasi 10 hajazimaliza! Kwani unafikiri kuteuliwa lazima uwaziri kwenye hilo baraza jipya? Unataka nipgwe ban!
 
Rais bado ana nafasi zake kati ya 10 za wabunge wa kuteuliwa naye. Hakuzitumia zote, bado ziko kibaao.

lazima huyo myu ateuliwe kwanza ubunge halafu akaapishwe bungeni kama mbunge ndo awe waziri sasa sijui akiteuliwa leo ataapa kwa rais kwanza kama waziri then bunge likianza anaenda kuapa kama mbunge au vipi!!!! maana katiba ya sasa inasema waziri lazima awe mbunge na mtu hawezi kuwa mbunge rasmi kabla hajaapishwa
 
nasema hivi unalo ndugu yangu mwanzisha mada, fikiri kabla ya kunena wala kutenda. unaona sasa umeumbuka. pole yake kama nakuona vile. ndo hivyo tena ushabugi.bye
 
Hakuna uwezekano wowote wa kupata uwaziri huyo mwl wenu wa mlimani mwache akae na utafiti wake wa ajabu
 
Back
Top Bottom