Kwa sasa kufunguwa Kampuni Tanzania si lazima uwe mTanzania au awemo M Tanzania.
Kuhusu Dowans ni akina nani: bofya hapa utapata habari zoote: BRELA-Home
Umesoma vizuri hiyo kesi ya dowans na rdevco inahusu nini lakini? Yaani ulitaka Serikali inunue mitambo ambayo ipo kwenye kesi!! Halafu unajua PPA ya TZ inasemaje kuhusu manunuzi?
Cite ya breala haisemi nani shareholder.
Asante sana Mzee. Nimesoma, jamani naombeni gongo kidogo nipunguze makali ya mawazo. Naomba kina Tindu Lissu watusaidie kutafsiri hii kiswahili ili wananchi wetu wafahamu mbivu na mbichi. So sad. Yaani tutakubalije kuilipa Richmond pesa? Namshukuru Mungu kwa kuleta utandawazi katika media maana tunapata tusiyotakiwa kuyafahamu. Kwa nini RA na EL watuchezee kiasi hiki? Hawa ni wazalendo kweli? Maaskofu na Wachungaji mnaowakumbatia hawa watu, je mnajuea mnapata mafungu ya kumi na sadaka za damu ya Watanzania. Nakufa, wosia nimwachie nani? Sina wa kumwamini!!! Akili zetu zimeshatekwa!
Of course.. tunaweza kuweka documents yenye majina ya nani wenye share humo... kama wao wenyewe hawatofanya hivyo..
Cite ya breala haisemi nani shareholder.
Du inatisha mm nilishasema inawezekana kupinga malipo ya 185bn thread ya kwanza ya Invisible juzi Wanasheria watusaidie Mbona JK alitaifisha mashamba na mabenki 1967 na Msajili wa Majumba 1971. Uganda Idd amini aliwatimua wahujumu uchumi waasia? Mugabe aliwatimua maSettler? akagawa mashamba? na Jumuia za Ulimwengu hazijamfanya chochote?
yote yanawezekana kabla ya kuingia mitaani na leo huku kwetu ni mgao kutwa nzima bado LUKU imepanda
Kifungu Na. 17.11 kimeonyesha tanesco walikuwa wakielewa ya kuwa Rostam Aziz ndiye mmiliki wa Dowans kutokana na power of Attorney aliyopewa kuhusiana na malipo yaliyofanywa na tanesco kule CRDB.......................Ujinga mtupu,
natumia cm ya mchna,nijuzeni, ati kikwete katajwa kuwa mmiliki wa Dowans au?
hivi kweli Dowans wanaweza kumpa RA power of attorney kama hawamjui au hawana uhusiano...... jamani hii ni aibu na fedheha kuendelea kuhoji DOWANS ni ya nani..? hivi unaweza ukamwadikia will chokoraa wa mitaani ukaacha mtoto wako wa kuzaliwa...... na kama RA ndio mmiliki basi pia EL anamaslahi na pia JK ana mkate katika DOWANS.... yangu macho
Kifungu Na. 17.1 kimeonyesha tanesco walikuwa wakielewa ya kuwa Rostam Aziz ndiye mmiliki wa Dowans kutokana na power of Attorney aliyopewa kuhusiana na malipo yaliyofanywa na tanesco kule CRDB.......................
Na alipo Rostam Aziz.......JK yumo kupitia RIDHIWANI na Lowassa...............................
Kifungu Na. 17.1 kimeonyesha tanesco walikuwa wakielewa ya kuwa Rostam Aziz ndiye mmiliki wa Dowans kutokana na power of Attorney aliyopewa kuhusiana na malipo yaliyofanywa na tanesco kule CRDB.......................
Na alipo Rostam Aziz.......JK yumo kupitia RIDHIWANI na Lowassa...............................
Hapo umenena, hiyo ni haki ya msingi ya kila mtu, nami nikiwemo! Ingawa awamu ya kwanza ilitubana na katiba yetu! Unafikiri wakati wa Nyerere tungekuwepo hapa JF? duhhh, hata TV tulikuwa hatuna, magazeti ndio hivyo tena, Uhuru, Mzalendo na Ngurumo!
Halafu leo JMK mbaya!
Mie nashangaa wasioijuwa Dowans ni ya nani si ndio hao wanao buruzwa na kina mkjj, wakati kila kitu kipo wazi.