Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dowans msiba

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MAKOLA, Feb 16, 2011.

 1. M

  MAKOLA Member

  #1
  Feb 16, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Hii nchi iuzwe nami nipewe salio langu nimechoka na wizi wa waziwazi
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,149
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Apewe nani sasa, thread nyingine jamani! Naomba nikueleleweshe nchi hii ni nzuri endapo tu wananchi watajua haki zao kikamilifu ndipo serikali itakapotoka katika usungizi wa pono na kutekeleza majukumu yake ya msingi ikiwepo kupanda kwa bei ya mafuta, kupanda kwa umeme, nauli, mfumko wa bei, rushwa na ufisadi uliomea saizi.
   
 3. M

  Matarese JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unataka iuzwe mara ngapi? wenzio walishaiuza zamani, kama hawajakupa chako hesabu maumivu!
   
 4. genekai

  genekai JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 10,799
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Ishauzwa zamani nadhani tatizo ni kuwa hukupewa gawio lako!
   
Loading...