Dr. Aloyce Nzuki: The new boss of TTB

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
A few months after the statutory retirement of the former chief executive officer of the Tanzania Tourist Board, Mr. Peter Mwenguo, President Jakaya Kikwete has appointed Dr. Aloyce Nzuki to take over the very competitive and high-ranking position in Tanzania’s tourism sector.

The President appointed Dr. Nzuki, who until last month was an assistant professor at Salalah University in Oman. Dr. Nzuki, a highly-qualified tourism professional, worked with Tanzania’s ministry for natural resources and tourism as an assistant director of tourism.

He holds a doctorate degree in tourism development from Clemson University of South Carolina in the United States, which he graduated from a few years ago.

Before joining the tourism industry, Dr. Nzuki studied statistics at Makerere University in Uganda then masters degree in tourism marketing at Surrey University in UK before pursuing his doctorate degree in tourism.

Upon taking over the high-ranking job in Tanzania’s fast-growing tourist industry, Dr. Nzuki will join a team of tourism professionals in marketing and will work to promote tourism in new emerging markets in the world parallel to traditional market sources.

Tanzania is currently targeting the newly-emerging tourist markets of China, India, Japan, and the former socialist countries of Eastern Europe. The 2010 FIFA World Cup is the other target which Tanzania is looking to add value to its tourist products.

Tanzania, the largest country in East Africa, is focused on wildlife conservation and sustainable tourism, with approximately 28 percent of the land protected by the government.

It boasts 15 national parks and 33 game reserves and the world’s acclaimed Ngorongoro Crater, often called “The Eighth Wonder of the World;” Olduvai Gorge, the Cradle of Mankind; the Selous Game Reserve, the world’s largest wildlife reserve; and Ruaha, now expected to be the largest national park on the African continent.

Since taking over the top leadership of this African safari destination, President Kikwete has been actively campaigning for his country’s tourism development through his foreign entourages and local trips in both political and economic missions.

The Tanzania Tourist Board is a government organization, which was legally established by the Tanzania Tourist Board act, CAP 364 of 1962 and amended by Act No. 18 of 1992. The board was formed after the disbandment of the Tanzania Tourist Corporation (TTC).

The board is mandated with promotion and development of all the aspects of tourism industry in Tanzania with a vision that aims to make tourism the number one economic contributing sector to the Tanzania GDP by the year 2025.

The board’s mission is attributed to promote sustainable tourism domestically and internationally through innovative and dynamic awareness creation, in order to contribute significantly to the social and economic development of Tanzania.
 
Congrats Dr. Nzuki,

You deserve the post!!! A hard working fellow! My sincere best wishes to your family, especially wife Mage!! A champion of who you are now!!! Loving kids, wear your parents' shoes!!

I believe and pray that you will change the sector, making Tanzania the World's Tourist landing!!
 
We are looking foward and we pray that you deliver to the expectation of many wananchi.
 
Congratulations to you and your family!!!!!! My hope is you will perform and deliver accordingly, please try not to FISADI the Sector,The Tanzanians are looking for your good work we need you man!!!!!
 
Hapana, Dr. Aloyce Nzuki siyo wa Iringa ni Mnyamwezi Wa Tabora and he is good person.
 
Teh Teh Iringa conection bana,siamini post zinazotolewa kimya kimya na mteuzi awe wa magogoni,hata kama mtu ana sifa zinapotea kwani mara nyingi huwa ni wa kupokea vimemo bana toka kwa wanasiasa kwa kuwa uteuzi umefanywa kisiasa zaidi,ushauri wa bwelele teuzi hizi zingekuwa zinafanywa na kampuni binafsi zilizobobea katika mambo ya utumishi na utawala,tulianzia uteuzi wa mkurugenzi wa NHC na sasa tunaendeleaaaaa
 
Hapana, Dr. Aloyce Nzuki siyo wa Iringa ni Mnyamwezi Wa Tabora and he is good person.

The important thing here is not whether he is a good person or bad; this country needs people who can deliver whether they have a pretty face or not is neither here nor there!! Pretty/ ugly faces do not bring food on the table! Watu wanataka maisha bora sio uzuri wa sura bwana.
 
But a good person sio maanake sura nzuri yakhe...nadahani mchangiaji alimaanisha personality ya Dr...
 
huyu bwana ni Mchapa kazi na amefanya kazi kwa muda mrefu maliasili na cha kufurahisha yuko very exposed, anaelimu nzuri na kikubwa zaidi anajua madudu yote yanayofanywa/yaliyofanywa na MWENGUO Pamoja na Genge lake,,,,,,,,,,,,,,,itamuwia vigumu saana kutekeleza majukumu hayo mapya kama na hilo genge la Mwenguo halitaondolewa,,,,,,,,,,,,,kwa muda mrefu TTB wamekuwa wanafanya kazi kwa mazoea,,,,,,,,,kazi kubwa ni kusafiritu kwa kisingizio cha kutangaza utaliiiii,,,,,,,naamini uongozi wako DR Nzuki utawavutia vijana wasomi waje wafanye kazi na TTB............naamini utakomesha tabia ya ma secretary na madereva kujumuishwa kwenye misafara ya kwenda kutangaza utalii Ulaya na marekani,,,,,,,,,,,,,,,,,naanmini madudu mengi unayajua kuliko sisi tulioko nje

Nikupongeze kwa hiyo changamoto mpya uliyopewa,,,,na kukupongeza kwa uvumilivu wako,,,,,
 
Hongera Dr Aloyce kwa kukabidhiwa sururu. Ni matumaini yetu kuwa utatumia ujuzi wako kuitumikia nchi yako vyema na pia kutuletea yale uliyoyaona huko ughaibuni ulikosomea na kufanya kazi. Chonde chonde, ulete yale yaliyo mema tu, na mabaya yoote uwaachie huko.

Ndugu yetu Dr Aloyce, huku nyumbani siku hizi watu wanashindana kujibinafsishia mali ya umma na wengi wamekuwa sikipewa sifa na vigogo wenzao kadri walivyojishamirisha kwa ufisadi. Sinabudi tena kukuomba tena, uitumie nafasi yako kuwatuwatumikia Watanzania na usije-jiunga na wale wala nchi ila wajenga nchi.

Mungu akubariki na akupe uzalendo wa hali ya juu na maisha marefu ili idara uliyopewa kuingoza iseme kwa ajili yako na Watanzania watakusikia.
 
As kijana wa port Masanilo said, naona huyu mkulu ana CV nzuri. Lets hope for the best from him. Unajua mimi ingawa naona bongo tumezidi kwa ufisadi..nadhani hata "elites" nao wanachangia sana. Sasa kama huyu ameteuliwa...kila sifa anayo ya kisomo na exposure (diaspora mpo?) sasa jamani akienda akavurunda..tutamlaumu Kikwete? I think, its high time..wale wanaotaka mabadiliko ya kweli..wakipewa nafasi waanze kwa kuonyesha mfano. Hainingii akilini...mtu umepewa nafasi ya kufanya maamuzi yenye manufaa kama hii..kesho unaharibu..harafu unaanza kutafuta mchawi..and as always tutaanza na JK. I GUESS AT TIMES WE ARE BEING UNFAIR. Tulalamike tuu..pale ambapo mhusika hana sifa au tunajua record yake ni mbovu au "alibebwa". Otherwise naona na sisi tuwe responsible na majukumu tunayopewa.

Mfano ukienda ofisi nyingi za umma..siku hizi kuna wasomi kibao..lakini ndo hao wanaiba na kuifisadi nchi..harafu ukikutana nao watakwambia system ni mbovu...I believe we have to start with ourselves. JK atabadilika kama akiona wale anaowapa nafasi wanajitahidi. Lakini tukiendelea hivi kuwalaumu wanasiasa (ofcourse wana failures zao) tutashindwa kupiga hatua kabisa. If you are educated kama huyu mkulu..nadhani the best you can do to your motherland ni kufanya kazi kwa bidii bila woga..after all una elimu..you can still get a job and work somewhere else..hata kama ni Fiji au Palau..why not?

Nakutakia mafaniko mema Dr. Nziku.

Masanja
 
Maneno ya kweli kabisa mkuu.................kwa hiyo sisi tulioko huku Fiji tuseme nini aisee....lol
 
The man seems to be well educated, hard working and experienced in the industry. These are the kinds of people we need appointed to positions like this. This is the kind of appointment ATCL needs. The only question is if he decides to make some radical changes or expose powerful people who have been using TTB as their ATM machine. Will he get the required support.

Good luck Dr Nzuki.
 
Good CV. I hope he will use his wealth experience in the industry to boost the sector perfromance in the country.
 
the important thing here is not whether he is a good person or bad; this country needs people who can deliver whether they have a pretty face or not is neither here nor there!! Pretty/ ugly faces do not bring food on the table! Watu wanataka maisha bora sio uzuri wa sura bwana.

hizi sifa za kijinga mara kasoma marekani mara prof wa chuo gani sie watanzania wa kawaida tunataka mchapa kazi kama magufuli au hata zaidi yake...awe na uwezo wa kuliingizia taifa mapato kwa kutengeneza njia na mawazo bunifu ya kuboresha na sio semina za kila siku nothing comes out...achape kazi tuone sio u-dokta wa kipuuzi tushawachoka...
 
Good cv, tatizo mafisi wakianza kuingiza politics zao mtu wa watu anaweza asi delive
 
Back
Top Bottom