download movies, softwares hata windows kwa simu

umegeneralize sana bila kuzingatia model ya simu ya mtu. inaonekana unatumia windows mobile sasa mtu ana j2me device hatoweza hiyo mambo.

Mimi natumia e63 symbia s60 3rd edition inakubari application zenye extension ya sis, sisx na jad. Windows mob uwa zinakubari cab hivyo situmii windows mob natumia symbian sema inategemea na simu pia uliyo nayo ina uwezo gan
 
Back
Top Bottom