DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

Matumbili, Nyani et al hawawezi kuhukumiana... beneficiary ni wao kwa wao ... Hakuna kesi hapo bali ilikuwa funika kombe mwanaharamu apite ....
Huwa najiuliza kila siku kesi hizi na nyingine nyingi za ufisadi hapa nchini mwisho wake ulikua ni nini ..!? Nani aliwajibishwa n.k ...
Kwa anayefahamu kesi hizi zimefikia wapi au mwisho wake ni nini atujuze ..
 
Huwa najiuliza kila siku kesi hizi na nyingine nyingi za ufisadi hapa nchini mwisho wake ulikua ni nini ..!? Nani aliwajibishwa n.k ...
Kwa anayefahamu kesi hizi zimefikia wapi au mwisho wake ni nini atujuze ..

CCM ndiye mwizi mwenyewe hawezi kujihukum wala kujifunga.

Fedha imepigwa miaka nenda miaka rudi kwa malengo hasa ya kushinda uchaguzi wakihadaa wapigakura

Cha ajabu nikiasi kidogo tu kimeelekezwa kwenye malengo husika, sehemu kubwa ya fedha hupigwa kwa mara ya pili na

wajanja wachache, mfano aliyekuwa mbuge wa Igunga na muweka hazina wa ccm wakati yule sijuwi muhindi au mwarabu ...... ametajirika sana kwa upumbavuu wa ccm kupitishia fedha kwenye akaunti ya huyo jamaa. (Rostam Aziz)

Mfano wa pili ni utajiri wa mhuni mmoja waziri mkuu anaejiita mtoto wa mkulima, sasa hivi anangawira zakutosha na alipoulizwa amebaki kujiumama na ilekaulimbiu yake anaigopa.

Mzindakaya, utajiri wa akina A. malima Ridhiwani Kikwete- dogo ametoka shuleni juzi lakini ana-investiment za kutisha unadhani capital wanapata wapi ndo huko EPA, ESCROW, RICHMOND, MEREMETA, KAGODA, DEEP GREEN, IPT nk nk nk

Hakuna kesi hapo sanasana nimazingaombwe tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom