Dowans lazima walipwe

KWA USHAURI WANGU,SERIKALI IWALIPE DOWANS HIZO BILLION LAKINI SASA IRUDI KWA KINA KARAMAGI NA WENGINE WOTE WALIOHUSIKA KUIRUBUNI TANESCO WAKAMATWE,WAFILISIWE NA WAWEKWE NDANI HUU UWE MFANO.

Serikali ni nani na kina Karamagi ni nani! Serikali = Kina Karamagi (Hapa neno Karamagi linawakilisha 'Mafisadi'. Hakuna mtu anaweza kujiadhibu.
Watanzania tunapiga kelele sio ili Dowans wasilipwe, bali tunakataa mchakato mzima wa Richmond na Dowans. Hakuna njia nyingine ya kuonyesha kuwa tunalaani Serikali kwa mikataba ya aina hii, zaidi ya kupiga kelele kuwa Dowans wasilipe. Mwisho wa siku serikali italipa, lakini italipa ikijua kuwa at least huu wizi wa sasa haukufanyika kirahisi kama walivyotaka (kama wanajali). Tunajua kuwa ni kwa kelele za namna hii masikio ya watanzania wengi ambao bado wamelala yatafunguka na wataamka. Tunajua mafisadi CCM kwa hili la Dowans watazidi kujiweka pabaya. Huu ni mtaji kwa wanamabadiliko wote, na wanatakiwa wachange karata zao vyema hapa, hakuna kulegeza kamba.

Nakumbuka maneno ya Mtikila kuwa "Dowans imeshushwa na Mungu kumuondoa Kikwete"
 
KAMA TANESCO NA SERIKALI YETU IKIKATAA KUWALIPA DOWANS,BALOZI ZETU NJE YA NCHI ZITAKUWA ATACHED NA MWISHO WA SIKU TUTAWALIPA KWA RIBA KUBWA SANA,

You are completely wrong about this. Dowan's contract is with Tanesco. Balozi zetu zitakuwa "attached" kama unavyosema kwa sababu gani? Watu wengi wanafikiria kwamba balozi zetu zitahusishwa kwa sababu hawaelewi jinsi business zinavyokwenda at the international level. I learnt first hand when a client of mine lost tonnes of money on an international transaction. All the Embassy/Diplomatic Mission can do in a case where a contract between two companies was not honoured is to pressure the government in question but the government of Tanzania in this case refuses to be involved, there is nothing Dowans can do. And I know Tanesco is a crown corporation/parastatal but still it is an incorporated company. Wacha kutishia watu kwamba Tanzania itapoteza chochote kama tukikataa kulipa. As a matter of fact, all indications are, most of our Western friends including the US would support our refusal to pay, if it is a motion set forth by the people. Ask anyone who has done international law they will confirm this.
 
vyovyote iwavyo! lipeni mkabiliane na nguvu ya umma!qn is ra akiishachukua hiyo hela,yete na ccm yake wakatafute nchi nyengine ya kuongoza. kwa nini wasikamate mali za jk comoro?
 
Natamani tungefanya kama wachina hata tukiwalipa woote waliohusika nyongelea mbali!
 
BAADA YA KUUPITIA VIZURI MKATABA WA TANESCO NA RICHMOND WA JUNE 2006,NA BAADAE NIKAUPITIA MKATABA WA DOWANS NA TANESCO WA DECEMBER 2006,PAMOJA NA MADUDU YOTE AMBAYO RICHMOND WALIYAFANYA DHIDI YA TANESCO BADO KULIKUWA NA CONCERT YA WAZIRI NA SERIKALI HATA KAMA TUNASEMA RICHMOND WALIHAMISHA MKATABA KWENDA DOWANS BILA KUWAELEZA TANESCO SI KWELI KWANI WAZIRI KARAMAGI ALIKUBALIANA NA RICHMOND.
Son,

Jibu la kulipwa au kutokulipwa kwa Dowans ni hilo alilotoa Pascal. Tanesco/Serikali ndio timu hiyo hiyo inayozisubiri hizo pesa za 'Dowans'. Wakitaka kutolipa, watazitumia mahakama vizuri na kukwepa hukumu ya ICC. Lakini kama watamua kufunga masikio na kutosikiliza kelele za waTanzania, basi watawalipa tu kwa wakati wanaotaka.

