download movies, softwares hata windows kwa simu

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
wadau kwa simu yangu ya e63 nimeweza kudownload windows 7 jana na kuanzia saa saba usiku nina download movie mpya ambayo imetoka last week inaitwa john carter 2012 yenye mb 845 na sasa hivi imefikia 90%.
Ninafanya hivyo kwa kutumia ile internet yetu ya bure ya tigo na narumia torrent ya simu inayoitwa symtorrent i search google mtapata ipo ya symbian na android yan ni sawa na torrent ya computer.
Jaman faidin wadau nkimaliza hii nahamia kwenye software nyingine.
 
ina maana unaunga then ikiisha unaunga tena? Maana me inaniambia only 25mb so kudownload mb 800 ni sawa na kuunga mara 32 ndo hivo? Au we yako unlimited? Au ina mb nyingi?
 
Kwa ile njia ya free tigo internet aliyotoa mdau mimi nkiunga napewa gb 1.5 bure
 
Tupe maelezo mkuu wengine hatujui jinsi ya kujiunga.Kuna movie moja inaitwa safe house mkuu naitafuta sana.Embu nionyeshe hayo maujanja mkuu ya kuapata free internet
 
tigo internet kwenda 15166 usiwe na crdt kwenye simu. Hiyo symtorrent tafta kuptia 4shared.com - free file sharing and storage italeta mafile meng ya extension tofauti mfano sis na sisx chagua kutokana na version ya os ya simu yako nashauri chagua iliyo zipped maana nyingine znasumbua ukishaclick itafunguka page itakuwa inakwambia mfano 12 second remain to download we refresh page mpaka button ya kudownload itakapotokea download na kuinstall.
Baada ya hapo fungua opera nenda google mfano andika may windows xp. Torrent halafu search itakuletea option za kudownload chagua utakayoona inafaa then itakuletea download this torrent click utaona opera inakuletea option ya kudownload kb kadhaa kubali ikisha download open ilicho download na kuki click ile sym torrent itafunguka automatically na kuanza download.
Hope nimejitahidi kuelezea kwa kiasi
 
embu niambie niikingia humo 4shared naweza download kwenye pc yangu? nahitaji kujua zaidi kitu kabla ya kufanya hivyo au ni straight forward?
 
tigo internet kwenda 15166 usiwe na crdt kwenye simu. Hiyo symtorrent tafta kuptia 4shared.com - free file sharing and storage italeta mafile meng ya extension tofauti mfano sis na sisx chagua kutokana na version ya os ya simu yako nashauri chagua iliyo zipped maana nyingine znasumbua ukishaclick itafunguka page itakuwa inakwambia mfano 12 second remain to download we refresh page mpaka button ya kudownload itakapotokea download na kuinstall.
Baada ya hapo fungua opera nenda google mfano andika may windows xp. Torrent halafu search itakuletea option za kudownload chagua utakayoona inafaa then itakuletea download this torrent click utaona opera inakuletea option ya kudownload kb kadhaa kubali ikisha download open ilicho download na kuki click ile sym torrent itafunguka automatically na kuanza download.
Hope nimejitahidi kuelezea kwa kiasi

sasa mbona mi napata mb25?
 
mbona mimi natumia tigo imegoma
 
jana mimi nlipojiunga ilikuwa usiku na nlipoangalia salio nikajibiwa nina 1405.445MB hivyo ckuelewa wanamaanisha nini, lakina nika hisi labda kitu kama gb 1.5 nkaanza download movie ya john carter 2012 via torrents, asubuhi ikawa imeishamaliza download na ilikuwa na mb 845. Nika download na mp3 kama 20 na video za mziki via u tube downloader coz line nliihamishia kwenye modem nkadownload u tubes videos kama 15 sasa nimeangalia salio naambiwa nina 770 mb.
Watu wanadai wanapewa mb 25 wakijiunga sasa sijui mimi nimepata zali au nini.
 
wanaulizaje salio? Mi ndo mara ya kwanza kutumia tigo internet
 
umegeneralize sana bila kuzingatia model ya simu ya mtu. inaonekana unatumia windows mobile sasa mtu ana j2me device hatoweza hiyo mambo.
 
Back
Top Bottom