LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 574
Why JMK has to do that? Go to BRELA: BRELA-Home
Aisee, kuweni wajanja kama nyoka, watu wapo kazini na wanajua wanachokifanya hapa. Msikubali kuhamishwa kirahisi, Thread iendelee, jikaze kisabuni, kubali changamoto, lakini thread iendelee. Happy new year all