Mahakama za TZ wanayo mamlaka ya kutosha kukataa utekelezwaji wa hii hukumu ya ICC.
  • Hukumu ya ICC ilitolewa mahakama ikiwa imeketi nje ya TZ, kwa hiyo, ingawa through NY Convention, ICC wanaweza wakajipa jurisdiction ndani ya TZ, lakini kisheria hawawezi kuzidi maamuzi ya mahakama kuu ya TZ kama mahakama kuu wataamua kusikiliza suala hili juu ya utekelezwaji wake au kuikataa. Mifano ya maamuzi yaliyokataliwa yako mengi duniani.
  • Kesi hii ni kati ya Tanesco na Dowans. Kwa hiyo kama kungekuwa na kupiga mnada, ingetakuwa zikamatwe mali za Tanesco na sio TZ govt.
  • Kuepuka kulipa, Tanesco wanachotakiwa ni ku-prove tu kwenye mahakama za TZ angalau kati ya haya mawili kuwa; (a) Utoaji wa tenda kwa RDC na Dowans wote ulisukumwa kwa nguvu za rushwa/ wanasiasa (b) Kuwa kampuni zote mbili, RDC na Dowans, ni bandia.
 
unajipa moyo wa kichaa tuu,lakini watanzania makini wapo na hawatakubali taifa hili liingie kwenye matatizo zaidi

dowans watalipwa mpende msipende na nchi itatulia na amani itaendelea kuwepo

wale wote walioidanganya tanesco watashughulikiwa kikamilifu
nakuhakikishia,

sisi sote tutakuwa hapa hapa jamii forum, dowans wakiwa wanapokea hela zao na kina karamagi,rostam na wenzao wakiwa wanafunguliwa mlango wa segerea kwenda kunyea ndoo tayari wakiwa wamefilisiwa ,wakiwa maskini wakutupwa

mkuu nakupinga hakuna kitu cha hivyo hawawatu hawatafungwa! Wafungwe kwa serikali ipi hii dhaifu ya jk au!???
 
Hebu Watanzania wenzangu tutulie na Tujaribu kuamgalia hoja za huyu Bwana Son of Soil, Nadhani hii mada ndio inairudisha JF kwenye uhalisia wake wa Kujibu Hoja Kwa Hoja asa Great Thinkers does
Hebu tuzameni kwenye hizi hoja za huyu bwana, yeye kasema lazima tulipe kwa hoja zake na sisi lazima tuseme hatulip kwa hoja zetu

ni mtazamo wangu tu
 
Ni kweli hapa hatuna ujanja hawa jamaa wametushika pabaya na mimi niwaambie watz wenzangu tuache mzuka usio na msingi hawa jamaa tusipowalipa tutalipa mabilioni mengi zaidi baadae ni bora walipwe sasa

Serikali walipeni DOWANS mtuondolee hii kero

Eeeeh eeeeh unamaanisha?
 
BAADA YA KUUPITIA VIZURI MKATABA WA TANESCO NA RICHMOND WA JUNE 2006,NA BAADAE NIKAUPITIA MKATABA WA DOWANS NA TANESCO WA DECEMBER 2006,PAMOJA NA MADUDU YOTE AMBAYO RICHMOND WALIYAFANYA DHIDI YA TANESCO BADO KULIKUWA NA CONCERT YA WAZIRI NA SERIKALI HATA KAMA TUNASEMA RICHMOND WALIHAMISHA MKATABA KWENDA DOWANS BILA KUWAELEZA TANESCO SI KWELI KWANI WAZIRI KARAMAGI ALIKUBALIANA NA RICHMOND.

Hoja yako yote inaporomoka hapo; kama kweli umesoma mkataba wa Richmond na Dowans unaweza kututajia ni wapi ambapo panasema ili mkataba uhamishwe kwa halali kinahitajika consent ya Waziri? Ukituonesha basi utakuwa umefanya kile ambacho siyo Dowans wala Richmond walichoweza kufanya. Hoja yako inasimama au kuanguka kutokana kipengele cha 12.1e na 15.12

Dowans hawalipwi, hawalipiki, na wakilipwa hapakaliki!
 
SASA KAMA TANESCO WALIPOKEA UMEME WA KAMPUNI FEKI WEWE KAMA JAJI UNAAMUAJE?KUILIPA KAMPUNI FEKI ILIYOZALISHA UMEME AU KUWALIPA TANESCO WALIOFURAHIA UMEME WA KAMPUNI FEKI NA KUWAUZIA WATANZANIA MASKINI KWA BEI YA JUU Na TENA KWA MGAO???
RACK U R BRAIN

Hivi mwizi akiiba umeme wa Tanesco na kukufungia bado anabakia kuwa mwizi au kwa vile wewe unatumia umeme huo basi kitendo cha wizi hakijatokea na wakikamatwa waachiwe kwa sababu mwananchi "amepokea na kutuia umeme"? Hizi reasoning nyingine zinasikitisha tu.
 
Rostamu na lowasa wameingia mpaka huku! Kweli jf inapendwa...haya mwambieni kiongozi wenu wa kifisadi kikwete kuwa tumekubali kuwapeni mabilioni hayo japo wote kwa umoja wenu (lowasa,kikwete rostamu) mlikuwa mnajichotea 152,000,000 kila siku kwa mkataba wa tanesco na richmond (richard from monduli )
 
Pole sana ila tukichelewa hawa ICC wana haki ya kuatach mali zetu kokote ulimwenguni na hii itakuwa mbaya zaidi kwani;

Kwanza tutalipa bila kupenda
Pili tutalipa na riba kubwa
Tatu-tutalipa na gharama zote za usumbufu na utaratibu
Nne-Tutakuwa tumechafua jina la nchi yetu kote ulimwenguni
Mwisho-Tutaweka rekodi mbaya ICC na hatutashinda kesi yoyote pale kwani THIS WILL BE TAKEN AS THE COURT PRECEDENT

SERIKALI WALIPENI DOWANS HARAKA ILA CHUKUENI HATUA ZA KINIDHAMU JUU YA WOTE WALIOIPOTOSHA TANESCO

Sawa uliyosema huko juu inaweza ikawa kweli lakini kuna kiongozi hapa kwetu mwenye ujasiri wa kusema kwamba Karamagi, RA, EL na wengine wakamatwe na wafilisiwe? Kama mnataka kuhalalisha malipo ya Dowans lazima tukubali kusamehe vyote maana hapa tutapigwa changa la macho tu!

Bila Katiba mpya hawa jamaa wataendelea kutuchezea tu kama mpira!! Hivi yanayotekea Uarabuni hapa kwetu hayawezekani jamani? Tungewaondoa ili tuweke Serikali yetu na tuipe mamlaka ya kukusanya hiyo hela kutoka kwa hao mafisadi. Vinginevyo Serikali ya Mkwere haiwezi!!
 
Na ngoja tumvae Rostam mzima mzima this week maana haiwezekani taifa zima tunazungushwa kichwa na mtu mmoja kama mtoto anayechezea pia!
 
Na ngoja tumvae Rostam mzima mzima this week maana haiwezekani taifa zima tunazungushwa kichwa na mtu mmoja kama mtoto anayechezea pia!

Hatukuwa na sababu ya kujizungushazungusha namna hii, ukitaka kuuwa nyoka anzia kichwani; na huyu Rostam akiwekwa kwenye kona, hata wale wanaombeba watamkana mara 3 kabla ya jogoo kuwika!
 
Hatutawalipa na tuone mwisho wetu.

Mbona CUBA hadi leo bado wanaishi?

Tusiwalipe na mwisho wa siku, tuvunje MUUNGANO na wao wabaki wakiidai TANZANIA ambayo haitakuwepo.

Kama wao wanaujua huu, sisi tunaujuwa huu.

Umelonga huyo son naona nayeanashea amekazana tuwalipehalakaa
 
Son of Soil, kuwalipa Dowans, lazima tuwalipe, ila sababu halisi za kuwalipa, sio hizi wewe ulizoziorodhesha, bali tutawalipa Dowans smply because ni wakubwa wanajilipa.

Tusipowalipa Dowans, hakuna mali ya Tanzania itakayoshikiliwa kama attachment, kwa sababu mdaiwa ni Tanesco as an entitiy na sio serikali, afterall, serikali yatu haina movable assets mahali popote duniani, hatuna meli, wala ndege ya kusema wataishikilia. Nyumba zote za serikali tunazozimiliki nje ya Tanzania, ni ofisi za Ubalozi, zina kinga ya Rome/Geneve Convention on Diplomatic immuninity, kuwa kila aridhi ya ubalozi, ni sehemu ya nchi husika, yaani ofisi yetu London, ni aridhi ya Tanzania, ardhi ya nchi, haishikiki as attachment.

