DOWANS (BEHIND THE SHADOWS): What you were not supposed to know...!

Mzee Mwanakijiji na Invisible, thanks a lot kwa hizi nondo mbili,
Mmetuanzishia mwaka vizuri kwa kuirudisha jf kwenye enzi ile, ambayo ndio kina sisi wengine tulipojiunga.
Thanks, Mungu awabariki, nawatakia heri ya mwaka mpya 2011.
Pasco
 
Zaburi 35 nzuri, lakini haitoshi kulalamika tu tukisubiri Mungu awaadhibu hawa majangili. Tuende zaidi ya hapo.
Kumbuka ya kuwa hata wao wanaye Mungu wanayemuomba ili awaondolee adui zao, ambao ni wananchi.....
 
Mmmh...kwa hiyo serikali isingeweza kununua hizo turbine kwani RDVECO walishawaandikia barua kuwataarifu ya kuwa hizo turbine sio za Dowan! Nadhani RDVECO walishajua mchezo wanaoutaka kuucheza, ndio walikataza hiyo mitambo isiuzwe sio kwa serikali ya Tanzania wala mteja mwingine yeyote. Hii kesi inachanganya sana, nadhani hawa wanasheria wa Dowans T mate yanawatoka kwani wameshaziona hela kutoka kwenye shamba la bibi (Tanzania) na wanataka piece yao ya pie....

Jamani wanasheria tusaidieni kunyambua hili jambo...
 
Asante sana Mzee. Nimesoma, jamani naombeni gongo kidogo nipunguze makali ya mawazo. Naomba kina Tindu Lissu watusaidie kutafsiri hii kiswahili ili wananchi wetu wafahamu mbivu na mbichi. So sad. Yaani tutakubalije kuilipa Richmond pesa? Namshukuru Mungu kwa kuleta utandawazi katika media maana tunapata tusiyotakiwa kuyafahamu. Kwa nini RA na EL watuchezee kiasi hiki? Hawa ni wazalendo kweli? Maaskofu na Wachungaji mnaowakumbatia hawa watu, je mnajuea mnapata mafungu ya kumi na sadaka za damu ya Watanzania. Nakufa, wosia nimwachie nani? Sina wa kumwamini!!! Akili zetu zimeshatekwa!
 
Yaani mijitu mingine kwa kumwaga pumba! sasa hizo documents ndio zinasaidia nini na ni siri ipi? mbona zipo wazi tu hizo!

Mijitu mingine basi humu inashangilia hata haijuwi inacho-kishangilia na mkjj anawapata kweli. "ama kweli wajinga ndio waliwao".
 
Ok ok, maybe u r right.. Now tell me why has ur beloved JEYKEY failed to identify the Dowans owners ? Oh please DSM indulge us in our foolishness by tiping(sp) us with this 'oh so well known fact'
 
Wajinga ni nani? sisi au chama chako kinacho-orchestrate huu upumbavu! Hizi document ni muhimu na zinatupa picha nyingine ya hii kesi; besides, ni chombo gani kingine cha habari hapa Tanzania ambacho kimetuarifu kama kuna kesi inayoendelea kwenye mahakama za Marekani? Hacha kuzungumza ovyo ovyo kama mlevi wa wanzuki...
 
Yaaaani hivi vikampuni vya kwenye briefcase vinarushiana na kupasiana madeal kama wale ya jamaa wa zero brain

  • Kumbe richmond naye bado yumo
  • Kuna dowans Tanzania
  • Kuna Dowans SA
kaziiiiiii ipo
 
Mzee mwana kijiji hili zigo lote Tanesco wanahusika sana kwa uzembe labda watuambie kama kuna private memo walizokua wanapata serikalini au lah!!
Nyerere aliwahi kusema hatutakaa tuendelee kama hatutajenga uwezo ki elimu wa namna ya ku dili na hizi nchi tajiri!!
Ndo maana china haitaki urafiki wa kipuuzi na hizi western countries.
 
Yaani mijitu mingine kwa kumwaga pumba! sasa hizo documents ndio zinasaidia nini na ni siri ipi? mbona zipo wazi tu hizo!

Mijitu mingine basi humu inashangilia hata haijuwi inacho-kishangilia na mkjj anawapata kweli. "ama kweli wajinga ndio waliwao".
Hata haya huna!
Mtoto wa chekechea atakuona wewe sawa na mwendawazimu.Jaribu kuwa na aibu hata kama wanakulipa kuja humu Jf.
Akina Mobutu walikuwa kama hao unaowashabikia kutuibia lakini waliishia kufaa njiani, na wewe na vibaraka wako yenu iko jikoni.
 
Yaani mijitu mingine kwa kumwaga pumba! sasa hizo documents ndio zinasaidia nini na ni siri ipi? mbona zipo wazi tu hizo!

Mijitu mingine basi humu inashangilia hata haijuwi inacho-kishangilia na mkjj anawapata kweli. "ama kweli wajinga ndio waliwao".

Bange bila msosi!!!!
 
JF huyu DSM asituhamishe concentration yetu kwenye main point ya hii dosier.....DSM is an infidel, hate preacher and an enemy of God
 
Yaani mijitu mingine kwa kumwaga pumba! sasa hizo documents ndio zinasaidia nini na ni siri ipi? mbona zipo wazi tu hizo!

Mijitu mingine basi humu inashangilia hata haijuwi inacho-kishangilia na mkjj anawapata kweli. "ama kweli wajinga ndio waliwao".

.....ok ok ''pumba'' imemwagwa......wewe mipovu inakutoka hovyo hovyo kwa nini?
 
Du! yaani hii kama sinema! Haiishi kwa sababu JK ndiye haswaaaaaaaaa the centre of all this rubbish.

well said Nyambala, he is responsible for all these stuffs, and might have got some comission on this isssue. thats why when speaking at the end of the month, he was so much insisting on paying the money rather than otherwise.
 
Ok ok, maybe u r right.. Now tell me why has ur beloved JEYKEY failed to identify the Dowans owners ? Oh please DSM indulge us in our foolishness by tiping(sp) us with this 'oh so well known fact'

Why JMK has to do that? Go to BRELA: BRELA-Home
 
Yaani mijitu mingine kwa kumwaga pumba! sasa hizo documents ndio zinasaidia nini na ni siri ipi? mbona zipo wazi tu hizo!<br />
<br />
Mijitu mingine basi humu inashangilia hata haijuwi inacho-kishangilia na mkjj anawapata kweli. &quot;ama kweli wajinga ndio waliwao&quot;.
<br />
<br />
taratibu mkuu usije ukasahau katiba inaruhusu watu kuwa na mawazo tofauti ili mradi hawavunji sheria
 
daresalaam, apuuzwe anatumia hiyo mbinu kutuhamisha kifikra. Asante invisible na mm.
 
Wajinga ni nani? sisi au chama chako kinacho-orchestrate huu upumbavu! Hizi document ni muhimu na zinatupa picha nyingine ya hii kesi; besides, ni chombo gani kingine cha habari hapa Tanzania ambacho kimetuarifu kama kuna kesi inayoendelea kwenye mahakama za Marekani? Hacha kuzungumza ovyo ovyo kama mlevi wa wanzuki...

"wajinga ndio waliwao" hiyo kujibu swali lako la kwanza.

Picha ipi wewe? watu wanadai haki zao humo, wee unafikiri utavunja tuu mikataba ya watu? Dowans lazima walipwe na wale waliowakopesha Dowans hiyo mitambo lazima walipwe. Usifikiri watu wanafanya biashara za kizamani za kuficha chini ya uvungu!

Si humu JF ndio mlikuwa mnashabikia Dowans wafutiwe mikata na mitambo isinunuliwe, tukasema, na hata mbunge wenu Zitto akasema "inunuliwe"! Great Tinkers waka-kataa! sasa mnalia nini? mlishindwa great thinkers na kujuwa consequences zake?

Ushauri wa bure: Kaeni chini na Dowans, wataelewa tatizo, lakini msijidai ubabe, enzi za ubabe zimekwisha! Hamsomi makosa ya zamani?

Nyerere alijidai ubabe kwa makaburu waliokuwa wanaunganisha materekta akawafungia akasema "sirudi" nyuma ntageuka "jiwe"! alivyoona mambo yamemkalia vibaya, kwani wale jamaa walikuwepo kihalali kabisa, akaona bora ageuke jiwe, akawawacha waendelee na shughuli zao.

Na haya ya Dowans tungejifunza kwa Nyerere! mbona hajageuka jiwe?
 
Back
Top Bottom