Dowans inamilikiwa na mafia

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Nimepata taarifa za kuaminika kuwa wamiliki wa Dowans in Genge la Mafia. Hawa jamaa inasemekana waliiambia serikali kuwa wapo tayari kuisaidia tz umeme kwa masharti kuwa awepo mtu wa kusimamia kila kitu kutoka tz ili wao wawe kivuli. Ndipo Rostam akateuliwa kufanya shughuli hiyo. kutokana na viapo hivyo hao jamaa hawawezi kutajwa hata kwa gharama yoyote ile si unajua kazi zao zote ni illigeal. ndiyo maana hata mkuu wa nchi naye kasema hawajui.
 
Nimepata taarifa za kuaminika kuwa wamiliki wa Dowans in Genge la Mafia. Hawa jamaa inasemekana waliiambia serikali kuwa wapo tayari kuisaidia tz umeme kwa masharti kuwa awepo mtu wa kusimamia kila kitu kutoka tz ili wao wawe kivuli. Ndipo Rostam akateuliwa kufanya shughuli hiyo. kutokana na viapo hivyo hao jamaa hawawezi kutajwa hata kwa gharama yoyote ile si unajua kazi zao zote ni illigeal. ndiyo maana hata mkuu wa nchi naye kasema hawajui. Subirini si muda mrefu mtayajua haya.

Si umesema ni mafia sasa tusubiri nini. Yote kumi tumeishaibiwa!!
 
Nimepata taarifa za kuaminika kuwa wamiliki wa Dowans in Genge la Mafia. Hawa jamaa inasemekana waliiambia serikali kuwa wapo tayari kuisaidia tz umeme kwa masharti kuwa awepo mtu wa kusimamia kila kitu kutoka tz ili wao wawe kivuli. Ndipo Rostam akateuliwa kufanya shughuli hiyo. kutokana na viapo hivyo hao jamaa hawawezi kutajwa hata kwa gharama yoyote ile si unajua kazi zao zote ni illigeal. ndiyo maana hata mkuu wa nchi naye kasema hawajui.

Duh!
 
hizo ni stori tu mwanangu, kwani wamiliki si wanajulikana, sisi tunakomaa nao hwa hawa tunaowajua!
 
hivi kuhusu kampuni ya Dowans, na kwasababu ni kampuni, the company ordinance act inasemaje, na kama ilikuwa ni kampuni ya kughushi sheria ya makampuni inasemaje?
 
Yule mwanasheria mu tz nae ni mafia? Basi aulizwe ma mafia wenzie ni akina nani. RA yeye anajulikana ni 1 wa mafia
 
Nimepata taarifa za kuaminika kuwa wamiliki wa Dowans in Genge la Mafia. Hawa jamaa inasemekana waliiambia serikali kuwa wapo tayari kuisaidia tz umeme kwa masharti kuwa awepo mtu wa kusimamia kila kitu kutoka tz ili wao wawe kivuli. Ndipo Rostam akateuliwa kufanya shughuli hiyo. kutokana na viapo hivyo hao jamaa hawawezi kutajwa hata kwa gharama yoyote ile si unajua kazi zao zote ni illigeal. ndiyo maana hata mkuu wa nchi naye kasema hawajui.

Pole sana,umechelewa kujua.Hata nchi yako Tanzania is controlled by the Mafia a.k.a.Illuminati.The Mafia are everywhere!
 
Back
Top Bottom