P. Una akili sana. Na endapo tutaamua kuwalipa leo, basi kesho yake kipenga kilie, nguvu ya wananchi ichukue mkondo wake. Tuwakamate JK, RA, EL na washkj zao, tuwapeleke Golgota. Roho yangu itabaki safi, wala Tshs. 94b haitaniumiza tena sana.:roll:
 
BAADA YA KUUPITIA VIZURI MKATABA WA TANESCO NA RICHMOND WA JUNE 2006,NA BAADAE NIKAUPITIA MKATABA WA DOWANS NA TANESCO WA DECEMBER 2006,PAMOJA NA MADUDU YOTE AMBAYO RICHMOND WALIYAFANYA DHIDI YA TANESCO BADO KULIKUWA NA CONCERT YA WAZIRI NA SERIKALI HATA KAMA TUNASEMA RICHMOND WALIHAMISHA MKATABA KWENDA DOWANS BILA KUWAELEZA TANESCO SI KWELI KWANI WAZIRI KARAMAGI ALIKUBALIANA NA RICHMOND.

JAMBO LA PILI NA MUHIMU NI KWAMBA NIMEPITIA HUKUMU YA ICC KWA MAPANA YAEK NA KIPENGLE KIMOJA AMBACHO WAAMUZI WA ICC WANAKISHIKIA BANGO NI KUWA DOWANS WALIPERFOM NA TANESCO WALIPOKEA UMEME WA DOWANS

HILI NI LA MUHIMU NA WATANZANIA WANATAKIWA KUJUA HATA KAMA MKATABA WA TANESCO NA DOWANS ULIKUWA SIO HALALI BADO UNAWISHWA KUWA HALALI KWA SABABU YA TANESCO KUPOKEA UMEME WA DOWANS KAMA TANESCO WASINGLIPOKEA UMEME WA DOWANS BASI MKATABA UNGEKUWA BATILI ,LAKINI AS LONG AS THE DOWANS PERFOMED AND TANESCO RECEIVED THOSE WHETHER ONE OR HUNDRED MEGAWATS ,MAANA YAKE NI KUWA KULIKUWA NA MKATABA HALALI NA TANESCO KUUVUNJA ILIKUWA NI BATILI

Cha kufanya

KWA USHAURI WANGU,SERIKALI IWALIPE DOWANS HIZO BILLION LAKINI SASA IRUDI KWA KINA KARAMAGI NA WENGINE WOTE WALIOHUSIKA KUIRUBUNI TANESCO WAKAMATWE,WAFILISIWE NA WAWEKWE NDANI HUU UWE MFANO.

angalizo

KAMA TANESCO NA SERIKALI YETU IKIKATAA KUWALIPA DOWANS,BALOZI ZETU NJE YA NCHI ZITAKUWA ATACHED NA MWISHO WA SIKU TUTAWALIPA KWA RIBA KUBWA SANA,

Watanzania,

MSIOGOPE KUWALIPA DOWANS BILION 94,HAO DOWANS WAMESHALIPWA ZAIDI YA BILIONI 172 MPAKA SASA KWA AJILI YA MITAMBO WALIYOINUNUA KWA SHILINGI BILIONI 60,NCHI HII INA HELA NYINGI SANA KAZI YETU TUNATAKIWA KUWADHIBITI WALE WANAOTUMIA FEDHA ZETU VIBAYA.

Naona aibu hata kusema mengi maana mwishowe nitabwata.Itoshe kukuambia kwamba yote unayosema umesoma ni prearranged na hewa.Ni documents fake,zilizopikwa na kupikika.Na hukumu ya ICC si lolote,majaji wao ni ma-Mafia tu wamepewa cha juu wasikubaishe hata kidogo.In fact to me ICC ni kikundi cha matapeli who are there to endorse wizi na kila aina ya uzandiki done to poor people of the world.
 
BAADA YA KUUPITIA VIZURI MKATABA WA TANESCO NA RICHMOND WA JUNE 2006,NA BAADAE NIKAUPITIA MKATABA WA DOWANS NA TANESCO WA DECEMBER 2006,PAMOJA NA MADUDU YOTE AMBAYO RICHMOND WALIYAFANYA DHIDI YA TANESCO BADO KULIKUWA NA CONCERT YA WAZIRI NA SERIKALI HATA KAMA TUNASEMA RICHMOND WALIHAMISHA MKATABA KWENDA DOWANS BILA KUWAELEZA TANESCO SI KWELI KWANI WAZIRI KARAMAGI ALIKUBALIANA NA RICHMOND.

JAMBO LA PILI NA MUHIMU NI KWAMBA NIMEPITIA HUKUMU YA ICC KWA MAPANA YAEK NA KIPENGLE KIMOJA AMBACHO WAAMUZI WA ICC WANAKISHIKIA BANGO NI KUWA DOWANS WALIPERFOM NA TANESCO WALIPOKEA UMEME WA DOWANS

HILI NI LA MUHIMU NA WATANZANIA WANATAKIWA KUJUA HATA KAMA MKATABA WA TANESCO NA DOWANS ULIKUWA SIO HALALI BADO UNAWISHWA KUWA HALALI KWA SABABU YA TANESCO KUPOKEA UMEME WA DOWANS KAMA TANESCO WASINGLIPOKEA UMEME WA DOWANS BASI MKATABA UNGEKUWA BATILI ,LAKINI AS LONG AS THE DOWANS PERFOMED AND TANESCO RECEIVED THOSE WHETHER ONE OR HUNDRED MEGAWATS ,MAANA YAKE NI KUWA KULIKUWA NA MKATABA HALALI NA TANESCO KUUVUNJA ILIKUWA NI BATILI

Cha kufanya

KWA USHAURI WANGU,SERIKALI IWALIPE DOWANS HIZO BILLION LAKINI SASA IRUDI KWA KINA KARAMAGI NA WENGINE WOTE WALIOHUSIKA KUIRUBUNI TANESCO WAKAMATWE,WAFILISIWE NA WAWEKWE NDANI HUU UWE MFANO.

angalizo

KAMA TANESCO NA SERIKALI YETU IKIKATAA KUWALIPA DOWANS,BALOZI ZETU NJE YA NCHI ZITAKUWA ATACHED NA MWISHO WA SIKU TUTAWALIPA KWA RIBA KUBWA SANA,

Watanzania,

MSIOGOPE KUWALIPA DOWANS BILION 94,HAO DOWANS WAMESHALIPWA ZAIDI YA BILIONI 172 MPAKA SASA KWA AJILI YA MITAMBO WALIYOINUNUA KWA SHILINGI BILIONI 60,NCHI HII INA HELA NYINGI SANA KAZI YETU TUNATAKIWA KUWADHIBITI WALE WANAOTUMIA FEDHA ZETU VIBAYA.

Son of soil mkataba ukifungwa baina REDVCO na Tanesco parties to the contract ni kina nani?????

Vilevile naomba nikuulize waziri yeye kama waziri hana ushirika na tanesco kwani unaposema consent ya Waziri ilipatikana Waziri wa nishati alikuwa waziri wa wizara. Tanesco ni shirika la umma yeye anahusika vp katika contract.

Mie sikubaliani na hoja zako kwani parties to the contract walikuwa ni REDVCO na Tanesco hivyo basi kama parties conditions na warranties of the contract are vested upon the parties to the contract.
 
Nadhani kuna watu ambao wana nyoyo za ngozi ya chui,hivi kweli kuna mtu mwenye ufahamu anaweza akaja jamvini na hoja za kutaka kutusiliba nyuso zetu na matope eti kutuambia serikali ilipe Dowans,tuwalipe kwa vipi Jakaya Kikwete,Rostam Azizi na Edward Lowassa janja yao sasa hivi inajulikana,haya yote yanawatokea kwa sababu walitumia hila kubwa kuingia madarakani mwaka 2005,leo hii watu wanajua abcds za Dowans wewe unakuja na propaganda hapa ili uangalie upepo wananchi tunasemaje,mumezoea siku zote kutuambia tunapenda kuongea ongea tuu bila vitendo tunafahamu nyie munaamini hili la Dowans litapita kwa sababueti tutasahau ,kaa ukijua kwamba wananchi hatutaruhusu na senti tano moja hailiipwi kule kwetu wanasema mulile kako
 
Hoja yako yote inaporomoka hapo; kama kweli umesoma mkataba wa Richmond na Dowans unaweza kututajia ni wapi ambapo panasema ili mkataba uhamishwe kwa halali kinahitajika consent ya Waziri? Ukituonesha basi utakuwa umefanya kile ambacho siyo Dowans wala Richmond walichoweza kufanya. Hoja yako inasimama au kuanguka kutokana kipengele cha 12.1e na 15.12

Dowans hawalipwi, hawalipiki, na wakilipwa hapakaliki!

Penye red: Hivyo ni vyema son of soil (aka Hitler's grand son) a-commit harakiri -- should fall on his sword!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom